Nitakuja kurudi humu br akifukuzwa lfc.
Siwezi kuvumilia kuona ------ mmoja tu anatuvurugia our great club.
Umepewa group jepesi kama hilo, ulitaka upewe kipi kingine??
Br akifukuzwa ndo ntarudi humu.
Kwaherini.
Kocha hajielewi na hajui kwa ninivyupo pale,
Ana mambo ya kijinga sana
Nitakuja kurudi humu br akifukuzwa lfc.
Siwezi kuvumilia kuona ------ mmoja tu anatuvurugia our great club.
Umepewa group jepesi kama hilo, ulitaka upewe kipi kingine??
Br akifukuzwa ndo ntarudi humu.
Kwaherini.
Nitakuja kurudi humu br akifukuzwa lfc.
Siwezi kuvumilia kuona ------ mmoja tu anatuvurugia our great club.
Umepewa group jepesi kama hilo, ulitaka upewe kipi kingine??
Br akifukuzwa ndo ntarudi humu.
Kwaherini.
Huyu ni msaka tonge tu wala sio kocha wa mpira kwa team kubwa!
Mediocre coach suits only mediocre team!BR uwezo wake ni kufundisha Swansea na Reading!
Kops is too big to him!
.......:A S-rap:......
....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!
.......:A S-rap:......
....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!
Soccer mchezo wa ajabu sana, juzi hapa kabla ya msimu kuisha BR was hero, Magician, technician na majina mengi ya kumsifia, kwamba ndo kocha anayeiwezea Lvp. Leo yamekuwa haya! Pole BR, subiri Wenger aondoke uchukue mikoba, kule hutaishi kwa stress za kufukuzwa ππ
Mbu bana unashindwa kumfunga weak Basel kwako utaweza vipi kumfunga rejuvinated RVP ugenini?
Jumapili najishindia shamba Ikwiriri nikapalilie mpunga, naondoka Dar usiku Jumamosi baada ya mechi za EPL narudi Dar Jumatatu!
Kudadeki na ka techno kangu nakaacha sitaki kushawishika kuingia Jamiiforums
.......:A S-rap:......
....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!