kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Dadadeeki hili timu mgeni anavyokuja ndivyo anavyo pokelewa mpira wa viwango madrid si ya kuidharau!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The best back up goalkeeper there is.. Hakuna namba 2 golini kama Kelleher dogo ana balaa huyu. Iwe ugenini au nyumbani anakiwango kile kile.Jamani eeeh
Ngwaba
Bobby
Mona
Mmemuona golikipa wa Dunia?
Golikip wenu huwa anadaka penati???
Kelleher the great🔥😍😍😍
Jamani eeeh
Ngwaba
Bobby
Mona
Mmemuona golikipa wa Dunia?
Golikipa wenu huwa anadaka penati???
Kelleher the great🔥😍😍😍
Dadeq wajina Arne ni kocha 🔥🔥🙌🏿🔥
Hawa kima wa kuitwa Madrid walitunyanyasa sana wapuuzi hawa