It’s not over until it’s mathematically secured.
Nimeandika makala but unfortunately imefutuka (sikufanya back up) 🥹
Lakini ngoja ni summarize kwa ufupi kuhusu LFC vs LEI. Japo haitanoga kama iliyokuwa mwanzo,
Anyway Van Nistelrooy alikuja na good plan ya kuzuia build ya LFC, kwa kubana spaces ili mipira isifike kwa Gravern na Macca hiyo cheat code ya Slot kutafuta magoli.
Akatengeneza shape ya Square ambayo inakuwa narrow pressing hivi, kuwazungunga Gravern au Macca, ili kuwanyima comfort zone ya kufanya progress nzuri.
Angalia hapo vizuri hii ni wakati wa build up zetu, na most of the game wanacheza hivyo (LEI), kuzuia build ya LFC.
Slot alichofanya baada ya kuona pameziba hapo, akafanya Overload system ambayo ni wide overload system, watch 2nd goal lilivyokuwa, Trent, Macca, Jones, Salah walikuwa RHS, kule hiyo ilikuwa overload ili kuvunja vunja pattern za LEI, lakn WIDE OVERLOAD. Waliendelea kubana katikati ili LFC wasipitie katikati, wapite pembeni zaidi wakakutane huko mbele, ni kosa hili kwao. WHY??
Lfc walikuwa na good wide players,. Una Salah, una Macca una Trent passer wa maana, una Gakpo una Jones una Szobo wanaopita pita pembeni, good runners, good passers compare na wao (LEI). Goli la tatu linakuonesha hilo kuruhusu kupita pembeni wakati ndio strength ya LFC so far. What a lovely pass from Cody Gakpo, to Salah na hiyo ndio inamtofautisha yeye na Diaz, i’m sure Diaz pale angeendeleza dribbling yake. Game ya Fulham kuna chance if it was Gakpo tungekuwa 9 clear on the top of the table.
Leicester beaten with quality too, both Fans, Coach and players.
Kudos to the boys.
Kuna mjadala kwa nini tunaruhusu magoli? Becker anatuchoma sana anafungwa mepesi sana, bora tuwe na Kelleher huu mjadala Mwenyeketi ni
Saint Anne.
Anyway tuangalie
Before injury”,.
Becker alifungwa goli mbili kwenye mechi sita,
Kelleher next six games baada ua kuumia Becker, alifungwa goli sita hizi zote ni za EPL.
Becker had 88.2% saves
Kelleher had 73.9% saves
Hapa ni with Konate akiwa partnered with VVD, plus Trent&Bradley, Robbo&Tsimi. Muda utaamua for sure.
Top of the table, playing like a champion, we will flourish hopefully.
Kipindi tunawahitaji wafanye jambo wao wala hawana habari hii ndio rivalry, msimu huu hawana option maana wapo ICU lazima wakomae tu.
Best of luck to us all,
Wish you Merry Christmas and Happy 2025 year in advance.
Know You can
Ynwa’