Kwa wale Mashabiki wa Livepool tuombe BR andelee kuwa kocha wa Liverpool, Liverpool aliyokuwa anaofikiria inakaribia kuwa kweli..Alipomnunua Kolo Toure wa watu walodiss, but Kolo has Improved,Tazama kiwango cha Lambert mechi 4 zilizopita ni bora ukilinganisha na hapo mwanzo.. Amini Lallana+ Markovic+Can+Origi+Sterling+Coutinho+Henderson+Toure+Sturridge Chini Ya BR Dunia itasimama
Baada ya dakika 90 bado unasimamia kauli yako kama SG kaisha so ampishe Coutihno?
SG huwa anatuinua mioyo yetu siku tunayo hitaji tuinuliwe kama ya leo!Viva fundi wa Uingereza
umetumwa wewe!
Katika pita pita zangu nimekuta na hili jina Will sheyi ojo Jana alisafiri na timu nasikia yuko poa. Kuna mtu ana detail zaid za huyu dogo.....?
Nimevutiwa nayoAnfield Stadium Expansion starts on monday!!!
reports zinasema FSG wametoa £114m kwa ajili ya Anfield redevelopment!!!!
Dogo wa Academy huyo!!
average player!
Nimecheki some clip zake dogo yuko vizur sometime anajua where to hit ingawa naye anakatabia kauchoyo ... ila naye yanaweza mkuta ya kina Ibe
Ojo ni "another typical English ST"...
I'd rather have Jerome Sinclair or Samed Yesil kwenye LFC first team kuliko Ojo!!!
Samed Yesil, majeruhi yaliharibu sana Ukuaji wa kasi wa Soccer lake..but aina ya uchezaj wa Yesil ndo BR huwa anaipenda!!!...ni Versatile ST...
Ujio wa BR LFC umeua progress nyingi za madogo wa Academy..
Ibe
Texeira
Coady
Adjoran
Pieterson
Morgan
pacheco
Jack Dunn (kastuck)
Branagan (kastuck)
Martin kelly
Andre Wisdom
Suso (japokuwa kaumia, lakin hata akirudi hatochezeshwa)..
Kwa clubs nyingine muda kama huu, Mchezaji kama Rossiter angekuwa anapewa nafasi kubwa sana kwenye First team (yule dogo anajua sana mpira)...hawa kina Ojo, Harry wilson "new bale" unaowaona sana sahiv kwenye mazoez ya team ya kwanza, watastuck si muda, team kama Arsenal, Barca, Man utd (ya Van Gaal), BVB etc..dogo IBE angekuwa anapewa nafasi kubwa saaana kwenye first team...lakin si tumemtoa kwa mkopo!
Nasikia kuna dogs a wonder kid Anaitwa martin odegaard anagombaniwa na club Yetu ya Liverpool na Madrid.dogo eti alishawahi Kufanya mazoezi na Liverpool.mwenye News zaidi atujuze.
Kinachonishangaza ni kuwa we have more kids ambao wako talented afu bado BR ana nunua wengine kuna article moja nimesoma nimeona #LFC tumeingia katika vita na man u kumsajili Odengaard (sijui kama jina lake nimelipatia)
Huyo Wilson yuko poa sana naye nimemuona he is talented.
Kiukweli kuhusu hao madogo wote uliowataja wananifanya nishindwe kuelewa technical mentality ya BR kuhusu young players wa academy
Harry wilson si muda atastuck au utasikia kapelekwa kwa mkopo kwenye team ya championship league!!!