Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot 2024-11-26 at 13.43.47.png
 
Nimekuwa pamoja nawe kuhusu Gomez!

Gomez 1v1 mzuri, hii itasaidia Konate kubaki kwenye eneo lake mara nyingi na kwenda RHS mara chache zaidi.

Konate anaweza kudeal na Vini au Mbappe vizuri he is good without the ball, na watu kama Mbappe na Vini kwa Mwendo walio nao, unatakiwa uwe na mtu kama Ibo anayenusa hatari haraka.

Lets see Slot’s approach.

Ynwa,
 
Na Lineup yao waliyoitangaza jana jumatatu ni hii hapa. Hii unaielezea vipi ?

View attachment 3161882

They are still good. Huwezi kuwaondoa ubora, kwa injuries walizonazo. Kinachoweza kuleta tofauti ni uwepo wa Slot kwenye touchline (maana yake kuna mabadiliko ya kimbinu yatakuwepo) plus hatujawahi kushuhudia Slot vs Do Carlo.

H2H kwa sasa ndio obstacle kwetu. Last season Arsenal were hot compare to Bayern, we had witnessed the h2h keep favour Bayern.

Inahitajika nguvu kubwa kuvunja h2h plus calmness, plus composure, especially LFC vs Madrid. City walifanya hivyo couple of season.

Timu zote zinajua what is European Night means to them, though Madrid kwa sasa wana struggle both La Liga and CL, but but but my fear is h2h, inaweza kututoa mchezoni hasa ikitokea Madrid ametutangulia, it depends with Slot’s mental resilience.

Madrid backline yao is not strong enough, compare to ours but kwenye MF wana quality nzuri slightly rather than ours.
Unajua under Klopp ukitoa ile last final (they were lucky, we bullied them everything except important moment scoring). Zingine ilikuwa Madrid wana enjoy sana. Simple and easy, give them ball, acha wahangaike nao, they have no that quality with the ball, compare without the ball, tuwasubiri wapoteze tuwapige kwa counter, na ndivyo walivyofanikiwa mechi zetu under Klopp. Funga njia zao za pembeni kwa (RB & LB, were they have enough strength) walazimishe wapitie katikati ambapo hawana ubora, lets stay compact committ bodies kwenye final third yetu baaasi. Thibaut with crucials saves, BOOM they won.

Kumbuka Don Carllo ni muitalano na hawa jamaa kwenye kuzuia kwa ni art, no wonder kwenye ardhi yao mchezaji bora wa duniani ni Beki.

This time we have Slot, do we have the same kind of tactics No No No even its so slightly but No kuna utofauti kiasi chake, kwanza play with double pivot kuna changes hapo kwenye flow of football, presence of Gravern na zile half progressive turns zinasaidia ku break lines.

It is a 50/50 match, it’s Liverpool vs Madrid at Anfield, h2h only our enemy,

Foward line yao bado inawatu wanye uwezo wa kuamua mechi. Mbappe kwenye position yake ya asili (LW), Brahim Diaz, Guler, Endrick they have it.

Kumkosa Tsimi itakuwa changamoto sana, Robbo isn’t the same player we used to know back then, Trent yeah kama yupo fiti ataanza na kitu kizuri kama atatumika kukaa sana kwenye half yetu zaidi na kutumia his strength kwenye long balls (killer passes), then play Gomez LB..!!!

Very tricky game, kwa sababu ni kama kuna kufanana kwa aina ya uchezaji.

Ynwa’
 
Back
Top Bottom