The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mkuu The MoNA nimepita mjini X page ya Dave Ockop naona anamtetea Robertson kwanini ?
Wakati uhalisia wa mambo unaonekana ? Kifupi amesha choka aisee
Heheh thats football. Hukuwaona watu wakimtetea Hendo na kusema ni best over Steve G.?
Hukuona watu wakisema we have Origi & big Shaqir, Salah has to go he is selfish. We have Elliot & Doak they can play, Salah has to go.
Watu mpaka leo tunamtetea El Panthera Nunez Captain Chaos, lakini haiondoi uhalisia both uwanjani na stats, uwezo ni mdogo au umepungua.
Dave anamtetea Robbo kwa mapenzi yake kina Saint Anne wanasema Mapenzi upofu, its applicable hata kwa makocha pia.
Mambo ya kawaida kwenye mpira, likes and dislikes.
Halafu Robbo since last season alionesha dalili za kupotea ni vile hakuwa akisababisha makosa yenye kugharimu timu, but this season kupotea ni kule kule, n unfortunately this season mambo yanamuharibikia.
He is our legend ibaki hivyo, we have to move on, Bila yeye. Many teams will want his service na anaweza pia kusaidia.
LFC inakosa balance kwenye defensive line, we need new legsx kumtegemea Konate ambaye he has 60% (observation) ya kupatikana same to Jota ni kujimaliza.
I think Antonee Robison anaweza kuchukua mikoba ya Robertson vyema. Option ni mbili kwa Robbo,
1. Kukubali kuwa back up ya atakayekuja,.
2. Kuondoka kwenda kusaka maisha nje ya LFC probably Italy patamfaa zaidi,.
Remain or not, just best of luck to him (Robbo).
Ynwa’