The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Kwenye moja ya maandiko yangu nilisema game vs S’ton itakuwa ngumuzaidi kati ya zile game ngumu tulizopewa.
Should be a Penalty?
50/50.
Turahisishe kwa kusema Yes it should be a penalty.
Why?? Ili iwe penalty kwanza offense player inapaswa awe kwenye ile 18 yard box/penalty area ya opponent include lines. 2ndly offense player akizuiwa kwenda kufunga ama kwa kushikwa sehemu yake ya mwili bega, mikono, au Jersey au akikwatuliwa na kuanguka kwa eneo hilo inakuwa penalty.
Kwa tukio la jana kwa baadhi ya pic zinaonesha sehemu ndogo ya mguu wa dibbling uligusa mstari ndio maana Oliver akiwa kwenye VAR walikubaliana na maamuzi ya bwana Barrott. Wanavyodai wenyewe hapakuwa na eveidence ya kutosha kuonesha tukio lilifanyika outside the box.
Na kuna picha zingine hazioneshi kama dibbling alikuwa kwenye penalty area (include line) initial challange ilikuwa outside the box but part of Dibling’s leg inaonesha ilikuwa kwenye line.
Its all after international break.
Tukiwa on good rythym tukaenda international break tukirudi tu tunakuwa timu mbili tofauti na ile iliyomaliza kabla ya international break hasa ikiwa early kick off na mid table teams.
Jana we lacked composure kwenye sehemu kubwa ya mechi, awareness ilikuwa too low, we were not superb defensively, unaona Vvd error, Robbo unprofessional defending, Konate and Bradley mapema wanachukua kadi za njano, away at St. Mary.
Alichokijua Slot after international break ni kuwapumzisha Macca, Diaz, if we would have Jota & Nunez angeanzia bench, bad lack we have Nunez only na hakua na otherwise, akamuanzisha.
Football ina mambo yake, unaweza kuwa mbovu kwa sababu ya ubovu wako mwenyewe ila sio kwamba opponent wako amekuzidi, why? S’ton walifanya makosa mengi mno ambayo kama LFC ingeamka vizuri it could be 1-3 at Halftime atleast. Hapa ubovu wa LFC ndio ulitafanya mechi ikawa ngumu zaidi, why? Unapocheza na bottom team na ukawapa nafasi ya kuona C’on guys we can watakumaliza, if you score twice unawazima mentality ya kuona inawezekana.
Watakatifu kwenye 5-4-1 walijitahidi kuzuia sehemu ndogo ya uwanja, wanaanzia kukaba kwenye nusu yao ya uwanja huku waki committ many bodies kwenye final third yao, (sitting back and wait for counters). LFC with 3-3 build up haikuwa kazi ngumu kufanya sababu Saint hawakutaka kukabia juu walisubiri LFC wafike kati waanzie hapo kuutafuta.
The issue we had yesterday ni kusinzia offensive players, plus hatukua na good bal progression. Tunatumia muda kutembeza mpira kutoka eneo moja kwenda eneo jingine, (transition delay). Ndio maana nasema kuna muda unakuwa mbovu sio kwamba umewezwa bali unakuwa mbovu na wewe mwenyewe. Iliwanufaisha sana S’ton wakipoteza mpira ilikuwa rahisi zaidi kwa to restructure their shapes mpaka mfike, basi limeshaweka break down zamaaaani.
First half Gakpo tried alot but Salah, Nunez bado hawakuwa uwanjani, Jones wasn’t good enough. Kuna muda tulimuhitaji Macca alot kwa sababu ya utimamu wake kiakili na mguuni. Jana hatukuweza kutengeneza 2v1 nyingi japo Gakpo alijaribu kujiweka position ya 1v1, mara kadha and he created 2-3 chances first half.
Watakatifu walifanya makosa ambayo mngekuwa kwenye 1st gear walau 5 zingefika au 6, MaCarthy alifanya errors zilizotupa magoli mawili, goli la Szobo na la Salah.
Onuachu hahahah slow but sure, jamaa alitusumbua mpaka unajiuliza hivi hii ndio timu inayoongoza ligi ya EPL & CL, kweli?? Watch S’ton 2nd goal, what kind of defending we were applying ?? Its was like slightly 2 vs 5 (3vs5), but they managed to score.
Robbo ni wakati wake huu wa kukubali kuondoka, atapata timu nzuri EPL, au Italy, jamaa mpira umemtupa, he is not a possession player, ana struggle sana since last season. A professional defender jana asingefanya alichofanya Robbo akiwa 18 yard box, he should use his body rather than tackling, ilikuwa super option kuliko tackling, baada ya nahodha wake kujikuta Matip kwenye drubbling?? ([emoji81][emoji81]).
Game vs Arsenal alifanya poor defending, na Jana ambazo zimezalisha magoli. Kuna loads of games anacheza vibaya zaidi fortunately huwa hazalishi magoli.
After Macca kuingia uliona progress ikawa nzuri, kiasi na ndipo Salah akaanza kuonesha tuvitu vitu hivi, Diaz same akaongeza progress nzuri most alishuka chini kidogo kupokea mpira, akawa anawahisha bidhaa haraka zaidi.
Low/mid block system,
Dawa yake uwe na watu wanaweza kushambulia Spaces likes of Salah, Diaz, Jota, halafu nyuma yao uwe na MF’s mwenye hiyo vision akilini na mguuni, the rest leave to God. Jiulize why City hawataabiki sana, wana hao watu wa kuziona spaces.
If you fail to perform try to win.
Nini kinasumbua LFC isiperform vizuri??
Sababu ni aina ya wachezaji waliopo na mfumo unaopaswa kutumika.
Possession football inaanzia huko paitwapo kwenye akili, kisha mguuni.
Kuna wachezaji wana uwezo mkubwa wa possession football akilini na mguuni. See player like Gravern that is typical possession player, Jones, Macca.
Wanajua wapi nisimame nipokee pasi wapi niipeleke na wapi nisimame niipokee pasi. Possession football inahitaji natural DM mwenye uwezo wa kufanya hivyo, Caicedo kwa sasa ni mchezaji wa aina hiyo, play in a tight spaces, tackling, quality passes, uwezo wa kuscreen safe zones.
Slot anajua at what he will inject his pure ideology, thats why unaona wachezaji wale wale timu inafanya vizuri out of his philosophy. We are not yet playe Slotball yes we are not play what Slot want to be played.
If you fail to perform, know how to win.
All the best to reds.
Chelsea [emoji736]
Leipzig [emoji736]
Arsenal [emoji1754]
Brighton [emoji736]
Brighton [emoji736]
Leverkusen [emoji736]
Aston Villa [emoji736]
Southampton [emoji736]
Madrid [emoji3480]
Man City [emoji3480]
Know You Can
Ynwa’