Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

we are very weak, tumekua kama tottenham, no creativity, no holding midfield and Lovren is shaky kabisa, he can even shoot the ball

Wanapigwa goli la offside hawalalamiki wala kuhoji, its like they expected kupigwa bao la pili, and it was just a matter of time

Labda itasaidia kuleta serious strikers

... Are we still a big club??? naahhh, hata nottingham na aston villa waliwahi chukua UCL
 
Emre Can anakaa bench kwenye team yenye mkusanyiko wa average players kama Hii...

To be honest, nimeshindwa kumuelewa kocha anayepanga wachezaji wafupi wengi against manure, Allen, sterling, cou, moreno, are all small, he needed to balance the team... Lucas alitakiwa kucheza hii game... Allen isnt helping the team. SG ni kama hayupo vile, simuoni kokote
 
Tunapoteza game hii sababu ya Raheem Sterling!Kijana huyu hana lolote zaidi ya kukimbia kimbia tu

NB Bao la Matta was clear offside
 
Tunapoteza game hii sababu ya Raheem Sterling!Kijana huyu hana lolote zaidi ya kukimbia kimbia tu

NB Bao la Matta was clear offside

Bao la Matta hata kipofu angeweza kuona kwamba ni off side. Hata yeye mwenyewe hakuwa ana amini kama lingekubaliwa. Ila wachezaji wetu wakakaa kimya kana kwamba wanamkomoa Rodgers.
 
Bao la Matta hata kipofu angeweza kuona kwamba ni off side. Hata yeye mwenyewe hakuwa ana amini kama lingekubaliwa. Ila wachezaji wetu wakakaa kimya kana kwamba wanamkomoa Rodgers.

Sterling ndiyo kaifanya mechi hii tupigwe!Nafasi hizi 4 za ana kwa ana na De Gea angekuwa RVP/ROONEY ni bao hizi!

Drop huyu mtoto for entire season
 
Sterling ndiyo kaifanya mechi hii tupigwe!Nafasi hizi 4 za ana kwa ana na De Gea angekuwa RVP/ROONEY ni bao hizi!

Drop huyu mtoto for entire season

.......mjomba umeshindwa kujizuia, Ikwiriri umechukua ka mtandao vile vile....
 
.......mjomba umeshindwa kujizuia, Ikwiriri umechukua ka mtandao vile vile....

Nipo kibandani hapa kwa Sadallah ka TV kenyewe kadogo!

Drop Sterling entire season then mruhusu aongee na team yyt aondoke
 
Reactions: Mbu
Commentator "Liverpool came here as a mid table team and they look it"
 
Bao la Matta hata kipofu angeweza kuona kwamba ni off side. Hata yeye mwenyewe hakuwa ana amini kama lingekubaliwa. Ila wachezaji wetu wakakaa kimya kana kwamba wanamkomoa Rodgers.

Bao la Matta ni clear offside. Lakini kwa jinsi ilivyokuwa nahisi Linesman hakuona RVP kama kagusa Mpira. Hata hivo ni msimu uliopita LVP mlipewa goli kwa kosa la refa against manure. So ni mpira na poleni
 
Reactions: Nzi
Sterling ndiyo kaifanya mechi hii tupigwe!Nafasi hizi 4 za ana kwa ana na De Gea angekuwa RVP/ROONEY ni bao hizi!

Drop huyu mtoto for entire season

Uliposema unaenda ikwirir nilijua unajidanganya tu, lazima utabeba kamchina kako
 
aibu tupu Leo ndio tumeona why David Moyes kufukuzwa watu Kama wale wachezaji wakali wa nje kwanza hawawajui mbili hawaaminiki kuja kuchezea Rogers afukuzwe tu Kenny Daglish ashushwe chini mpaka Benitez atapokuja tena hao sio Manager wa hizo timu lasivyo tutatizama kushuka chini au nafasi hata ya 10 tusione timu Kama Arsenal unashangaa kuona haimtaki Arsene Wenger wawe makini na wanachokiomba Brendan Rogers kitu gani kashinda? Bora hata Kenny Daglish na timu mbovu alishinda kombe na kutufikisha FA Cup Final timu kujiuliza nani mchezaji Mzuri kwenye timu unasema Kolo Toure si hatari Hiyo? Unatoa Left Back ila Emre Can unamuacha Bench, Brendan Rogers na Joe Allen waende tu Las Vegas wakaowane hatuwataki pale tukiendelea nao tutafika April-May Liverpoolfc inaishangilia ushindi au draw kwa kuokoka kushuka daraja kwa Point 1 au 3. Hata upeleke £100 kwa Reus Mfano akiwepo mtu Kama Brendan Rogers atasema ndio nani Brendan. Rogers? Ila mtu Kama Rafael Benitez kuna wachezaji wakali wengi angekuwepo wasingefikiria mara mbili, tumeona Mfano Mzuri kwa David Moyes na United na Sasa Luis Van Gaal watu Kama Benitez LFC hata isiwe CL watu watakuja ila Brendan Rogers tulikuwepo CL amekuja nani Lallana? Aibu ndio naipenda tu timu yangu na nipo tayari Kama Brendan Rogers atabaki kuishangilia daraja la kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…