Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3144536
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi kweli ama spin za yule wakala wake cha mdomoooo.
MosDef namna gani tena. Kwamba Semenyo na Mbuemo wanatosha.
YNWA
Juve wamemuacha kwa sababu ya kuumia kila wakati,tuliongea tukaonekana tunapondea Usajiri.
Hapo hakuna kitu anakula mshahara wa bure tu mpaka msimu huishe kwa mazoezi yetu huyu hata wezakirudi uwanjani.
Mpaka sasa hajulikani hatarudi lini,icho tayari ni kimeo.
Duu hii ligi sio yaaan ukitazama Wolverhampton wanavyocheza kandanda safi na walipo kimsimamo.
YNWA
Kama Wolverhampton aisee jamaa wanampira wa kumwagika, matokeo ndio shughuli sema wanakosa striking force ya maana
Ynwa
Maneno mengi lkn huwezi kuwapangia FSG cha kufanyaBarcelona, just like any other club with senses watakuwa wanasubiri hatima ya Salah at LFC.
Meanwhile, FSG wanajiuliza kama a 33 yr-old player anahitaji kupewa £300k p/w, but kwa kile anachokupa Salah, week in, week, out, unajiuliza nini? kuna shida gani ukitoa a 2 yr-contract? tafuta understudy wa kum-replace Salah taratibu but usimwache aende, kulingana na shape aliyonayo sasa, bado ana miaka 3-4 ya kucheza Europe yule, Mane & Firmino wanashabihiana umri na Salah, na wamecheza wote kwa mafanikio makubwa sana at LFC, lakini wenzake wapo uarabuni huko wanacheza na part-time footballers, huyu mwingine akaamua kuwa nae part time pastor (firmino), kishamaliza mpira wake anawapiga tu hela waarabu, mwingine (Mane) akaamua nae kurudi kwao kuoa kabinti ka miaka 18, baada ya kumdanganya Mellisa Reddy kwa miaka na miaka, yaani vurugu tupu brother, but Salah bado yupo LFC anawaongoza wadogo zake kina Diaz, Gakpo, Jota, Nunez etc pale mbele, na kuwaongoza kwa kuwa mentor, NO, kwa kuwafudisha jinsi ya kufunga na kuiokoa TEAM inapokuhitaji, KILA WEEK. sasa wewe FSG unajifikiriaje kumpa new contract? absurd.
Tatizo tuna owners wapuuzi sana, brother.
VVD & Trent, tayari offers zao zipo kwenye table ya FSG, ni FSG ku-sanction tu, na inside stories ni kuwa suala la VVD halina shida kabisa, na Suala la Trent ni DOABLE, but kwa Salah ndiyo maswali ni mengi, but unakuwaje na maswali?
Slot deserves to work with these players hata kwa misimu miwili-mitatu.
Trent wants to be the HIGHEST paid player in the Club, na shida kidogo ndiyo ipo hapo, but i think FSG will curve in, maana kumuachia Trent kwenda Madrid itakuwa ni suala ambalo hawatasamehewa kamwe na scousers, & shida ni kuwa Madrid wanasubiria tu ku-strike, wapo mlangoni, its up kwa FSG ku-sort this out.
Na huwezi kumuachia Trent kaka, mimi mwenyewe nitaandamana na hawa stinking scousers, achia wote lakini siyo yule mtoto kaka, achia wote siyo yule, nakuwa na ugomvi nae mara kwa mara kwa hapa JF (kwa posts zangu za kumkosoa humu), ni kwasababu, wewe, mimi, na LFC fans wote wa humu, na dunia nzima kwa ujumla, tumemshuhudia huyu mtoto akikua at the club, unakumbuka wakati yupo academy, tulikuwa tumeshaanza kumuita new SG, now ni vice captain na ameshabeba kila kombe ngazi ya club at 26, imagine.
unamuachaje mtoto wetu tuliemlea aende Madrid for FREE? unforgivable.
Kiswahili Kingi lkn point tupuKlopp, atakuwa anaumia sana kila akimuangalia Caicedo msimu huu, kazi anayopiga bwana mdogo msimu pale katikati, si mchezo. yule mjerumani alivyokuwa bahili, kukubali FSG watoe £110m, ilikuwa ni BIG statement, tunachukulia poa, lakini imagine Klopp and FSG ku-bid £110m for a player, man, we wouldve won everything with Caicedo.
Ile game yetu dhidi ya Chelsea at Anfield, tulishindia uzoefu na akili ya ziada ya Kipara wetu, ila bwana mdogo Caicedo alishika dimba yote katikati, watu wanasema ile first-half dhidi ya Arsenal ndiyo ilikuwa game ngumu zaidi so far kwa Grav, but against Chelsea ndiyo ilikuwa ngumu Aisee, shughuli aliyopigishwa na Caicedo pale kati ilikuwa si mchezo, Kipara wetu kila akijaribu ku-tweak set-ups ili kumuokoa m-dutch mwenzake, shinpads bado zilikuwa zinawaka moto tu, hizi wanasemaga ni silent battles, vita inapigwa kimya kimya. kuna battle moja kati ya Fabinho Vs Rodri ilipigwa November 10, 2019 pale Etihad, ile Rodri alilala na Viatu nahisi, ilikuwa si mchezo ile battle, Fabinho was a MONSTER, no wonder he got washed up at 29, kazi aliyokuwa anafanya siyo ya mchezo.
Shughuli aliyopata mdogo wangu dhidi ya Caicedo, nahisi alivyofika dressing-room tu, akajitupa chini, haha, Sema Aisee, i cant express how much i love Grav, he is a warrior, a BEAST, proud of him.
mkuu,AREND "Arne" MARTIJN SLOT.
Couldnt ask for more.
There will be ups & downs, twists & turns, the road wont always be fair & nice, BUT, tell you what? i'm excited, so excited, i think, i mean, i really think, just like Jurgen, this man, this BALDY GENIUS, was made for our CLUB.
Yes, & again, Welcome abroad SLOT, i will support you every step of the way, you will get some heat-up msgs from me, well here & there, but thats how i am, haha, but kama ilivyokuwa kwa Klopp, you're legacy will be safe with me.
I've already watched & witnessed what you can really do with this Club, so nobody can tell me shit, didnt even got phased with another Genius, Amorim going to Utd, why would i? i've got you at LFC.
Theres still a LONG WAY to go, and i'm not carried away with these results, but i see hope, i see nothing but a good future, a good LFC team, a good LFC club.
I was there, at Anfield, at our Brighton game, and what you did in that second-half, left me fucking amazed & speechless, i was like, oh my word, this bald fucker, this bald fucker!!!!!! what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala is this???? hahaha. what a coach, again Mr. SLOT, WELCOME ABROAD.
I TRUST YOU.
View attachment 3144747
Trent if they don't have money to give him they should consult us fansBarcelona, just like any other club with senses watakuwa wanasubiri hatima ya Salah at LFC.