Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot 2024-11-08 at 15.50.36.png
 
Yeah nakumbuka aliumia Henderson na kadi kwa VVD ndio tukamwelewa baldest boy kutoka Samba Fabihno ni nani...
Ni maumivu kwa wengine na fursa kwa wengine...
Man tumetoka mbali aisee there was atime tulimtegmea Clyine kama 1st choice RB na akina Sakho the Cyborg lol Klopp alipo aishi miaka mingi sana ili azidi kubarikiwa maana alitutoa shimoni kabisa...
Kuna wachezaji fualni leo hii hata bench hawawezi kusogelea lakin miaka hio ndio ilikia uwezo wetu kwanza kuwavutia, na malipo, malengo nk nk zilikua hafifu sanaaa.

YNWA

Bald from Brazil alipiga CB ya kati na Matip game vs Bayern at Anfield ikaenda 0-0, ile siku jamaa alichafua sana. He dealt with Lewandowski perpendicular [emoji1487][emoji1487]

Mwanzo hata Klopp aliamini watatufikisha somewhere, ile final vs Madrid 3-1, akaona hapana hapa najidanganya, maamuzi magumu yalifanyika na msimu uliofuata tukabeba CL.

Baada ya hapo akaendelea kuwaondoa mmoja mmoja mpaka akapata wanajeshi wake.

Ujue huu mpira unatia upofu, ni zaidi ya mapenzi, unaona hapa hii timu itabeba makombe, ila kiuhalisia ni mapenzi yamezidi kiasi hauoni weakness.

Kumbuka line up yetu vs Madrid 2014/2015 [emoji81][emoji81] pale nilijionea tu hakuna kushinda, ni miongoni mwa mechi niliona kufungwa kupo nje nje.

Watu wana prime Cr7, Benzema, Kroos, Modric, Sisi tuna Sterling, Balloteli, Allen, Glen Jonhson, hii ni quality vs quantity.

Klopp will be remembered always

Know You Can’
Ynwa’
 
Miaka hiooo hapa kazi angepewa Tony Pulis na bila shaka angewaokoa aisee kwa sasa sijaona kocha wa huko chini mwenye mbinu hizo labda huyu wa Everton.

YNWA

Dyche’ anaweza hizi kazi za uokozi’

Wamtafute Graham Potter huyu jamaa anawafaa 100%, Wolves ni timu ina tamaduni zinazoendana sawa na Brighton.

Na good thing hana timu, ila atawachomoa huko chini na squad waliyonayo currently. Wanahitaji small details tu.
Sio kwamba Gary O’neil ni mbaya sometimes mambo yanakataa tu, wafanye maamuzi magumu mapema.

Ynwa’
 
Where does Elliott fit most RCM ama Right winger....
I prefer acheze Right Central Midfield..

Chiesa ni Left winga pale ndio hua anasepa na kijiji during his good days.

Jota ni namba 9 invented.

Allison Undisputed shot stopper.

YNWA

Elliot as RCM ni mzuri sana hasa mechi ikiwa na intensity. RW kivuli cha Salah kinamuogopesha sana, but RCM ni mzuri, even as 10 he can deliver there vizuri

Ynwa’
 
They Started with "Liverpool will struggle after Jurgen Klopp's departure, but we started winning"

Then they Changed to Liverpool are yet to beat any Top Team despite beating Manchester United, but we defeated a Top Team

And they Continued with Liverpool are yet to beat any club in Top 6, but we disgraced a Top 6 Club

Now they're saying Liverpool has not beaten any club above them😂😂

Some have started saying Liverpool are yet to beat any club outside Planet Earth😂

While they're busy Hating we're busy Winning, It's Lonely at the Top in the Premier League it's Lonely at the Top in the CHAMPIONS LEAGUE,

Premier League and CHAMPIONS LEAGUE Teams should just surrender all the Trophies to us rather than continue playing and we still end up winning the Quadruple this Season

SLOT BALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL
 
They Started with "Liverpool will struggle after Jurgen Klopp's departure, but we started winning"

Then they Changed to Liverpool are yet to beat any Top Team despite beating Manchester United, but we defeated a Top Team

And they Continued with Liverpool are yet to beat any club in Top 6, but we disgraced a Top 6 Club

Now they're saying Liverpool has not beaten any club above them[emoji23][emoji23]

Some have started saying Liverpool are yet to beat any club outside Planet Earth[emoji23]

While they're busy Hating we're busy Winning, It's Lonely at the Top in the Premier League it's Lonely at the Top in the CHAMPIONS LEAGUE,

Premier League and CHAMPIONS LEAGUE Teams should just surrender all the Trophies to us rather than continue playing and we still end up winning the Quadruple this Season

SLOT BALLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL

Focus is hugely needed now more than ever.

Slot anakuambia sio mara ya kwanza LFC kuwa top wameshawahi kuwa hivyo huko nyuma, na small margin ya point(s), hivyo vijana wanaelewa hali kama hii huwa vipi.

Slot mental resilience itaamua mengi sana, than onley team performance.

Know You Can
Ynwa’
 
Suares sio red, alikuwa anatumikia ujira wake kwa uaminifu mkubwa. Namkubali sana.

Heeheh he is a red na anaipenda Liverpool thats why kabla ya kwenda Barca, alisema this will be my last season kama hatutachukua EPL.

Bahati mbaya ile shangalia ilikelat walakini sana, sema tu Kops visirani walimuheshimu sana ila ile kushangilia tu vs LFC ikawa bye bye.

Alishaonekana akitoka Anfield na Jersey za LFC, kwa siri na paparazi.

IMG_6699.jpg
 
View attachment 3147281
Binafsi tangu ashangilie lile goli walilotufunga nimemuondoa kwenye u cop
 
Raj Chohan, huyo i believe?

Was Edwards really the one who pointed-out Slot?

Kina Spearmann, mtawapa sifa zao lini? au mpaka nao watoe vitabu?

Suala la kuwa tactical insights zimeongezeka ni kweli, but msimu uliopita tuli-fall apart April (dakika za mwisho), tulikuwa kwenye title race, huku tuki-miss, kwa muda mkubwa uwepo wa kina Salah, Trent, Konate, Robertson, Kostas, Diaz, Gakpo, Jota, Szobo etc, kocha gani anaweza fanya hivyo? katika hizo previous seasons, kuna kipindi we were just 2 results away from winning the QAD, tuache revisionism, kisa tu Slot is doing good, na asingekuwa anafanya vizuri in the first place, bila la mazingira mazuri aliochiwa na Klopp, players wote hawa wanaompa matokeo week in, week out, ni wa Klopp, and Slot is always thanksful kwa hilo, angeweza kuja na kuwakuta kina finished Henderson/Fabinho/Mane/Firmino etc, but kakuta flesh players with flesh legs.

You can praise Slot bila kujaribu ku-look down on a manager who got us back to the top level.

Kuna tactical deficits nyingi sana kwenye game ya Slot, but huwezi kuwa NAIVE na kuanza kuzi-outline wakati anapata results na ukichukulia ni msimu wake wa kwanza, na hata kama angeanza vibaya angekuwa na support yangu, hao wanamsifia Slot now ndiyo wangekuwa wakwanza kumponda kama ange-fail, na huyo Raj Chohan na wafuasi wake wote, hakuna hata mmoja aliyekuwa anamtaka Slot, wote hao.
Mi sitamsamehe Klopp kwa fainali ya CL 2022 na PL 2019
 
🚨🗣Arne Slot on game plan for Saturday:

"It's not that difficult as Emry has played the same way for multiple years, it's always the same style and formation.

"Saying this, Xabi was also the same, before he played Boniface at left wing, he never done that before"
 
Back
Top Bottom