Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Wolverhampton walikua wanaelekea pambaya kwenye hesabu zao hivyo ilibidi wauze wachezaji wao bora bila kusajili tena ndio kinachowasumbua.Kama Wolverhampton aisee jamaa wanampira wa kumwagika, matokeo ndio shughuli sema wanakosa striking force ya maana
Ynwa
Wanamilikiwa na Mchina tangu 2016 na ni moja ya matajiri wakubwa pale Uingereza ishu hua ni kwamba ku balance vitabu ilibidi wauze tu... Upande mwingine wame nunua baadhi ya wachezaji wameshindwa kabisa kung'aa kuna Goncalo Guedes £27m na haku click... Patrick Cutrone nae kwa £22m na Fabio Silva kwa £35m wote hawa wamewagharimu sana timu. Maana output yao haikuedana na bei zao.
YNWA