Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 878
- 1,195
Angekuwa Allison jana tungeongea mengine
Yawezekana zingepita hata goli 3.
Tunamuombea apone, ila namba anamiliki Kelleher.
Hivi dogo ulilelewa na Baba na Mama yako ? Mbona hauna adabu ?
Our performance over the last four games haijawa complete
We need to up the temple kidogo
🤣🤣🤣 Nmecheka balaa 🤣🤣🤣
Ku*****"mako mumbwa wewe
Baada ya hayo
Basi mechi iishe[emoji1533][emoji91]
YNWA
I love you Salah[emoji7][emoji1544]
Uzi umekutoa
Kumbe wewe sio kabibi
Angekuwa Allison jana tungeongea mengine
Yawezekana zingepita hata goli 3.
Tunamuombea apone, ila namba anamiliki Kelleher.
27 age ya kina Mona hiyo
Sisi wengine izidishe mara2
Michael Oliver nilimuona VAR Room, japo huwa hatuchomi lakini jana katuchomaMoNaaaaaaaaa! Tunakusubiri hapa! Tuanze na Michael Oliver na penalty yake........ Njoo bro!
Kwa kweli na mimi ningekuwa na mtaji ningejaa PM, sio kwa rangi ileHeheh…!!! Kesi imeisha. Huko PM sasa foleni ipo
Wakulungwa wamethibitisha wenyewe, mie sina mjadala mashaidi ni wengi juu ya hili kwa sasa.
Ngoja tuje PM tukamilishe ushahidi natuma Nida utume Nida turejeshe ushahidi humu.
Ynwa’