Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama Wolverhampton aisee jamaa wanampira wa kumwagika, matokeo ndio shughuli sema wanakosa striking force ya maana

Ynwa
Wolverhampton walikua wanaelekea pambaya kwenye hesabu zao hivyo ilibidi wauze wachezaji wao bora bila kusajili tena ndio kinachowasumbua.
Wanamilikiwa na Mchina tangu 2016 na ni moja ya matajiri wakubwa pale Uingereza ishu hua ni kwamba ku balance vitabu ilibidi wauze tu... Upande mwingine wame nunua baadhi ya wachezaji wameshindwa kabisa kung'aa kuna Goncalo Guedes £27m na haku click... Patrick Cutrone nae kwa £22m na Fabio Silva kwa £35m wote hawa wamewagharimu sana timu. Maana output yao haikuedana na bei zao.

YNWA
 
The Slot bullet Train is getting full day by day...
Whats i admire most about Slot is his vision about the current squad, he has plan for every player, he knows every player weakness and strength and thus improving em day by day and the results do the talking...
Tazama 'useless' Tsimikas game now man i had written off this boy auzwe tu lakini kwa sasa he is untouchable kabisa.
Tazama Diaz alikua shoo shoo lakin sasa hiv he is out scoring Salah 🤣🤣🤣
Trent nae discussion yake ilikua arudi kucheza DM lakin Slot wala hakuingia kwenye huo mkenge akaanza kumuweka dogo sawa defensive wise. Sasa hivi dogo anaelekea kua beki bora kabisa.

YNWA
 

Sahihi na kwa level waliyojipa back in a days kipindi cha Nuno, ilikuwa ngumu kutegemea unknown players, hawa waliosajiliwa atleast media ziliwaona na kuwaongelea hata bei zao unaona zimechangamka kwa level ya Wolverhampton…!!!

It’s their time to sit down na kuangalia option mbili;

tumvumilie O’Neil na kumpa muda lkn target kubwa iwe kubaki EPL, au tukubali ameshindwa tutafute option nyingine.

Kwa sababu kwenye mpira tactics are nothing if you miss quality, every tactics works ila wanaofanya mpaka hiyo tactics ifanye kazi wana uwezo huo??

I wish them all the best, wabaki EPL,

Ynwa’
 
That where we belong....
Slot bringing the era of 80s fast forward to 2024.
Msimu huu bila majeruhi ubingwa wa UCL ama EPL unatua Liverpool.

YNWA

Kuna muda injuries inabidi ziwepo waongine waonekana (though its a gambling) Imagine Full fit AB1 Kelleher asingeonekana, Clyne’s injury ikamuibua Trent,

Hata injury zikiwepo ziwe short term tu, za hapa na pale but not injury crisis kama tuliyopitia last season.

Thats why Slot is much carefully with his boys.

Mwanzo alipokuwa anawatoa, walinuna but currently they have understood the concept.

Best of luck to us,

Ynwa’
 
Mosdef hawa watu wasilewe
Mosdef hawa watu wasilete unnecessary nonsense aisee
 
Yeah nakumbuka aliumia Henderson na kadi kwa VVD ndio tukamwelewa baldest boy kutoka Samba Fabihno ni nani...
Ni maumivu kwa wengine na fursa kwa wengine...
Man tumetoka mbali aisee there was atime tulimtegmea Clyine kama 1st choice RB na akina Sakho the Cyborg lol Klopp alipo aishi miaka mingi sana ili azidi kubarikiwa maana alitutoa shimoni kabisa...
Kuna wachezaji fualni leo hii hata bench hawawezi kusogelea lakin miaka hio ndio ilikia uwezo wetu kwanza kuwavutia, na malipo, malengo nk nk zilikua hafifu sanaaa.

YNWA
 
Miaka hiooo hapa kazi angepewa Tony Pulis na bila shaka angewaokoa aisee kwa sasa sijaona kocha wa huko chini mwenye mbinu hizo labda huyu wa Everton.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…