BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwa kile kicheko cha Wacha1....Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe inasikitisha kwa kweli kwa jinsi L'pool walivyokuwa mdebwedo kwa kuondoka mcheza mmoja tu Suarez. Yaani wakati Suarez yupo nilipenda kuwaangalia sana maana walikuwa walicheza entertaining football kama ni mpenzi wa mpira basi lazima usuuzike na moyo wako, siku hizi hmmmmmmm!!!!
Last edited by a moderator: