Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Arne Slot: โ€œIt's a big game. Real Madrid and Man City dominated for last few years now and Liverpool as well as they were up there for most of it. At Liverpool you are always playing big games, but these two are specialโ€ #lfc
 
Arne Slot on Kylian Mbappe: โ€œI'm not the manager of Real Madrid so it's not up to me to pick his best position. But whatever position he plays in he is one of the best players in the world.โ€ #lfc
 
Gomez 1v1 mzuri, hii itasaidia Konate kubaki kwenye eneo lake mara nyingi na kwenda RHS mara chache zaidi.

Konate anaweza kudeal na Vini au Mbappe vizuri he is good without the ball, na watu kama Mbappe na Vini kwa Mwendo walio nao, unatakiwa uwe na mtu kama Ibo anayenusa hatari haraka.

Lets see Slotโ€™s approach.

Ynwa,
Naiyona liverpool ya 2008/9 tuliompiga madrid 4 bila .Magoli 2 Steven Gerrad ,goli moja Dossena na Torres goli moja ilikuwa game tamu sana!
 
Naiyona liverpool ya 2008/9 tuliompiga madrid 4 bila .Magoli 2 Steven Gerrad ,goli moja Dossena na Torres goli moja ilikuwa game tamu sana!
 

Attachments

  • Screenshot_20241127_074912_Instagram.jpg
    Screenshot_20241127_074912_Instagram.jpg
    598.5 KB · Views: 3
Nyunyu kuku broiler Leo ndio mwanzo wa kupoteana

Mtanyeshewa mvua ya magoli na ile mijitu ya madrd

Jumapili anakuja haland anawaweka pakt

Baada ya hapo mtapoteana

Bingwa was EPL Ni arsenal

Pimbi nyie๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom