Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu,
what's your take on Amorin to Utd,?
huwa najaribu kufikiria, nini kilimshinda Erick ambacho yeye ataweza? bado namwona Eric kama kocha mzuri, sijui kwanini amefeli pale
Trent if they don't have money to give him they should consult us fans
If they sell trent i won't look any Liverpool match for two or three season
It will be a mental breakdown
Trent if they don't have money to give him they should consult us fans
If they sell trent i won't look any Liverpool match for two or three season
It will be a mental breakdown
Ukosoaji mwiingi lakini pumba tu, huna hoja ya kujibu.Maneno mengi lkn huwezi kuwapangia FSG cha kufanya
Huyo jamaa usimchukulie serious mkuu, ni kiazi hicho kilichobunguliwa.Ukosoaji mwiingi lakini pumba tu, huna hoja ya kujibu.
The MoNA Mkuu tunaomba game analysis
Raj Chohan, huyo i believe?
Was Edwards really the one who pointed-out Slot?
Kina Spearmann, mtawapa sifa zao lini? au mpaka nao watoe vitabu?
Suala la kuwa tactical insights zimeongezeka ni kweli, but msimu uliopita tuli-fall apart April (dakika za mwisho), tulikuwa kwenye title race, huku tuki-miss, kwa muda mkubwa uwepo wa kina Salah, Trent, Konate, Robertson, Kostas, Diaz, Gakpo, Jota, Szobo etc, kocha gani anaweza fanya hivyo? katika hizo previous seasons, kuna kipindi we were just 2 results away from winning the QAD, tuache revisionism, kisa tu Slot is doing good, na asingekuwa anafanya vizuri in the first place, bila la mazingira mazuri aliochiwa na Klopp, players wote hawa wanaompa matokeo week in, week out, ni wa Klopp, and Slot is always thanksful kwa hilo, angeweza kuja na kuwakuta kina finished Henderson/Fabinho/Mane/Firmino etc, but kakuta flesh players with flesh legs.
You can praise Slot bila kujaribu ku-look down on a manager who got us back to the top level.
Kuna tactical deficits nyingi sana kwenye game ya Slot, but huwezi kuwa NAIVE na kuanza kuzi-outline wakati anapata results na ukichukulia ni msimu wake wa kwanza, na hata kama angeanza vibaya angekuwa na support yangu, hao wanamsifia Slot now ndiyo wangekuwa wakwanza kumponda kama ange-fail, na huyo Raj Chohan na wafuasi wake wote, hakuna hata mmoja aliyekuwa anamtaka Slot, wote hao.
Ukosoaji mwiingi lakini pumba tu, huna hoja ya kujibu.
Mpuuze huyo usimjibu chochoteUkosoaji mwiingi lakini pumba tu, huna hoja ya kujibu.