Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Amepiga lingine la Free-kick jana dhidi ya Stugart.
 
Mi sitamsamehe Klopp kwa fainali ya CL 2022 na PL 2019

Brother, kwenye CL ulitaka Klopp afanyaje? au kitu gani alitakiwa kufanya? karibu tujadili, maana kama unasema hutokuja kumsamehe, it means kuna sehem kubwa uliona amekosea, tujadili haya makosa, karibu.

Msimu wa 2018/19, we lost a league by 1 point.

We finished the league with;
1. 97 points
2. Salah & Mane as joint top scorers
3. Fewest goals conceded
4. Alisson with most clean sheets
5. Virgil won PL player of the year
6. etc

Meaning, tulikuwa tumekamilika kila idara, defense, MF & our attacking line, unfortunately we were going against Pep Guardiola & Man City ambao walikuwa on TOP form, but tulipoteza title kwa ONE point tu, City won it by 98 points.

Unajua, what it TAKES kugusa points 97 kwenye league marathon? mbona mnachukulia sana poa huu mchezo Aisee? au kwa kuwa mnaangalia tu kwenye TV? unaelewa wachezaji & bench la ufundi wanatakiwa kuwa katika LEVEL ipi phyically & mentally ku-clock hizo 97 points? tena kwenye league ngumu kama ya EPL? acha masikhara Aisee.

Then, huo mwaka unaonsema hutamsamehe Klopp kwa ku-clock 97 points, ndiyo tulipepa CHAMPIONS LEAGUE TROPHY after 14 years, same year tukashinda UEFA Super Cup, FIFA Club World Cup.

Then msimu uliofatia, 2019/20, we won the LEAGUE by 99 POINTS, 1 points off 100, and guess what? umesikia kuhusu Coote leo, the reason we didnt touch 100 POINTS, ni ile controvesial game yetu na Burnley at Anfield, ambayo Coote alikuwa ni refa.

Hebu acha kuchukulia mpira poa, kuna reason why players like Fabinho, Firmino, Gini, Mane, Henderson etc, started to struggle with injuries or lost their legs wakati bado umri unaruhusu, kulingana na LEVEL ya mpira tuliyokuwa tunacheza from 2018-2022.

Huwezi kumsamehe Manager, ambaye kakupa kila aina ya Kombe kwenye ngazi ya Club, huku akienda toe to toe na powerhouses kama Man City kwenye league, Messi's Barcelona, Ronaldo's & Benzema's madird, Bayern ya Muller & Lewandowski etc.

PL? kakupa
CL? Kakupa
FA Cups? Kakupa
EFL Cups? Kakupa
USC? Kakupa
FIFA Club World Cup? Kakupa

It took us 30 years ku-land a PL trophy.
14 years ku-land a CL trophy
15 years ku-land a FA Cup trophy
15 years ku-land a USC trophy
First time ever ku-land FIFA CWC.

Why, usiwe na shukrani kwa kocha aliyekuja na ku-break hii generational curse? huyo kocha ambaye huwezi msamehe kama angeamua kuondoka baada ya msimu wa 2022/23, hii club ingekuwa katika hali gani? alibaki na akaitengeneza hii team from the scratch tena, now wachezaji ambao ulikuwa unasema ni mizigo last season, kina Grav/Szobo/Nunez wanakupa points week in, week out, chini ya New coach, what if huyo new coach angekuja na kukutana na washed up Fabinho, Henderson, Firmino, Mane etc? form na aina ya mpira tunaocheza now ingekuwa the same? kuweni na shukrani sometimes, mpira siyo mwepesi kama mnavyodhani, its take a lot work na kujitoa kuwa mjuvi wa taaluma ya mpira, na hii inaenda kwenye fani/kazi ya mtu yeyote yule.
 
I completely agree. Klopp has been an absolute game-changer for Liverpool. The level of consistency and success we've seen under his tenure is truly remarkable.

It's easy to forget just how far we've come in such a short period. The team was in a bit of a rut before Klopp arrived, and he's completely transformed us into a dominant force in both domestic and European competitions.

To achieve the level of points we did in the 2018/19 and 2019/20 seasons, while also competing in multiple competitions, is a testament to Klopp's tactical acumen and the incredible work ethic of the players.

It's disappointing to see some fans take Klopp's success for granted. The Premier League is arguably the toughest league in the world, and to consistently challenge for titles year after year is no easy feat.

Klopp has given us memories that will last a lifetime. And while it's always disappointing to lose a title, especially by such a small margin, we should be proud of what the team has achieved under his leadership.
 
I couldn't agree more! Slot's tactical flexibility is really impressive. Using Diaz as a false 9 against Leverkusen was a masterstroke. It just goes to show how adaptable he is and how he's always looking for new ways to catch our opponents off guard.

I'm really excited to see what the rest of the season holds for us under Slot. His ability to transition from defense to attack so quickly is going to be a huge asset.

If we can keep up this momentum, I have no doubt we'll be challenging for major honors. Whether it's the Premier League, the Champions League, or both, I'm confident we'll have plenty to celebrate come May 2025. Let's keep the faith and keep pushing forward!
 

Ni manner ya jinsi unavyomuongelea Klopp, its not about Slot here brother.

You can praise Slot's work bila kudogosha kile alichofanya Klopp at the Club.

Slot bado mpya sana, siombi kabisa itokee, but bado hajakutana na CHANGAMOTO yeyote at the club, na hii imechangiwa sana na kile alichoacha mtangulizi wake, na ndiyo maana huwa nasema, Klopp ni greatest Human-Being kuwahi kuitembelea LFC, hii club ingekuwa ni takataka bila Klopp kaka, uelekeo wetu baada ya Rodgers kuvurunda ulikuwa unaonekana brother, tungekosea appoitment ya Kocha kipindi kile, tulikuwa tunaenda kuoza, unajua kuwa Carlo alitukataa, options zilizokuwa mezani ni De Boer & Roberto Martinez, kabla ya Klopp kuamua kupokea simu za FSG, tulikuwa tuna options hizo tu, kama angetakaa, na angekuja, lets say, Roberto Martinez tungekuwa wapi now? huyo Slot angetaka hata kuja LFC? unajua why Slot alizikataa Chelsea na Spurs last season & kabla ya hapo? kwasababu ni MOJA tu, project hazikuwq stable, kaja LFC kwasababu ya Project hii, unamu-offer Alisson, VVD, Konate, Trent, Alexis, Ryan, Szobo, Gakpo, Nunez, Salah, Jota, Diaz, Curtis, Elliott, etc, anatakaa vipi kuja? na pia team imetoka kwa his role model Klopp? Klopp angekuwa selfish si angefanya kama Fergie kuiacha Utd na wazee? mbona alibaki na kuitengeneza team upya? hivi vitu hatuzingatii tunapomdogosha Klopp.

Klopp, alichukua LFC iliyokuwa na kikosi cha kina Mignolet, Brad Jones, Manquillo, Lovren, Sakho, Moreno, Can, Markovic, Balotelli, Lucas, Henderson, Borini, Skrtel, Lallana, Milner etc, NINE YEARS later baada ya kushinda kila kombe kwenye ngazi ya Club, kaacha kikosi chenye kina Alisson, VVD, Konate, Trent, Robertson, Kostas, Grav, Alexis, Szobo, Gomez, Curtis, Diaz, Gakpo, Salah, Nunez, Jota, Bradley, etc, unaona UTOFAUTI? angeamua ku-sabotage club si angefanya tu il kulinda his legacy? mbona kawa un-selfish?

Funny thing is, Slot bado anatembea na style of play kwenye BIG games zote, na sahiv imekuwa norm, kila game anatembea na style of play, because he's SMART, huwezi ku-imprint your new ideas now wakati team ipo kwenye good form, alichofanya ni ku-tweak tu shape ya kwenye midfield, instead ya kutumia recycler/retreaver (Endo or Alexis at 6) anatumia a flat bully ball carrier/progressor as a 6 ili ku-open up running voids za our wingers (LW & RW), hii ndiyo ilikuwa Klopp bread & butter kipindi cha kina Fabinho, kabla ya legs za fabinho kufa na ku-revert back kwenye retrieving pattern mode, hence we brought in Thiago, it limited Salah goal scoring chances/stats, but because ya kutokuwa na quick legs kwenye kiungo, ilitusaidia tuwe most watchable ball retainers in the league.

You know what? when Klopp said he was leaving, sikuwa hata shocked, kama ulikuwa unamsoma Klopp, ni mtu ambaye haamini katika PLAN B (tulikuwa tunapiga sana kelele kwenye hili), tulikuwa tunalia sana kila siku na Lovren, kila siku tulikuwa tunajiuliza humu, lini tunanunua a CB? mbona wapo wengi? kila siku tulikuwa tunakuja na majina humu, ila kwake ilikuwa ni VVD, it was him or NO ONE, ndiyo maana tulipokuwa busted na Southampton kule Blackpool, aliamua kusubiri tena mpaka january, hatuku-sign CB yeyote, na ilituumiza sana, but kwa Klopp ilikuwa ni VVD or BURST, ndiyo maana we broke the record and paid £75m for him, Klopp alifanya hivyo kwa Alisson, he was ready to continue na Karius, mpaka Roma walivyolegeza msimamo, na utakumbuka we had kuipiga chini move ya Fekir ambayo ilikuwa imebaki kusainiwa tu papers, but funds zilikuww tight, so it was HIM or BECKER, Klopp went for Becker bila hata kujiuliza, na hii ni baada ya kusubiria sana, same kwa Fabinho, na hawa ndiyo players waliobadilisha uelekeo wa LFC for good. so baada ya Fabinho kuanza kupotea, scouts walimpa majina mengi sana, but kati ya yote hayo he got obsessed na Tchouameni, ikawa ni HIM or BURST, na tulivyomkosa Klopo akagoma ku-sign players mwingine yeyote at DM, then akaibuka Caicedo, naye tukamkosa, nikajua tu, deep down kabisa, Klopp hana muda mrefu at LFC, because after Tchou & Caicedo, me binafsi sikuona DM mwingine ambaye Klopp angemuhitaji kwa nguvu zote, & he felt kuwa FSG didnt do enough kuhusiana na Caicedo. City had Rodri, Arsenal had Rice, that was so draining.

But, at the end our MF rebuild wasnt bad, especially signing iliyokuwa inaonekana ni pointless ya Gravenberch.

I like Slot, mimi nipo na scouser, believe me, 99% of scousers wanted Amorim at LFC, not Slot, jina lake lilivyotajwa, kulikuwa kuna ubaridi sana, yale maneno ya "trust edwards" ndiyo yalikuwa yamejaa, watu walikuwa hawamuamini Slot, but Edwards, kwamba Edwards hawezi fanya mistakes, scousers wote walianza kuwa behind na Slot baada ya Klopp kumuimba at Anfield wakati anaondoka na kuwaambia WAMUAMINI SLOT, ndiyo mtaani kukabadilika, sasa kuna watu ambao walikuwa hawamtaki kabisa Slot, nawaona kila siku kwenye platforms mbali mbali wanamwita genius now, mimi napenda na nafatilia mpira, na tangu mwanzo sikuwa na shaka na appointment ya Slot, nilivyosikia mwisho wa interviews, it was him or Amorim, nilikuwa nimejiandaa kwa yeyote atayepita, because wote ni good coaches na zilikuwa ni right profiles.

Slot, ana safari ndefu at LFC, but haijalishi kuwa kakuta a good team, mazingira mazuri etc, anachofanya kwasasa ni KIKUBWA sana, it takes a GIANT to be a GIANT.

But, i know for a fact, kama Slot angeanza na results mbovu, najua kabisa ningekuwa nashinda humu kumtetea, maana najua angekuwa anatukanwa sana, na ukizingatia katokea Feyernoord, angekuwa anatukanwa yeye na FSG kila siku, but Mungu ni mwema kaanza vizuri, so ametusaidia kuficha ujinga na uzandiki wa mashabiki wq LFC duniani kote, siyo tu humu.

Mimi kwangu, LFC ni KWANZA, then vingine vinafata, na kama umesoma sana my posts huko nyuma, huwa simkosoi manager msimu wake wa kwanza, na huwa naanza ku-call for his head msimu wa tatu (kama mambo yakiwa yanaenda kombo), nina maswali mengi sana kuhusu technical abilities za Slot, na nikiamua kuandika hapa, nitaja feed, but sipo hivyo, this is his first season, na technically, mchezaji wake ni Chiesa tu, na mpira wake tutaanza kuona akipata DM wake anayemuhitaji (Zubimendi was the one), hapa nilipo na-revisit game ya Astona Villa, baada ya kumaliza ya Arsenal, huwa napenda kuangalia mpira in detail, bacause ni kazi yangu, but huwezi kuona nauza articles za kumkosoa Slot now, NO, this is his adjustment period, na so far ame-prove kuwa LFC is NOT that BIG kwake.
 

LFC was just a stepping stone kabla ya Klopp, na hivyo it took Klopp 3 years kuaminisha players kuwa LFC ni serious club.
 

Thanks brother.

Tunatafuta tafuta huku, siku tutakumbukana kwenye ufalme, hahaha!

God is good.
 
His career kwenye PL imeisha.

his bosses wont risk it.
 

Manyanza unanifurahisha, watu ambao una-interact nao au kuwa-follow kwenye hizi platforms, huwa inachekesha sana.

Huyo scouser wa redmen Tv umem-follow hapo, ni BIG believer wa ile kauli yao ya Liverpool FC ni ya wakati wa Jiji la Liverpool tu, & wageni wanafanya wao wapate tabu sana kupata tickets na hawafai kuingia uwanjani kuangalia matches.

Ni racist mkubwa sana huyo, na ni kawaida yao sana kuanzishaga ugomvi/mabishano na foreign fans nje ya uwanja.

Redmen Tv, ndiyo fan Tv yenye access kubwa sana na Club, na ndiyo maana wanapata inteviews nyingi sana na players & coaches, kwasababu ni FSG bootlickers, hao hakuna baya la FSG, nakupa task sahiv, anza kuwafatilia kwenye hizi debates za mikataba ya Kina Salah, VVD, Trent, utakuta wanawalaumu kina Salah, tena especially Trent.

Hao watu siyo wa kuwafollow, they are against foreigners, wakati Team yote wanayosupport imejaa foreigners.
 
Nimependa sana hii.
Baadhi ya watu hudhani kila mmoja aweza kuwa kocha.
Kazi ya ukocha ni ngumu, waache dharau.
Klopp amefanya makubwa, apewe heshima yake
 

You're doing great sana brother.

But, ukiwa unafanya in game-analysis, uwe unaangazia pia changamoto ambazo zilitokea kwenye game husika, ili u-balance, usiweke emotions kwenye kuchambua mpira, utashindwa kupanuka kimawazo, and knowledge ya kuuona mchezo kwa jicho la tatu itakuwa LIMITED sana, and that wont be a good look kabisa, especially kwa uwezo wako mkubwa ninouona wa kuusoma mchezo kwa ufanisi sana.

Siyo KUKOSOA, bali ku-highlight CHANGAMOTO, kukosoa ni jambo jingine kabisa na halina nafasi kwa sasa.

Game ya Villa ilikuwa ni game ya 2 halves, Slot outcoached Unai kipindi cha kwanza, BUT Unai outcoached Slot kipindi cha Pili, the difference hapa ilikuwa ni kuwa Slot ana Salah, Unai hana Salah.

So uchambuzi ungelenga kwa kina ku-discuss/decipher what went wrong in the 2nd half?, what needed to be changed/shifted ili ku-regain back control ya game? and why Unai outclassed us in that half, why did we allow it? then zingatia detailed patterns za mchezo husika, afu linganisha na games zingine ili uone nature ya patterns inayohusika hapo, kama inajirudia au ni suala la lapses tu, then utapata vitu viwili, utaigundua hiyo changamoto (negative pattern), na pia utagundua SOLUTION yake (Positive pattern), kupitia hizo hizo games utakazo-review.

Bado una-watch mpira/game, try to SEE the game, zingatia sana small details maana hizo ndizo huwa zinaamua game.

Either way, just happy upo hapa unashare chambuzi zako bila kuchoka, najua ni jinsi gani inachukua time na akili kuandaa hizi threads za chambuzi, its not a about money, but sharing your talent na kile ulichonacho kwa your fellow fans, thats the way of LFC.

This is a major move brother, continue to spread the love kupitia chambuzi hizi, hujui, but you're healing a lot of LFC football heads.

Changamoto za maisha ni nyingi, so ndiyo maana huwa napenda tuwe tunaifanya hii platform kuwa sehem ya kusambaziana upendo through football.
 

Among friends of mine used to call me Klopp, i love that man, his connection with LFC, fans and all over street were exceptional indeed.

Sijawahi kumdogosha Klopp zaidi ya hisia za kishabiki kipindi he is our man. Huwezi kupinga uhalisia.

Slot ana kazi kubwa sana ya kufanya kufikia a half ya aliyoyafanya Klopp. Till date kuna watu hawamkubali Slot, wamesusa they are crying they want Klopp back, they were not ready kuona LFC without Klopp.

But Concern yangu iko hapa

Klopp vs Slot, chochote Slot atakachofanya marking scheme yake ni Klopp, tusichukulie in a negative way its a normal debate in football, on form Saka last season walisema he is better than Salah, ikaja Vvd vs Saliba. Fergie alipoondoka debate was Fergie vs Moyes, akiondoka Pep itakuwa Pep vs xyz. So hii Slot akifananishwa na Klopp ni kawaida kwa binadamu, na Slot akipoteana (God forbid) itakuwa ngumu kelele zitakua we knew, hawezi kumrithi Klopp and so forth.

Fergie alikuwa mchoyo alitaka kustaafu kwa heshima na alipoona inatokea akaona its a right time.

Klopp had dream kutengeneza LFC nyingine ya kusumbua misimu mingine mitatu ya mkataba wake, hakufikiri kuondoka kama alivyoondoka, some issues force him especially hakupewa enough back up hasa kupata quality DM, he is professional na hesabu zake zilimuonesha bora kuondoka sasa before kuondoka kama alivyoondoka Dortmund.

Lets enjoy our moment we have,

Know You Can
Ynwa’
 
His career kwenye PL imeisha.

his bosses wont risk it.

Yeah..!!! I expect serious with positive impact.

But PGMOL siwaamin they might turn the issue. Tatizo lao huwa hawataki kuonekana wana watu wa hovyo, kwamba wao ni brand wanatoa watu makini of which ni uongo. FIFA wameamua kuwatupia kapuni kwenye mashindano yao.
Huko CL maamuzi yao mengi ni ya hovyo.

Ngoja tuone kama watajikaza katika hili na kumla kichwa.

Ynwa’
 

Waingereza bana wanajiona wao ndio wenye mpira wanastahili high class respect n.k

Imagine Vvd angekuwa Scouser, Salah, and may be Gakpo hivi heheh wangesumbua sana. God knows alot aisee

Ynwa’
 

I will brother[emoji1614][emoji1614][emoji1431][emoji1431] im learning alot to reach there.

Never mind i took it positively. Best of luck to us all

Ynwa’
 
THREE LONGEST WINNING RUNS BY PL MANAGERS IN HISTORY.

18 GAMES by Klopp, Oct 2019-Feb 2020
18 GAMES by Pep, August-Dec 2017
17 GAMES by Klopp, March-Oct 2019

October to Feb aaah tuliogelea ushindi tukasahau kufungwa kuna fananaje mpaka walipokuja Watford kuharibu nearly invincible triump, na hapo ndipo UKUU wa Klopp ukita mizizi EPL, invincible with 100+ points, ingechukua years kuja kuvunjwa…

Ila tuseme tu ukweli, kuna muda Klopp alikosa bahati pia. Angeshinda mengine even with Pep’s presence.

Ywna”
 
Umemaliza kila kitu umeweka kumbukumbu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…