Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Angekuwa na akili alivyopata UEFA angeondoka zake kwa heshimaHali ndivyo ilivyo kwa Bingwa Mtetezi
View attachment 3181840
Timu ikishafika kwenye peak, kinachofuata ni decline stage.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa na akili alivyopata UEFA angeondoka zake kwa heshimaHali ndivyo ilivyo kwa Bingwa Mtetezi
View attachment 3181840
Bingwa asipokuwa Sisi,basi anaweza kuwa ChelseaStill bado ni Manchester City, mpaka pale hesabu zitakapogoma kabisa ndio na mimi nitawatoa kwenye mbio, usijeshangaa wakashika nafasi ya pili ama kuwa mabingwa kabisa
Nafikiri sasa ni wakati wa Nunez kufunga mfululizo tumwache afanye kazi!Nunez ni mzigo
Mwaka wa 3 huu yeye ni kukosa tu magoli
Kila mwaka tunaambiwa hivihivi kuwa atafungaNafikiri sasa ni wakati wa Nunez kufunga mfululizo tumwache afanye kazi!
Mechi iliyopita alifunga na leo atafunga inshaAllah!Kila mwaka tunaambiwa hivihivi kuwa atafunga
Ni mpumbavu sana
Magoli ya kijinga sana Yale mawili
Wale wa kuweka beti nwanzo wa msimu nani atakua bingwa hakika wengi walimpa Manchester City na hii hali yako naona washapigika sanaa.
YNWA
Ila hajafikia upumbavu aliofanya Allison kwenye mechi dhidi ya Arsenal msimu janaTulikuambia mapema haya kuwa mtoto ni mtoto tu
Still bado ni Manchester City, mpaka pale hesabu zitakapogoma kabisa ndio na mimi nitawatoa kwenye mbio, usijeshangaa wakashika nafasi ya pili ama kuwa mabingwa kabisa
Ila hajafikia upumbavu aliofanya Allison kwenye mechi dhidi ya Arsenal msimu jana
Hapana jamaniWewe ni kama mimi huwa simuamini Man City mpaka pale itakapofika Mathematically impossible.
Chelsea na Arsenal wanaweza kucheza hata sijali ila akicheza Man City lazima niangalie matokeo game imeshaje.
Kiufupi Man City namuona kama Tembo hata apate Ukimwi hawi kama Sungura.
Bingwa yupi alishabeba kombe kwa kupoteza game zote hizo.Still bado ni Manchester City, mpaka pale hesabu zitakapogoma kabisa ndio na mimi nitawatoa kwenye mbio, usijeshangaa wakashika nafasi ya pili ama kuwa mabingwa kabisa
[emoji28][emoji28]wametuleteaga maumivu sana hao sisi na Arsenal. Point 9,10 mzunguko wa pili bado kwa hao jamaa bado sio kujiaminisha kabisaWewe ni kama mimi huwa simuamini Man City mpaka pale itakapofika Mathematically impossible.
Chelsea na Arsenal wanaweza kucheza hata sijali ila akicheza Man City lazima niangalie matokeo game imeshaje.
Kiufupi Man City namuona kama Tembo hata apate Ukimwi hawi kama Sungura.
Kuna mwaka tulipoteza game 1 tuu, 1 tuu na hatukua mabingwaBingwa yupi alishabeba kombe kwa kupoteza game zote hizo.
Kweli kabisa msimu uliopita walikua moto sana.Sio wengi bali wote walimpa Man City basen on last season performance yao, ya Chelsea, Liverpool na Arsenal.
Pia kilichomfanya wampe yeye zaidi ni Liverpool kubadilisha kocha na kutosajili kwa uhakika.
Kiufupi wacheza kamari wamepigwa