Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20241201-195836.png
 
Watu wanajikabidhi Kombe kwenye mechi ya 13

Bila ya kufika March na ukawa unaongoza kwa points kuanzia 9 basi bado sana kujitangazia ubingwa
Ila mechi bado nyingi sana! Hata nusu hatujafika! Tuombe tu tusiwe na majeruhi wengi. Huwa tunapoteana tukirudi kutoka Krismasi!
Round ya kwanza mechi 19 hapo tutakuwa tumeshacheza na kila timu twende tunaongoza kwa points 15 ,hapo ubingwa uhakika kama tulivyofanya kwenye ubingwa wetu baada ya miaka 30.
 
Back
Top Bottom