Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wale wa kuweka beti nwanzo wa msimu nani atakua bingwa hakika wengi walimpa Manchester City na hii hali yako naona washapigika sanaa.

YNWA

Sio wengi bali wote walimpa Man City based on last season performance yao, ya Chelsea, Liverpool na Arsenal.
Pia kilichomfanya wampe yeye zaidi ni Liverpool kubadilisha kocha na kutosajili kwa uhakika.

Kiufupi wacheza kamari wamepigwa
 
Still bado ni Manchester City, mpaka pale hesabu zitakapogoma kabisa ndio na mimi nitawatoa kwenye mbio, usijeshangaa wakashika nafasi ya pili ama kuwa mabingwa kabisa

Wewe ni kama mimi huwa simuamini Man City mpaka pale itakapofika Mathematically impossible.

Chelsea na Arsenal wanaweza kucheza hata sijali ila akicheza Man City lazima niangalie matokeo game imeshaje.

Kiufupi Man City namuona kama Tembo hata apate Ukimwi hawi kama Sungura.
 
Hapana jamani
Siyo kwa vipigo hivyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • downloadfile-14.jpg
    557.4 KB · Views: 3
[emoji28][emoji28]wametuleteaga maumivu sana hao sisi na Arsenal. Point 9,10 mzunguko wa pili bado kwa hao jamaa bado sio kujiaminisha kabisa

They have the best coach in the world
 
Kuku broiler wameshapoteana 🀣🀣🀣

Leo ndio mwisho wenu kukaa kileleni ubwa nyie😎😎😎😎

Hakuna kocha kutoka uholanz amewahi kufanikiwa EPL 🀣 washika
Eti mnadanganyana EPL mnachukua kwa kocha yupi? 😎😎😎😎😎

Leo mnakutana na jogoo tasa kutoka London lazima mtage chotara

Kuku broiler 2- 4 jogoo tasa 😎😎😎
 
Sio wengi bali wote walimpa Man City basen on last season performance yao, ya Chelsea, Liverpool na Arsenal.
Pia kilichomfanya wampe yeye zaidi ni Liverpool kubadilisha kocha na kutosajili kwa uhakika.

Kiufupi wacheza kamari wamepigwa
Kweli kabisa msimu uliopita walikua moto sana.
Kwa sasa wateseke tu na hao wacheza kamali nao wateseke tu, zama zimebadilika sana kwa sasa ni Chelsea na Liverpool kama vijana wetu wataedeleza huu umakini ninaona tukiwa real contenders come April 2025.

Mkuu Ngwaba leo gemu waona aje matokeo ya mfukoni tunatoka salama mbele ya White wash purs...

YNWA
 
Nimewaangalia leo Chelsea walivyocheza na Everton.Chelsea wakawaida sana hawana upambanani kama Liverpool.

Wamekabwa sana wamepoteana yaani kama sancho anasubiria aletewe mipira tu.

Chelsea hawana huwezo wakuchukua ubingwa.wanatembea sana uwanjani.

Bora mechi yetu ilihairishwa dhidi ya Everton tulikuwa na sisi tunaacha points maana sio kwa kukaba kule Everton πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…