Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu nabubujikwa na machozi kwa haya uliyoyaandika kuhusu klopp huyu mwamba inatakiwa aheshimiwe kwa kila jambo pale LFC huyo mwamba alitutoa kwenye unyonge mkubwa sana tulikuwa kila msimu tunasajili mafungu ya wachezaji lakini mafanikio hakuna!
 
Andy Robertson: “Look, I am a lot older and a lot wiser now than when I came in.”

“When I first came in, I was only 23, and it was my first time playing for a big club. I have been here for seven years and have won everything and played in a lot of big games.”

“I am a lot more experienced and a lot better at switching off from everything like over-reactions and things like that. Probably a bad 45 minutes of football against Arsenal, it was not great. I think pretty much everyone had written me off after that.”
 
Maestro umeandika Kwa upendo na mapenzi makubwa kwetu Wana Liverpool na kukltutia moyo sana


Mola awajaalie na awazidishie mapenzi nyie woote mnaotuandikia kuhusu klabu yetu Tena buree bila kujali gharama muda na rasilimali zenu mnazotumia

YWNA to eternity
 
Most of us follow and read from sources we do not know. Usishange siku unakutana na link au screenshot from the sun!
 
Guys, mmeshajiuliza kuhusu hatima ya Kelleher especially baada ya signing na Marmadashvili?

To me it seems like the end for Kelleher at Liverpool. Slot ame admit multiple times kuwa when AB is fit Kelleher hawezi kuanza (labda kwenye cup games).

So with Marma in the horizon I think Kelleher is going to depart at the end of the season.

To me it will be fair kama atapata team in the prem ambapo atakuwa first team starter week in week out.

Kwa quality aliyonayo hastahili kuwa kwenye shadow ya AB na Marma at Liverpool.

What is your opinion. MosDef The MoNA Captain Marvelous
 
With Harvey back the squad depth is getting deeper while Arne is still on the process of instilling his football to the ready made players.

Liverpool FC is gonna become a monster of a team. A beast to reckon with.

YNWA.
 
🎙️🗣️M. Salah: "Before I came back to EPL I had offers from different leagues but I chose Liverpool to show people who doubted me that I'm not useless. It's like a revenge and so far I have helped my team to win trophies and that's the perfect way to show your worth."

Never doubt the Egyptian King👑

Chelsea as a club are just too in a hurry to let players go when they struggle, even KDB was also thrown out and many good players who could have changed the dynamics of the club positively. Hope they learn from it.
 

Mpira ni mchezo wa vipindi brother, yes kuna watu wame-stuck na Klopp, but ni muhimu sana ku-move on, huku ukiwa unaendelea kuipigania na kuitetea legacy yake.

LFC, imeanzishwa tarehe 3/6/1896, miaka 128 mpaka sasa, kipindi chote hicho, wamepita watu mashuhuri sana at the LFC, katika nyakati tofauti, na wote wali-play big part kuifanya LFC kuendelea kuwepo mpaka leo, maana siyo tu suala la vikombe, kuifanya club ibakie katika top level kwa muda mrefu sana, ni jambo la kushukuru pia.

Hizi ni nyakati za Slot, na ni muhimu kumpa support, itafika muda nae ataondoka, muhimu ni kuombea aache a good legacy at the club.

Kuna media politics zinaendelea at the club, unajua Klopp wasnt a fan wa a lot of LFC jornos, kina Pearce, Hughes, Bascombe etc, na kuna kipindi ilitokea kutoelewana kwa Klopp & Edwards, na mpaka Edwards kuondoka, narratives zikawa shida ni Klopp, & mpaka leo kipo hivyo, so hizi medias zina-play part kubwa sana kujaribu kudogosha umuhimu wa Klopp at LFC, wakati wanajua alichofanya, ndiyo maana kila sehemu unakutwa ni Edwards, Edwards, Edwards, kwamba kaleta kocha bora kuliko Klopp, swali unajiuliza Slot angeweza ku-build world class team na kuitoa kwenye shimo la kina Mignolet? inawezekana ana uwezo wa kufanya hivyo, je angeweza ku-cop na pressure ya kuirudisha juu a struggling big club? maswali ni mengi.

Na funny enough, huyo Edwards alimwambia Spearmann, atafute kocha anaefanana kwenye ideologies na Klopp, kwasababu Edwards/FSG hawakutaka kubadilisha ile foundation/culture ambayo Klopp alikuwa ameacha at the Club.

tum-support Slot, lakini tusiingie kwenye mitego ya hizi politics, kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia kwenye hizi clubs tunazozipenda.
 

Coote is done kaka.

Tatizo ni kuwa kaonekana akitukana 2 big brands kwenye PL kaka, (Klopp & LFC).

PGMOL ni Company, ambayo ni limited by guarantee, its main job ni ku-provide officiating services kwa PL, FA, EFL, sasa kama mfanyakazi wako, katukana on live videos one of your biggest clients (LFC), na ku-show wazi kabisa conflict of interest, sidhani kabisa kama kuna a way back.

His career is over, and i am just glad to be honest.
 
Waingereza bana wanajiona wao ndio wenye mpira wanastahili high class respect n.k

Imagine Vvd angekuwa Scouser, Salah, and may be Gakpo hivi heheh wangesumbua sana. God knows alot aisee

Ynwa’

The truth is, Football has changed a lot kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita.

Unajua, kipindi cha miaka 10 nyuma, LFC main global territories ilikuwa ni Scandinavia countries & parts of eastern Africa, Asia & Africa ilikuwa ni kugusa sana, kwa Africa, main territory ilikuwa ni South Africa, its no secret kuwa biggest clubs in Africa ni Utd, Arsenal & Chelsea, but baada ya Kina Mane & Salah ku-set the league on fire, tukaanza kupata a big following in Africa hasa kwa generation mpya, na kile kipindi cha 2018-2022, kilishuhudia club ikikusanya a BIG following all over the world, sasa scousers wanaona SIFA sana club kuwa na big followers around the world, but wanachukia kuona foreigners wanajaa Liverpool kila siku kuona games & kufanya utalii, FSG ni wafanyabiashara baada ya kuona hii demands wakaongeza bei ya tickets & merchs, sasa scouser wanaumia sana na hizi bei, mara nyingi sana wanajaa kwenye pubs kuangalia mpira, especially big games, maana ulanguzi unakuwa mkubwa sana, na foreigners ndiyo huweza kulipia, au people wa pale pale UK, but outside of Liverpool City, kwahiyo ubaguzi umekuwa mkubwa, wanaona kama foreigners wanawaharibia, na wakiingia uwanjani wanapiga picha tu bila kushangilia ndiyo maana atmosphere inakuwa chini, wanasahau kuwa global fanbase ndiyo inayoipa hela LfC.

Sasa hivi, stats zinasema, for the past 3-4 years, LFC ni most watched football club in the world. hii yote ni kwasababu ya global fanbase.
 

City were just unplayable.

Pep & Klopp used to hate each other, deeply.

Ndiyo maana unaona Pep akarelax Klopp alivyoondoka, hata transfer window ya Man City ilikuwa na arrogance sana, but ndiyo inawatafuna, Pep thought Klopp kaondoka, hawa madogo hawawezi nisumbua, well, i hope hii Slot run itakuwepo for DAYSSS!!
 

mtongwe.

We unajua, tumetoka mbali sana na hii club, tukiwa pamoja katika huu uzi, ni baraka, kuendelea kuwepo hapa.

Tuendelee kuombeana uzima, na kusambaziana upendo kupitia mpira, na kupitia club yetu pendwa ya LFC.

Baraka ni nyingi sana.
 

Signing ya Mamar, shouldve waited, but it was inevitable, kutokana na the way Alisson acted baada ya Klopp kuondoka, he communicated na Club kuwa he wont sign a new contract, baada ya huu kuisha, & Club ianze ku-consider offers.

Unajua, wachezaji ni kama fans, huwa wana arrogance zao, most ya senior players at the club, didnt like the IDEA of Slot, they thought after Klopp, atakuja kocha mkubwa, wanasahau kuwa na wenyewe walianzia sehemu mpaka wakapanda na kuwa world class, sasa hii start ya Slot imewa-prove wrong wengi sana, na Slot alivyo smart, hajataka hata kuwasumbua na new style of play, kaichukua ile ile ya role model wake, na kaiongezea vitu kidogo tu, na players wana-enjoy sana.

Shida yw Kelleher he WANTS to leave, and i understand him, and for me club imuachie tu, anadeserve kwenda kuwa undisputed starter somewhere.

I think, msimu ujao na utakaofatia, Mamar atakuwa our 2 choice, maana Alisson kabakiza 2 years tu, yeye na mwenzake Ederson wana BIG offers ziko mezani za waarabu, na unajua wabrazil walivyo kwenye suala la pesa.
 
With Harvey back the squad depth is getting deeper while Arne is still on the process of instilling his football to the ready made players.

Liverpool FC is gonna become a monster of a team. A beast to reckon with.

YNWA.
View attachment 3150104

Ndugu yako Szobo will be in trouble though.

Elliott will be a star under Slot.

Szobo/Jones/Elliott, a very good problem kuwa nayo at the club.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…