Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Robbo leo mpaka sasa hana ishu mbali upande wa Trent wamekua bypassed mno probably Ibu hajawa fit asilimia mia huku Trent ni Trent.Robbo leo aache masihara.
You can’t be seriousYalikuwa wapi kukimbia hivi
Diaz ni takataka
Heri ametoka
Chenga nyingi mnoYou can’t be serious
UmeshapataChenga nyingi mno
Si tunataka magoli
Poa tuSalah japo kafunga ila sijawahi kuwa na Imani naye kwa penati
Umeshapata