Win lose Draw
Ni matokeo kwenye football, hivi mmeshawahi kujiuliza
Kwanini Slot hapati matokeo kwa waalim wanaotoka Ureno,ambapo tulifungwa Anfield Nuno Esprito Santo? na Mwingine akaja kutoa sare 2-2 na Fulham, Na leo Amorim na Man U ametukazia, but kuna small details ukizifuatilia utagundua kwenye mbinu hawa waalim wa kireno ni mabingwa wa kujilinda na wanapoingia kwenye michezo mikubwa wamekua wanafanikiwa sana.
Mjadala uanzie hapa
TIMING
King Ngwaba
Ladder 49
Captain Marvelous
MosDef
The MoNA
Na wengineo
We never play good at home in the past 6 games
Trent as soon as a wank
Give me 3 bad games za Trent this season.Trent imekua common sasa
Can't agree otherwise mate... Kwa Slot utaelewa kwamba ni don't change what's working and delivering maana anaongoza ligi kwa kufuata mfumo wake anaoamini na umemp mafanikio mpaka sasa... Ishu ni kwamba wapinzani hawaji kubahatisha wanafanya homework vizur sana na leo ni mfano safi Kabisa yaani Manchester United wangetulia ushindi ulikua wao leo.
Elliot hua ana utoto mwingi sana lakin ana tackle, ana press na forward passes kuliko Jones hivyo gemu ya leo ilikua yake..
YNWA
Bwana bwana moja ya ishu zilizomfelisha Klopp kuchukua EPL moja tu ilikua mambo kama haya yani akiamini jambo lake ni hivi basi ilikua ni hivyo hivyo, wakati mwingine muhuni ku tweak system ku punguza threat ya timu pinzani especially kama wa Manchester United leo they had nothing to lose maana hata kwenye mbio za ubingwa ha wapo.
Tupo mzunguko wa pili tayari, tuna gemu mkononi kiporo je sio wakat sahihi kocha aanze kusaka hizo mbinu za low block zilizotupa sare mzunguko wa kwanza..
Kazi ipo...
YNWA
HE IS NOT WORTH 300k PER WEEK..........Haiwezekani 80 min hata kufanya Tackle moja hawezi.View attachment 3193544
Endo was the man for janaElliott, angeanza tungetoka HT, tukiwa nyuma.
He's worse than Curtis physically.
Option ilikuwa Endo at 6, & Grav+Alexis as 8.
Slot hamwamini kabisa Endo even after shining akiwa nafasi baso Mwalimu hana imani nae kama starters probably huko mazoezini hampi the numbers to convince a starting berth na matokeo yake tu nategemea vitoto in Elliot na Jones ambao wanacheza as if we are 25 points clear at the summit... This is EPL chances come n go very fast hivyo Slot n his staff should be watching past 9 years how Liverpool and Arsenal has bottled its up twice each vs Manchester City na wataelewa hatuna trials EPL.Elliott, angeanza tungetoka HT, tukiwa nyuma.
He's worse than Curtis physically.
Option ilikuwa Endo at 6, & Grav+Alexis as 8.
Come to think of this ni kwamba we will never be safe mpala FSG wauze timu aisee yaani kocha mpya walinunua mgonjwa mmoja Cheisa haya tuna dirisha lipo wazi wachezaji kwamba wameisha sokoni, we badly need CBR, na MF.I think Slot will be fine brother.
We have drawn against Utd, so i get kuhusu hizi emotions.
But, we will be fine.
Bad days zinatokea.
Slot & players are part to blame for today, but we are in a title race, haijawahi kuwa nyepesi, & the fact kuwa tupo kwenye title race, ni ushindi tosha tayari.
Lets see what Slot has in store, tuna game tough sana kuliko ya Utd, against Forest at City Ground, next.
Win that game, & we will be fine, lose/draw bado tunakuwa kwenye mix, msimu bado ni mrefu sana, tuombee tu jini la injuries & fatigues lisipite, maana cant see FSG backing Slot this january.
We will be FINE.
WeI think Slot will be fine brother.
We have drawn against Utd, so i get kuhusu hizi emotions.
But, we will be fine.
Bad days zinatokea.
Slot & players are part to blame for today, but we are in a title race, haijawahi kuwa nyepesi, & the fact kuwa tupo kwenye title race, ni ushindi tosha tayari.
Lets see what Slot has in store, tuna game tough sana kuliko ya Utd, against Forest at City Ground, next.
Win that game, & we will be fine, lose/draw bado tunakuwa kwenye mix, msimu bado ni mrefu sana, tuombee tu jini la injuries & fatigues lisipite, maana cant see FSG backing Slot this january.
We will be FINE.
Slot hamwamini kabisa Endo even after shining akiwa nafasi baso Mwalimu hana imani nae kama starters probably huko mazoezini hampi the numbers to convince a starting berth na matokeo yake tu nategemea vitoto in Elliot na Jones ambao wanacheza as if we are 25 points clear at the summit... This is EPL chances come n go very fast hivyo Slot n his staff should be watching past 9 years how Liverpool and Arsenal has bottled its up twice each vs Manchester City na wataelewa hatuna trials EPL.
I wonder why Szobo hua hapati the accolades he deserves unless ile jezi number means goals kama Steve G but that boy makes Trent comfortable kwa kua anampa sapoti before he get toasted kama jana..
Kama anaumwo may he get better.
YNWA
Come to think of this ni kwamba we will never be safe mpala FSG wauze timu aisee yaani kocha mpya walinunua mgonjwa mmoja Cheisa haya tuna dirisha lipo wazi wachezaji kwamba wameisha sokoni, we badly need CBR, na MF.
Yaani jana kumuona Konate starting ile gemu ilinipa hofu sana imagine boy trained mara ya kwanza Ijumaa na Jumapili yupo uwanjani against our fierce rivals Anfield aiii that doesn't look good hata his face expression wasn't calm alikua na uoga kabisa..
Buy CBR as early as now, send Quansah on loan in June he need change of atmosphere kwa sasa.
Sare vs performance ya Manchester United jana is acceptable kabisa.
Can't say it's missed chance maana they came prepared. Jana Manchester United was like watching old Liverpool kipind cha Fergie ambapo tulikua tunakamia big games aafu tunakutana na kipigo cha Wigan etc
Its takes loads of effort ku perform EPL week in week out at the top sio jambo jepesi kamwe hivyo they will be this kind of games where one unit won't click na jana MF and RB were busted left n right its happens sometimes.
Next Epl gemu ugenini at Nottingham, really tricky but in the right time.
To win demands we beat the best.
Slot is cool kabisa. Boys wana experience na haya mambo. We survive with at least 8 points lead at the summit mpaka March end then we can talk about the elusive 20th coming home🤓🤓🔥🔥🔥
YNWA