Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaTujipongezeni . Ku maintain pale kileleni sio kazi rahisi.Ynwa. Japo sijaicheki gemu ya jana baada ya kupoteza jirani yetu kwenye ajali ya bus huko moshi.
Naam! Watu wazingatie sheria za barabarani kwa kweli.Pole sana
Mungu ampumzishe pema.
Tafadhalini wachagga, endesha kistaarabu barabarani huko,
Mungu awalinde tunawaombea.
Saint Anne mbona mchambuzi wetu anatujeuria Leo? 🤣🤣🤣
Nilisema mimi hadi mlie😂😂😂Saint Anne mbona mchambuzi wetu anatujeuria Leo? 🤣🤣🤣
Chambuzi amegoma kabisa Leo kuwapa madini😂😂Slot's narrow structure as Liverpool looks to create their attacks
View attachment 3186494
Wakuuu hii mnaielezeaje hapa naona huu ni mfumo mpya wa Slot pale timu yetu inapotengenza shambulizi na Trent anaonekana yupo mbele ya backline ya defence halafu Washambuliaji wa timu pinzani nyuma yao kuna double pivot ya Macca na Gravenberch. Hii iko Vipi Wakuuu?
Captain Marvelous
The MoNA
amelewa keki na pilau ya krisimasi.
Kwahiyo tukuamin wewe au FabrizioHakuikataa LFC, alisema yes im ready to come, but his club black mailed him, akaamua kubaki kwa ajili ya timu yake.
Ni sawa na mwanamke amkubali mwanaume kwa ajili ya ndoa ila wazazi wakatae, huwezi kusema mwanamke alimkataa mwanaume.
Ynwa’
Kwahiyo tukuamin wewe au FabrizioView attachment 3186553
Naby keitaArne Slot may overtake Klopp Status
Jordan Henderson, Karius, Milner will make Klopp to regret for all eternity
Captain Marvelous
The MoNA
Tunadharirishwa huku. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Curtis ni kiungo na Darwin ni Striker /Winger
Watoto wa 2000 na kumi mnakuja Kasi[emoji23]
Slot's narrow structure as Liverpool looks to create their attacks
View attachment 3186494
Wakuuu hii mnaielezeaje hapa naona huu ni mfumo mpya wa Slot pale timu yetu inapotengenza shambulizi na Trent anaonekana yupo mbele ya backline ya defence halafu Washambuliaji wa timu pinzani nyuma yao kuna double pivot ya Macca na Gravenberch. Hii iko Vipi Wakuuu?
Captain Marvelous
The MoNA
1. Liverpool will suffer and go back to being a mid table team now that Jurgen Klopp has left, can't wait for next season.
-Liverpool make it to the top of the Premier League.
2. This new Manager is average, they could have got a manager with experience with big teams. Happy Xabi Alonso has rejected them!
-Arne Slot defeats top managers Pep Guardiola, Carlo Anceloti, Ten Hag and Xabi Alonso.
3. Lol the honeymoon is over. Now that they have lost to Nottingham Forest, they are back to default settings. Can't wait to see them. Plus Liverpool NEXT TEN GAMES! [emoji51]
-Liverpool immediately forget how to lose and go on a 20 GAMES UNBEATEN STREAK!
4. Liverpool can beat everyone except their Daddy, Real Madrid. It is a known story that they do not stand a chance.
-Liverpool slaughter Real Madrid and embarrass Mbappe.
5. Now that Alison is injured, watch this young goalkeeper swallow goals for breakfast plus Diogo Jota is injured let's see how they win with Darwin Nunez.
-Liverpool keep FOUR clean sheets without Alison and bang goals for fun without Jota.
6. Liverpool are only doing better because we all have injuries while their players are fit. The day their players get injured honeymoon is over.
-Alison, Jota, Trent, Kostas, Eliot, Konate and Bradley get injured!
7. Liverpool are only doing fine because of Virgil Van Dijk and Mo Salah. Take these out and see if they still be the same. Wait until they go and you'll see the real Liverpool.
-Liverpool play WITHOUT Van Dijk and Mo Salah and WIN!
8. Liverpool.... Liverpool...Man take Arne Slot from wherever he came from![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
They have tried very HARD to discredit us and instill fear in us but it keeps on backfiring! I wonder what their next excuse will be! [emoji23]