Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG-20241106-WA0052.jpg
 
mkuu,
what's your take on Amorin to Utd,?

huwa najaribu kufikiria, nini kilimshinda Erick ambacho yeye ataweza? bado namwona Eric kama kocha mzuri, sijui kwanini amefeli pale

Brother, they have got it right, finally.

Dont get me wrong, bado naamini kuwa Erik ni very good coach, but kwasada his reputation has been damaged.

The ocassion & pressure ya kufundisha Utd ambayo ilikuwa inahitajika kurudi katika its best level & shape, got to him na aka-fail ku-cope na standards/demands za kuwa Utd manager, its not kuwa he was not good enough kuwa Utd coach, NO, HE WAS MORE THAN GOOD ENOUGH, he had better stats & trajectoy kuliko Slot wakati anaenda Utd kutokea Ajax, BUT alivyofika Utd, aliruhusu pressure & ocassion to get the best out of him, unakumbuka kuna baadhi ya games alipata results mbovu mfululizo, & akaamua ku-abandon kabla his style of play ambayo ilimpa mafanikio makubwa sana all over ulaya, na baada ikawa tabu kwake ku-print new style of play kwa his players, katika kutafuta new commandible style of play, akajikuta anazama kwenye dimbwi la tactical-frailties, na ukifika kwenye hii hatua, unakuwa huelewi unachokitafuta kwenye market, especially kwa scouts, na pia unaanza kukataliwa kwa vitendo na senior players, na kwa Erik ambaye he's not a good talker, motivator & man to man manager, inakuwa mgumu kui-control dressing room, at the end he lost the players, bar Martinez, Garnacho, Mainoo, Dalot and his recent additions window iliyopita, sidhani kama senior players kina Fernandes, Rashford, Casemiro, Etc were playing for him, na hii ina-affect the whole dressing room.

Hii ilimtokea Brendan Rodgers, baada ya msimu wa 2013/14, tulivyoanza msimu wa 2014/15 na series ya bad results, the pressure got to him, and decided to abandon style of play iliyompa mafanikio makubwa at LFC and Swansea, na baada ya hapo ikawa ni downhill kwa Rodgers.

Ukweli ni kuwa, kilimchomtokea Erik, kingeweza kumtokea Slot kama angekuja msimu wa 22/23, sometimes no matter how good you're, ukija kwenye team ambayo imeachwa katika bad shape, ni rahisi sana kupotea, maana fans & world wanakuwa wanakubebesha mzigo wa matarajio, so series ndogo ya bad results inaweza kukutoa kabisa mchezoni, especially kama siyo good speaker & motivator.

Kitakachomsaidia, Amorim, ni good man-management gaffer, good talker, good motivator, ana traits zote za Klopp or Slot, hence we interviewed him pia, & Utd kuna group la young players ambao wanaweza kumpa good results kama akifanikuwa kuwapa belief kuwa wanaweza kufikia level yeyote wanayotaka, (angalia Slot alichofanya kwa Grav, Gakpo, Diaz & Nunez) Amorim anaweza kufanya the same kwa kina Mainoo, Hojlund, Garnacho, Yoro, Ugarte, etc, na anahitaji time, na ni si chini ya 3 years, Utd are a mess brother, Amorim will need a lot of time.

But, i think he will do good at OT, tuache muda uzungumze, aki-flop Amorim at Utd, nadhani ndiyo utakuwa mwisho wa Utd at the top level.

&, its time owners wa Utd, wakubali kutoa ile tag ya "big club" na kukubali kuwa Utd should be a "project" now, ni kama walivyofanya FSG wakati Klopp anakuja, Arsenal kwa Arteta, and now Chelsea kwa Maresca, na zaidi Barcelona kwa Hansi Flick, na pia Bayern kwa Kompany. Teams/Clubs kuna kipindi lazima i-evolve, na kipindi hiki huwa unatakiwa ukubali maumivu na dharau, but ukuaji wake unakuwa ni wa muda mrefu sana, LFC tunakula matunda now ya Evolvement procedure iliyofanyika 9 years ago, dharau & painful moments tulizopitia kutengeneza a sustainable team/club structure, matunda yake ndiyo haya.
 

Raj Chohan, huyo i believe?

Was Edwards really the one who pointed-out Slot?

Kina Spearmann, mtawapa sifa zao lini? au mpaka nao watoe vitabu?

Suala la kuwa tactical insights zimeongezeka ni kweli, but msimu uliopita tuli-fall apart April (dakika za mwisho), tulikuwa kwenye title race, huku tuki-miss, kwa muda mkubwa uwepo wa kina Salah, Trent, Konate, Robertson, Kostas, Diaz, Gakpo, Jota, Szobo etc, kocha gani anaweza fanya hivyo? katika hizo previous seasons, kuna kipindi we were just 2 results away from winning the QAD, tuache revisionism, kisa tu Slot is doing good, na asingekuwa anafanya vizuri in the first place, bila la mazingira mazuri aliochiwa na Klopp, players wote hawa wanaompa matokeo week in, week out, ni wa Klopp, and Slot is always thanksful kwa hilo, angeweza kuja na kuwakuta kina finished Henderson/Fabinho/Mane/Firmino etc, but kakuta flesh players with flesh legs.

You can praise Slot bila kujaribu ku-look down on a manager who got us back to the top level.

Kuna tactical deficits nyingi sana kwenye game ya Slot, but huwezi kuwa NAIVE na kuanza kuzi-outline wakati anapata results na ukichukulia ni msimu wake wa kwanza, na hata kama angeanza vibaya angekuwa na support yangu, hao wanamsifia Slot now ndiyo wangekuwa wakwanza kumponda kama ange-fail, na huyo Raj Chohan na wafuasi wake wote, hakuna hata mmoja aliyekuwa anamtaka Slot, wote hao.
 
Trent if they don't have money to give him they should consult us fans

If they sell trent i won't look any Liverpool match for two or three season

It will be a mental breakdown

I think FSG will curve in.

Pesa ya kuwapa new contracts kina Salah, VVD, Trent kwa pamoja ipo, but its FSG, so ni kawaida.

Unaona wanatoa hata false reports kuhusu value ya deal la Adidas kwa msimu ujao, kila kitu kwao ni uongo, ili kudanganya fans kuwa we dont make enough money.

Takwimu zinasema, for the last 3-4 years, we have been the most watched club in the world now, games zetu zina-attract big & massive viewership around the world.

for the last 6-7 years Club imeshuhudia a big number of new supporters around the world, especially kwenye territory ngumu ya AFRICA, ambapo Utd/Arsenal/Chelsea wamekuwa wanaitawala FOR YEARS.

Hela ipo.
 
Trent if they don't have money to give him they should consult us fans

If they sell trent i won't look any Liverpool match for two or three season

It will be a mental breakdown

I think FSG will curve in.

Pesa ya kuwapa new contracts kina Salah, VVD, Trent kwa pamoja ipo, but its FSG, so ni kawaida.

Unaona wanatoa hata false reports kuhusu value ya deal la Adidas kwa msimu ujao, kila kitu kwao ni uongo, ili kudanganya fans kuwa we dont make enough money.

Takwimu zinasema, for the last 3-4 years, we have been the most watched club in the world now, games zetu zina-attract big & massive viewership around the world.

for the last 6-7 years Club imeshuhudia a big number of new supporters around the world, especially kwenye territory ngumu ya AFRICA, ambapo Utd/Arsenal/Chelsea wamekuwa wanaitawala FOR YEARS.

Hela ipo.
 
The MoNA Mkuu tunaomba game analysis

A team of second half???

Kwenye mpira kuna mambo mengi sana yanafanyika ili timu iwe na ushindi.

Kuna moments mbili within the match;

“mnakuwaje mkiwa na mpira na mkiwa hamna mpira mnakuje?”

Tactics zenu ni jambo la kwanza na kufikiria nikifanya hivi na mpinzani wangu afanye hivi kisha mbinu zangu zikafeli nitafanya nini? Lazima pia uwaze anachoweza kufanya opponent wako kupitia mbinu zako. Ni mtego kutegua nikutege utegue nikutege mpaka unase.

Last four matches tumekua na hali hiyo ya kuwa ni kipindi cha kwanza kisichoeleweka but a beautiful second half. This tell us Slot ni kocha ambaye anaweza kusoma mchezo na kuja na plan nyingine kutokana na plan yake kushikwa, not only kumtegemea mchezaji aongeze juhudi yes ataongeza juhudi ila kama mbinu yako haimrahisishi kazi bado atateseka kwenye mechi husika.

Slot anajua pressing yake inakosa mtu mwenye uwezo wa pressing na good ending product. Akachagua na option ya Diaz over Nunez na Jones over Szobo. I usually like Jones akiwa fit anakupa kitu kizuri sana, he is a good ball carrier akiwa na mali mguuni una uhakika anaweza kufanya tukio lenye faida. Diaz alipewe false 9 role huku wakipea na Jones kama no. 10 wawili hivi why? Sababu yule J. Tah ni beast kwenye 1v1 hasa akicheza na natural ST. So Diaz as ST lkn wa uongo hivi akawa anashuka deep kidogo kumvuta Tah na Jones anasoge mbele kidgo ili kupunguza idadia kwenye line yao ya mwisho. Pressing with 4-2-4 ndio mfumo wa Slot but sometimes anaenda na 3-2-4-1 (rare),

Alonso ni mzuri sana kwenye possession football ameiset timu kushambulia zaidi SPACES ana aamini SPACE & TIME ndio msingi mzuri wa kushinda mechi zako, ila mkiwa karibu karibu, akaja na 5-2-3 on paper ila within a match inakuwa 3-4-3. 1st half kwenye 4-2-4 pressing hatukuiweza build up ya Leverkusen, why? They have 1 full season wakicheza hivyo (experienced) while Slot he has 4 months and few weeks. Thanks we ended 0-0 1st, ukitukosa 1st half atleast 2-0 second half utalionja joto especailly at Anfield.

Second Half Slot chosen to go with 1v1, kwa sababu alijua only with pressing tunatengeneza loopholes na watatuumiza, lets go and try 1v1 but keep running, keep running, keep running, we gear up and come with 4-0,
Diaz ability ni dribbling akishuka deep anaweza kufanya dangerous dribbling ambaya inasaidia kuvuta Leverkusen players na kuacha Spaces na mipira kupigwa wide areas.

Gakpo, Jones, Salah, Diaz as fronts men were on form,

Kelleher again what a GK we have so far as our 2nd GK , Top Top Top GK, with outstanding performance week kn week out. Unfortunately anapokea zake 10k p/w renew his contract give him atleast 80k p/w. Lets have him next season, loan Mamardashvili until 2025/2027, Kelleher deserves alot.

Trent has defensively improvement its on next level so far, kwa kuangalia alipokuwa na sasa defensively. Nafikiri imebidi akibaliane na ukweli he is not a good MF, why? Trent akilipa goli mgongo he is not threat compare na akiutazama uwanja kwa upana akiwa RB,

Konate defending was never his weakness but, passing game yake was on at the level he has this season, qaulity passes.

Slot as coach ame surprise wengi he has exceeded majority expectations. Yes amerithi kikosi kizuri, but that doesn’t guarantee you a good season, quality inaongea pia. He is a communicator, ana management nzuri sana with players.

Alichokifanya jana kwa Quansah ni good player management. Why? Quansah amekuwa na errors lead to goal last season vs utd, this season New coach (Slot), alimuamini over Konate game ya kwanza vs Ipswich only 45 mins akasugua bench. Kapewa chance vs Brighton, poor passes yake ikasababisha goal, bad lack kwake goal la kujifunga you are not senior player lack of experience, CL game anapewa some mins ahead of Gomez aliyeonesha outstanding performance vs Brighton, hii maana yake regardless of everything i trust you and get ready for any mins you will get.

Slot anajua kupewa 5-10 mins kwa mchezaji ni kero moyoni kama usumbufu hivi but he wants you to be ready even for 1 min.

But we need proper DM in January, possible quadruple?? May be who knows??

Under Slot so far;

16 matches played

14 win[emoji736]
1 draw[emoji1754]
1 lose [emoji777]

Team of the 2nd half.

With natural DM we will be ready for possession football & trophies, but for now let’s see how we can win our matches.

Ile October to December inazidi kupungua

Chelsea [emoji736]
Leipzig [emoji736]
Arsenal[emoji1754]
Brighton[emoji736]
Leverkusen [emoji736]
Aston Villa [emoji3480]


Kept three cleansheets in our four UCL this season.
Top of the table EPL
Top of the table CL (mpaka sasa).
Up reds

Know You Can.
Ynwa’
 
Raj Chohan, huyo i believe?

Was Edwards really the one who pointed-out Slot?

Kina Spearmann, mtawapa sifa zao lini? au mpaka nao watoe vitabu?

Suala la kuwa tactical insights zimeongezeka ni kweli, but msimu uliopita tuli-fall apart April (dakika za mwisho), tulikuwa kwenye title race, huku tuki-miss, kwa muda mkubwa uwepo wa kina Salah, Trent, Konate, Robertson, Kostas, Diaz, Gakpo, Jota, Szobo etc, kocha gani anaweza fanya hivyo? katika hizo previous seasons, kuna kipindi we were just 2 results away from winning the QAD, tuache revisionism, kisa tu Slot is doing good, na asingekuwa anafanya vizuri in the first place, bila la mazingira mazuri aliochiwa na Klopp, players wote hawa wanaompa matokeo week in, week out, ni wa Klopp, and Slot is always thanksful kwa hilo, angeweza kuja na kuwakuta kina finished Henderson/Fabinho/Mane/Firmino etc, but kakuta flesh players with flesh legs.

You can praise Slot bila kujaribu ku-look down on a manager who got us back to the top level.

Kuna tactical deficits nyingi sana kwenye game ya Slot, but huwezi kuwa NAIVE na kuanza kuzi-outline wakati anapata results na ukichukulia ni msimu wake wa kwanza, na hata kama angeanza vibaya angekuwa na support yangu, hao wanamsifia Slot now ndiyo wangekuwa wakwanza kumponda kama ange-fail, na huyo Raj Chohan na wafuasi wake wote, hakuna hata mmoja aliyekuwa anamtaka Slot, wote hao.

Lakini bro it hard to speak about Slot without name Klopp, ni ngumu sana. After this season Slot ataanza kujitegemea mwenyewe its a nature.

Hivi umewaza kocha atakaye mrithi Pep itakuwaje? It will be Pap vs his successor, remember after Sir Fergie it was Moyes vs Fergie.

Hizi mbona mbona kukwepa ni ngumu but i agree with you.

Wengi hatukufikiri kama Slot atakuwa anachokifanya, but i agreed with that i expected nothing from, presence ya kubadili tu kocha ilibidi nikubaliane nayo why,? A world class coach like Klopp akikuambia im no more you have to accept him, kama Pep anavyowaambia City im no more you have to accept his decision.

After watching Slot’s pre season, niliona he has something we needed, 1 double pivot, kama Fabinho angepata hii system ya double pivot huenda tungekuwa naye till to date, how calm he is kwenye kutafuta ushindi , and jinsi alivyo mnyumbulikaji vs opponent ilinipa kuamini we are on the right track.

Game vs Arsenal’s preseason kama sijakosea, he used double 10 kwa sababu hakua na natural ST. Hii inakupa pic ni jinsi gani coach unapaswa kuishi na ulichonacho in term haujapata unayemtaka kwa factors kadhaa.

Im still 50/50 kwenye trophies sina matarajio makubwa kwake, lets enjoy our moment.

Ynwa’
 

Ukijifunza kwa nyakati mbaya unaruhusu nyakati nzuri zikujie.

Since NF lost, Slot alijifunza kitu kikubwa” “do not panic” uki panic tayari reasoning abikity yako inashuka, na reasoning yake ikipungua unaanza kufanya kwa hisia na ukifikia hii stage hauwezi kufikiria tena kwa mantic unaamua chochote ili kushindana na pressure.

Just stay calm in whatever scenario.

Slot ameona not only possession will give you good results you need to gear up your speeding game, thats help you over possession team. Yes Slot anakubali possession tactics unaweza ukanizidi let me speed up my game plus slightly possession then tupishane hapo.

Hii possission football not easy na inakuwa mfu ikiwa:-

Hauna watekelezaji wazuri ikiwa na maana quality Passes, Composure, technical abilities. Kama game ya jana kuna muda unaona hey why you take Long passes wakati zote tunapoteza kirahisi?? Again kuna moment unaona eishhh kwa nini pasi ya mbali wakati with short pass ungeweza kumfikia uliyetaka afikiwe?? Kukosa wachezaji wenye uwezo huo, possession football itakusumbua as a coacha and as a player,

Thats why unaona Jones anashine, Gravern, Vvd, Macca (but last 2-4 matches anaonekana off form), Konate, quality passess kwenye possession uta shine sana. I cant imagine prime Fabinho and Bobby under Slot would be easier.

Kumbuka Slot ni good communicator some players need words only and the rest utafurahia, it is what Klopp aliwashinda wengi,

Imagine timu ina average players wengi ila ukikutana nayo unaweza sema ina top top world class player. Players need recognation nakuamini huo sio uwezo go and show kop what you are capable of.

Ynwa’
 
Back
Top Bottom