Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Karibuni Aseno mjifunze kwa sisi Liverpool Tunaongoza ligi kwa point 8 November na hatutotoka hapo juu mpaka ubingwa

Tofauti na nyie mliongoza ligi kwa point 8 zikiwa zimebaki mechi 8 na ubigwa mkakosa

Ama kweli Aseno ni Lipuli fc ya ulaya
 
LADDER1.png
 
27 age ya kina Mona hiyo
Sisi wengine izidishe mara2

Heheh…!!! Kesi imeisha. Huko PM sasa foleni ipo

Wakulungwa wamethibitisha wenyewe, mie sina mjadala mashaidi ni wengi juu ya hili kwa sasa.

Ngoja tuje PM tukamilishe ushahidi natuma Nida utume Nida turejeshe ushahidi humu.

Ynwa’
 

Ila Mourinho ana records zake ngumu ngumu na nyingi zimekaa kudefend zaidi as a team and as individual. Concede 15 goals per season hii kuvinja kwa modern football sio kazi rahisi. Kama ile Invicible ya Wenger, japo Klopp tried alot only remained with one match achukue invicible all of a sudden Watford wakagoma, tukapigwa 3 saaaafi.

Ynwa’
 
MoNaaaaaaaaa! Tunakusubiri hapa! Tuanze na Michael Oliver na penalty yake........ Njoo bro!
Michael Oliver nilimuona VAR Room, japo huwa hatuchomi lakini jana katuchoma

Ni refa ambaye akihusika kwenye mechi zetu huwa nina amani sanaa, jana sijui alikuwaje
 
Heheh…!!! Kesi imeisha. Huko PM sasa foleni ipo

Wakulungwa wamethibitisha wenyewe, mie sina mjadala mashaidi ni wengi juu ya hili kwa sasa.

Ngoja tuje PM tukamilishe ushahidi natuma Nida utume Nida turejeshe ushahidi humu.

Ynwa’
Kwa kweli na mimi ningekuwa na mtaji ningejaa PM, sio kwa rangi ile
 
Slot ni kocha wangu Bora kuliko kocha yeyote Liverpool naongea Kwa fact msimu huu tunaenda kubeba EPL na UEFA na anaenda kumfunga Madrid jumatano kazi ambayo mzee wa kufeli klopp aliishindwa
 
  • Thanks
Reactions: ywf
Back
Top Bottom