Lakini bro it hard to speak about Slot without name Klopp, ni ngumu sana. After this season Slot ataanza kujitegemea mwenyewe its a nature.
Hivi umewaza kocha atakaye mrithi Pep itakuwaje? It will be Pap vs his successor, remember after Sir Fergie it was Moyes vs Fergie.
Hizi mbona mbona kukwepa ni ngumu but i agree with you.
Wengi hatukufikiri kama Slot atakuwa anachokifanya, but i agreed with that i expected nothing from, presence ya kubadili tu kocha ilibidi nikubaliane nayo why,? A world class coach like Klopp akikuambia im no more you have to accept him, kama Pep anavyowaambia City im no more you have to accept his decision.
After watching Slot’s pre season, niliona he has something we needed, 1 double pivot, kama Fabinho angepata hii system ya double pivot huenda tungekuwa naye till to date, how calm he is kwenye kutafuta ushindi , and jinsi alivyo mnyumbulikaji vs opponent ilinipa kuamini we are on the right track.
Game vs Arsenal’s preseason kama sijakosea, he used double 10 kwa sababu hakua na natural ST. Hii inakupa pic ni jinsi gani coach unapaswa kuishi na ulichonacho in term haujapata unayemtaka kwa factors kadhaa.
Im still 50/50 kwenye trophies sina matarajio makubwa kwake, lets enjoy our moment.
Ynwa’
Ni manner ya jinsi unavyomuongelea Klopp, its not about Slot here brother.
You can praise Slot's work bila kudogosha kile alichofanya Klopp at the Club.
Slot bado mpya sana, siombi kabisa itokee, but bado hajakutana na CHANGAMOTO yeyote at the club, na hii imechangiwa sana na kile alichoacha mtangulizi wake, na ndiyo maana huwa nasema, Klopp ni greatest Human-Being kuwahi kuitembelea LFC, hii club ingekuwa ni takataka bila Klopp kaka, uelekeo wetu baada ya Rodgers kuvurunda ulikuwa unaonekana brother, tungekosea appoitment ya Kocha kipindi kile, tulikuwa tunaenda kuoza, unajua kuwa Carlo alitukataa, options zilizokuwa mezani ni De Boer & Roberto Martinez, kabla ya Klopp kuamua kupokea simu za FSG, tulikuwa tuna options hizo tu, kama angetakaa, na angekuja, lets say, Roberto Martinez tungekuwa wapi now? huyo Slot angetaka hata kuja LFC? unajua why Slot alizikataa Chelsea na Spurs last season & kabla ya hapo? kwasababu ni MOJA tu, project hazikuwq stable, kaja LFC kwasababu ya Project hii, unamu-offer Alisson, VVD, Konate, Trent, Alexis, Ryan, Szobo, Gakpo, Nunez, Salah, Jota, Diaz, Curtis, Elliott, etc, anatakaa vipi kuja? na pia team imetoka kwa his role model Klopp? Klopp angekuwa selfish si angefanya kama Fergie kuiacha Utd na wazee? mbona alibaki na kuitengeneza team upya? hivi vitu hatuzingatii tunapomdogosha Klopp.
Klopp, alichukua LFC iliyokuwa na kikosi cha kina Mignolet, Brad Jones, Manquillo, Lovren, Sakho, Moreno, Can, Markovic, Balotelli, Lucas, Henderson, Borini, Skrtel, Lallana, Milner etc, NINE YEARS later baada ya kushinda kila kombe kwenye ngazi ya Club, kaacha kikosi chenye kina Alisson, VVD, Konate, Trent, Robertson, Kostas, Grav, Alexis, Szobo, Gomez, Curtis, Diaz, Gakpo, Salah, Nunez, Jota, Bradley, etc, unaona UTOFAUTI? angeamua ku-sabotage club si angefanya tu il kulinda his legacy? mbona kawa un-selfish?
Funny thing is, Slot bado anatembea na style of play kwenye BIG games zote, na sahiv imekuwa norm, kila game anatembea na style of play, because he's SMART, huwezi ku-imprint your new ideas now wakati team ipo kwenye good form, alichofanya ni ku-tweak tu shape ya kwenye midfield, instead ya kutumia recycler/retreaver (Endo or Alexis at 6) anatumia a flat bully ball carrier/progressor as a 6 ili ku-open up running voids za our wingers (LW & RW), hii ndiyo ilikuwa Klopp bread & butter kipindi cha kina Fabinho, kabla ya legs za fabinho kufa na ku-revert back kwenye retrieving pattern mode, hence we brought in Thiago, it limited Salah goal scoring chances/stats, but because ya kutokuwa na quick legs kwenye kiungo, ilitusaidia tuwe most watchable ball retainers in the league.
You know what? when Klopp said he was leaving, sikuwa hata shocked, kama ulikuwa unamsoma Klopp, ni mtu ambaye haamini katika PLAN B (tulikuwa tunapiga sana kelele kwenye hili), tulikuwa tunalia sana kila siku na Lovren, kila siku tulikuwa tunajiuliza humu, lini tunanunua a CB? mbona wapo wengi? kila siku tulikuwa tunakuja na majina humu, ila kwake ilikuwa ni VVD, it was him or NO ONE, ndiyo maana tulipokuwa busted na Southampton kule Blackpool, aliamua kusubiri tena mpaka january, hatuku-sign CB yeyote, na ilituumiza sana, but kwa Klopp ilikuwa ni VVD or BURST, ndiyo maana we broke the record and paid £75m for him, Klopp alifanya hivyo kwa Alisson, he was ready to continue na Karius, mpaka Roma walivyolegeza msimamo, na utakumbuka we had kuipiga chini move ya Fekir ambayo ilikuwa imebaki kusainiwa tu papers, but funds zilikuww tight, so it was HIM or BECKER, Klopp went for Becker bila hata kujiuliza, na hii ni baada ya kusubiria sana, same kwa Fabinho, na hawa ndiyo players waliobadilisha uelekeo wa LFC for good. so baada ya Fabinho kuanza kupotea, scouts walimpa majina mengi sana, but kati ya yote hayo he got obsessed na Tchouameni, ikawa ni HIM or BURST, na tulivyomkosa Klopo akagoma ku-sign players mwingine yeyote at DM, then akaibuka Caicedo, naye tukamkosa, nikajua tu, deep down kabisa, Klopp hana muda mrefu at LFC, because after Tchou & Caicedo, me binafsi sikuona DM mwingine ambaye Klopp angemuhitaji kwa nguvu zote, & he felt kuwa FSG didnt do enough kuhusiana na Caicedo. City had Rodri, Arsenal had Rice, that was so draining.
But, at the end our MF rebuild wasnt bad, especially signing iliyokuwa inaonekana ni pointless ya Gravenberch.
I like Slot, mimi nipo na scouser, believe me, 99% of scousers wanted Amorim at LFC, not Slot, jina lake lilivyotajwa, kulikuwa kuna ubaridi sana, yale maneno ya "trust edwards" ndiyo yalikuwa yamejaa, watu walikuwa hawamuamini Slot, but Edwards, kwamba Edwards hawezi fanya mistakes, scousers wote walianza kuwa behind na Slot baada ya Klopp kumuimba at Anfield wakati anaondoka na kuwaambia WAMUAMINI SLOT, ndiyo mtaani kukabadilika, sasa kuna watu ambao walikuwa hawamtaki kabisa Slot, nawaona kila siku kwenye platforms mbali mbali wanamwita genius now, mimi napenda na nafatilia mpira, na tangu mwanzo sikuwa na shaka na appointment ya Slot, nilivyosikia mwisho wa interviews, it was him or Amorim, nilikuwa nimejiandaa kwa yeyote atayepita, because wote ni good coaches na zilikuwa ni right profiles.
Slot, ana safari ndefu at LFC, but haijalishi kuwa kakuta a good team, mazingira mazuri etc, anachofanya kwasasa ni KIKUBWA sana, it takes a GIANT to be a GIANT.
But, i know for a fact, kama Slot angeanza na results mbovu, najua kabisa ningekuwa nashinda humu kumtetea, maana najua angekuwa anatukanwa sana, na ukizingatia katokea Feyernoord, angekuwa anatukanwa yeye na FSG kila siku, but Mungu ni mwema kaanza vizuri, so ametusaidia kuficha ujinga na uzandiki wa mashabiki wq LFC duniani kote, siyo tu humu.
Mimi kwangu, LFC ni KWANZA, then vingine vinafata, na kama umesoma sana my posts huko nyuma, huwa simkosoi manager msimu wake wa kwanza, na huwa naanza ku-call for his head msimu wa tatu (kama mambo yakiwa yanaenda kombo), nina maswali mengi sana kuhusu technical abilities za Slot, na nikiamua kuandika hapa, nitaja feed, but sipo hivyo, this is his first season, na technically, mchezaji wake ni Chiesa tu, na mpira wake tutaanza kuona akipata DM wake anayemuhitaji (Zubimendi was the one), hapa nilipo na-revisit game ya Astona Villa, baada ya kumaliza ya Arsenal, huwa napenda kuangalia mpira in detail, bacause ni kazi yangu, but huwezi kuona nauza articles za kumkosoa Slot now, NO, this is his adjustment period, na so far ame-prove kuwa LFC is NOT that BIG kwake.