Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Unaambiwa Chiessa kwenye mazoezi akiambiwa akimbie tu anapata injury
 
Are FSG willing to pay that much? They might bring in a rookie for just 100k a week
KDB earns 400k and he deserve that much...
Point wise and merchandise wise Salah is worth more than 500k, zama zimebadilika. Kwanza kule kujilinda kwake tu asiumie ni kigezo tosha kwamba miaka miwili ijayo atakua bado ana performance bora.
Apewe tu 500k yake.
Na wakati huo huo waongeze kwa Diaz angalau 200k na dogo Trent apewe 350kπŸ˜…πŸ˜…πŸ€”πŸ€”...
VVD apewe 300k.
FSG wako very sensitive kwenye wages na too bad Edwards sio muumini wa kuwapa mikataba wachezaji wa 30+ nyongeza but when they play as they do why not guys wapewe tu.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…