Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Saint Anne ukuje ukuje ukuje 😆 😂 😆Kulikuwa hakuna namna ilikuwa lazima apige King Salah, hata penalty ya kesho dhidi ya Mamashiti atapiga Salah
Au mwamba kakata moto🤔dah kule italia kuna mchezaji wa fiorentina kaanguka na inaonekana hali sio nzuri. Maana game imeahirishwa na wachezaji wanalia.
Na kweli amepiga na amefunga!Kulikuwa hakuna namna ilikuwa lazima apige King Salah, hata penalty ya kesho dhidi ya Mamashiti atapiga Salah
Huyu mtu wako amekutafuta baada ya mpira kuisha?Sawa mkuu. Ngoja tusubiri dakika 90 za vijana wakipigana mateke. Mwenye nguvu atashinda...
Ila mechi bado nyingi sana! Hata nusu hatujafika! Tuombe tu tusiwe na majeruhi wengi. Huwa tunapoteana tukirudi kutoka Krismasi!Tushindwe wenyewe kua mabingwa tupo kwenye form ya hatariView attachment 3166788
Watu wanajikabidhi Kombe kwenye mechi ya 13
Bila ya kufika March na ukawa unaongoza kwa points kuanzia 9 basi bado sana kujitangazia ubingwa
Round ya kwanza mechi 19 hapo tutakuwa tumeshacheza na kila timu twende tunaongoza kwa points 15 ,hapo ubingwa uhakika kama tulivyofanya kwenye ubingwa wetu baada ya miaka 30.Ila mechi bado nyingi sana! Hata nusu hatujafika! Tuombe tu tusiwe na majeruhi wengi. Huwa tunapoteana tukirudi kutoka Krismasi!
Mimi nikiongelea ya MadridSaint Anne ukuje ukuje ukuje 😆 😂 😆