Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa kile kicheko cha Wacha1....Khe Khe Khe Khe Khe Khe Khe inasikitisha kwa kweli kwa jinsi L'pool walivyokuwa mdebwedo kwa kuondoka mcheza mmoja tu Suarez. Yaani wakati Suarez yupo nilipenda kuwaangalia sana maana walikuwa walicheza entertaining football kama ni mpenzi wa mpira basi lazima usuuzike na moyo wako, siku hizi hmmmmmmm!!!!

....heheheheeehhh, ngojea kina Wacha1, BAK, Belo, Nzi na wengineo wakusikie...
kumbe kuna wakati unakuwa mpooooooole?

wapi Pazi?
 
Last edited by a moderator:
Nitakuja kurudi humu br akifukuzwa lfc.

Siwezi kuvumilia kuona ------ mmoja tu anatuvurugia our great club.

Umepewa group jepesi kama hilo, ulitaka upewe kipi kingine??

Br akifukuzwa ndo ntarudi humu.

Kwaherini.
 
Kocha hajielewi na hajui kwa ninivyupo pale,

Ana mambo ya kisenge sana
 
Nitakuja kurudi humu br akifukuzwa lfc.

Siwezi kuvumilia kuona ------ mmoja tu anatuvurugia our great club.

Umepewa group jepesi kama hilo, ulitaka upewe kipi kingine??

Br akifukuzwa ndo ntarudi humu.

Kwaherini.

Huyu ni msaka tonge tu wala sio kocha wa mpira kwa team kubwa!

Mediocre coach suits only mediocre team!BR uwezo wake ni kufundisha Swansea na Reading!

Kops is too big to him!
 
.......:A S-rap:......

....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!
 
.......:A S-rap:......

....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!

Mbu bana unashindwa kumfunga weak Basel kwako utaweza vipi kumfunga rejuvinated RVP ugenini?

Jumapili najishindia shamba Ikwiriri nikapalilie mpunga, naondoka Dar usiku Jumamosi baada ya mechi za EPL narudi Dar Jumatatu!

Kudadeki na ka techno kangu nakaacha sitaki kushawishika kuingia Jamiiforums
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!!!! hahahahahaha

_79626003_65feff46-ef38-4bf2-8bfe-f35ade02b808.jpg

.......:A S-rap:......

....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Jumapili akipigwa na man u basi huyo kocha naamini ndio siku yake ya mwisho
 
Soccer mchezo wa ajabu sana, juzi hapa kabla ya msimu kuisha BR was hero, Magician, technician na majina mengi ya kumsifia, kwamba ndo kocha anayeiwezea Lvp. Leo yamekuwa haya! Pole BR, subiri Wenger aondoke uchukue mikoba, kule hutaishi kwa stress za kufukuzwa 😕😕
 
Wachezaji wale wale wa msimu uliopita na akaongeza wa ziada lakini kila siku timu anabadilisha. Mpk leo first timu haieleweki ni ipi.
 
Sure why dont you put ur best team... lalana has been our best player why bench him... same as Can and Moreno...

Deem BR plz get out now...
 
Soccer mchezo wa ajabu sana, juzi hapa kabla ya msimu kuisha BR was hero, Magician, technician na majina mengi ya kumsifia, kwamba ndo kocha anayeiwezea Lvp. Leo yamekuwa haya! Pole BR, subiri Wenger aondoke uchukue mikoba, kule hutaishi kwa stress za kufukuzwa 😕😕

Khe Khe Khe Khe Khe Khe

Loserfool

You will never win again

Khe Khe Khe kheeeeeeeeeeeee
 
Mbu bana unashindwa kumfunga weak Basel kwako utaweza vipi kumfunga rejuvinated RVP ugenini?

Jumapili najishindia shamba Ikwiriri nikapalilie mpunga, naondoka Dar usiku Jumamosi baada ya mechi za EPL narudi Dar Jumatatu!

Kudadeki na ka techno kangu nakaacha sitaki kushawishika kuingia Jamiiforums

Khe Khe Khe Khe

Niliwambia mapema sn kua huu msimu nyie Mko hovyo!

Top four ya EPL Hamuini tena msimu huu na CL mmeshatolewa!

Bado kakombe kamoja na hako mkikutana na Chelsea tu mmeumia!

Pole sn
 
Malafyale twende wote shamba mkuu! Ntanunua na kakreti kamoja ka Castle lite uwe unajipoza kidogo ukiwa shamba!

Nikufate Mabibo mkuu?
 
Last edited by a moderator:
.......:A S-rap:......

....'aloooo, aloo! ngojeni banaaaa, ngojeni basi mechi ya jumapili na Man United basssiii!
dahhhh, watu wana hasira humu.....!

Khe Khe Khe Khe Mbu waache bhana wajipe ban mpk BR awe sucked! Khe Khe kheeeeeeeeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom