Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu The MoNA nimepita mjini X page ya Dave Ockop naona anamtetea Robertson kwanini ?

Wakati uhalisia wa mambo unaonekana ? Kifupi amesha choka aisee

Heheh thats football. Hukuwaona watu wakimtetea Hendo na kusema ni best over Steve G.?
Hukuona watu wakisema we have Origi & big Shaqir, Salah has to go he is selfish. We have Elliot & Doak they can play, Salah has to go.

Watu mpaka leo tunamtetea El Panthera Nunez Captain Chaos, lakini haiondoi uhalisia both uwanjani na stats, uwezo ni mdogo au umepungua.

Dave anamtetea Robbo kwa mapenzi yake kina Saint Anne wanasema Mapenzi upofu, its applicable hata kwa makocha pia.

Mambo ya kawaida kwenye mpira, likes and dislikes.

Halafu Robbo since last season alionesha dalili za kupotea ni vile hakuwa akisababisha makosa yenye kugharimu timu, but this season kupotea ni kule kule, n unfortunately this season mambo yanamuharibikia.

He is our legend ibaki hivyo, we have to move on, Bila yeye. Many teams will want his service na anaweza pia kusaidia.

LFC inakosa balance kwenye defensive line, we need new legsx kumtegemea Konate ambaye he has 60% (observation) ya kupatikana same to Jota ni kujimaliza.

I think Antonee Robison anaweza kuchukua mikoba ya Robertson vyema. Option ni mbili kwa Robbo,

1. Kukubali kuwa back up ya atakayekuja,.
2. Kuondoka kwenda kusaka maisha nje ya LFC probably Italy patamfaa zaidi,.

Remain or not, just best of luck to him (Robbo).

Ynwa’
 
Hivi Robbo hahesabiki home grown being Scottish... In any way boy has to walk, he is losing the instinct very fast na ukiwa beki under Slot formula instinct lazima ziwepo at highest level case study Konate na VVD yaani they can smell danger at far n kuifanyia kazi mapema sanaa ama kujua watie block or slide etc...

The data guys must be working round the clock kutazama haya mamboz kabla hayajatuumiza zaidi hivyo kazi kwa Slot na Hughes ku react mapema sokoni lakini huchelewi kusikia Slot akisema ooh mie sio muumini wa kununua January [emoji23][emoji23][emoji23]

YNWA

Robbo career yake sijajua ila kanuni inasema ili uwe “homegrown”
kwanza uwe umespend atleast 3yrs at any english club before you turn 21yrs. Sijajua Kwa Robbo ipo vipi, nitafuatilia.

Hahah huo uumini ataukuta Liverpool ambapo anatumikia kwa sasa.

Ynwa’
 
Jürgen Klopp >>> Pep Guardiola

So it’s clear for everyone to see that a certain Mr Pep Guardiola & Manchester City are struggling this season without Rodri and to date have only won ONE game out of the previous 11 games.

Remember back in 2021 when Jurgen Klopp had to deal with injury crisis at Liverpool and had to use Nat Phillips & Rhys Williams as a centre back pairing for half a season and DID NOT capitulate like this current Man City side have over the past couple of months.

So why is Jurgen a BETTER manager than Pep i hear you say well it’s because Klopp can find solutions to problems without spending huge amounts of money and Guardiola CAN’T because he’s simply a checkbook merchant…
 
Naam.

Now you can see even with a DM only tuta suffer bado, kwa sababu LB & RB defensive wise ni challange sana,. We need to jump quickly before it bite us, january, Leta DM & LCB (player who can play LCB & LB), plus DM.

Him (Robbo) & his agent need to think otherwise.

Ynwa’
Too bad loss of form is really catching up with Robbo, high intensity is pushing him to the fullest kiasi akili inataka azuie, akili inataka ashambulie, akili inataka atupe ma assist lakini uwezo nao ndio amefika mwisho wake aisee kila akajiribu holaaa....

Ukiona mpaka ma old guard akina Carragher wanaaanza kumtupiaa maneno asepe ndio ujuee anapewa ujumbe

He can still offer anything, lakin he is not a weak in weak out player, currently until he’ll prove me wrong”,.!!! Honestly we need a left back & DM’.

But kwa sasa he is our liability, him and Trent…!!! We miss Konate aise sana sanaa,

Unajua Konate off the ball ni beast, that Guy smell danger over Vvd. Vvd is so smart with the ball very smart ukiiweka hii Combo unapata kaukuta fulani kazuuuri sana kuangalia.

“The back of Konate”

Ynwa’
 
0A1A5624-2088-4574-9745-ED7EAEA431B8.jpeg
 
Liverpool are reported to have finally reached an agreement with Mo Salah on a new deal – and it’s all thanks to owner John Henry – with the eight clubs the star has rejected to stay at Anfield, and the timeline for when the contract should be announced, all coming to light.

The Egyptian has blasted his way to a stupendous 227 goals in just 372 appearances for Liverpool – a goal contribution every 1.13 appearances when factoring in the 100 assists he has also racked up. Seen as the club’s most talismanic star, the fact he falls out of contract next summer is a reason for plenty in and around Anfield to feel more than a little twitchy about.

However, Salah has made clear his desire to extend his stay on Merseyside and the fact that he has rejected the chance to negotiate pre-contract terms with an overseas club from January 1 has meant the tide has always been in Liverpool’s favour.

That said, given the player’s age – he will turn 33 in the summer – together with the fact that he is understood to be seeking a two-year extension, has left the Reds in a tricky spot, especially factoring in the fact he is already their highest earner on £350,000 a week.

Now, though, Caught Offside reports that Liverpool are on the cusp of confirming an agreement with Salah to extend his stay after the intervention of the club’s owner Henry.

They state that the American billionaire has intervened to hurry the talks along, reminding those leading the negotiations that an agreement for the talismanic star is both vital to their future success and will be ‘advantageous’ for all concerned if an agreement is reached quickly.

They claim Salah is happy to commit to the extension with the news described as the ‘best Christmas present that the club and its supporters could hope for’.

Furthermore, they claim Salah has also said thanks but no thanks to eight major suitors to stay at Anfield with Al Hilal, Barcelona, Juventus, Al Nassr, Inter Miami, Al Ittihad, Al Ahli and Zamalek all rejected.
 
Heheh thats football. Hukuwaona watu wakimtetea Hendo na kusema ni best over Steve G.?
Hukuona watu wakisema we have Origi & big Shaqir, Salah has to go he is selfish. We have Elliot & Doak they can play, Salah has to go.

Watu mpaka leo tunamtetea El Panthera Nunez Captain Chaos, lakini haiondoi uhalisia both uwanjani na stats, uwezo ni mdogo au umepungua.

Dave anamtetea Robbo kwa mapenzi yake kina Saint Anne wanasema Mapenzi upofu, its applicable hata kwa makocha pia.

Mambo ya kawaida kwenye mpira, likes and dislikes.

Halafu Robbo since last season alionesha dalili za kupotea ni vile hakuwa akisababisha makosa yenye kugharimu timu, but this season kupotea ni kule kule, n unfortunately this season mambo yanamuharibikia.

He is our legend ibaki hivyo, we have to move on, Bila yeye. Many teams will want his service na anaweza pia kusaidia.

LFC inakosa balance kwenye defensive line, we need new legsx kumtegemea Konate ambaye he has 60% (observation) ya kupatikana same to Jota ni kujimaliza.

I think Antonee Robison anaweza kuchukua mikoba ya Robertson vyema. Option ni mbili kwa Robbo,

1. Kukubali kuwa back up ya atakayekuja,.
2. Kuondoka kwenda kusaka maisha nje ya LFC probably Italy patamfaa zaidi,.

Remain or not, just best of luck to him (Robbo).

Ynwa’
Thank you
 
The MoNA Mkuu mambo ?
Tunakosa analysis ya mchezo wa jana, nilikuwa nataka kufahamu na kusikia maoni yako kwanini dakika 10 za mwisho tuli suffer sana ?

Poa mkuu

Its just Experience & Quality decided that, brother nothing else.

Unajua aina ya mechi huwa inaamua aina ya uwezo. S’ton ya jana na kikosi kile cha jana kwenye EPL tunapokea mengi tu. Tulipokutana EPL walitusumbua sana.

Aina ya mechi ilifanya tuweze tulichofanya.
 
Back
Top Bottom