Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

A win is the only option .

8 points clear from 5pm today, Then 11 points clear 7 days later.

ONLY LIVERPOOL [emoji837][emoji837][emoji837]
January Man City tunaziba viraka na baada ya hapo ni vichapo mfululizo kwa yeyote yule atakayekuja mbele yetu kwahiyo hakikisheni mnetuacha pointi za kutosha la sivyo mtaishia kuwa runner-up.
 
Ramli inaruhusiwa siku hizi?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
January Man City tunaziba viraka na baada ya hapo ni vichapo mfululizo kwa yeyote yule atakayekuja mbele yetu kwahiyo hakikisheni mnetuacha pointi za kutosha la sivyo mtaishia kuwa runner-up.
Kwani si linaeleweka hili ?
Man city na Arsenal ndio wanaogombea ubingwa ?
Liverpool ipo kwenye transistion sasa hivi. Usiiweke kwenye tittle race kabisa
 
πŸ”₯ πŸ”₯ Salah katika ubora wake. Kombora hilo kwa FSG na uongozi pale Liverpool yaaani huyu dogo anajua kutetea ugali wake..
Haya over to you Edwards.

YNWA

hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…