Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na ni 100m hiyo hiyo Liverpool walitoa kumnasa huyo kiungo wakamkosa ,nimalize kusema kuna kitu kwenye huyo kiungo
 
Jezi nipe mkuu
Nikupe lipa namba ya muuzaji
Ukiweza ninunulie hata 2
Yaani utakuwa umeupiga mwingi, arsenal jezi yenu unyama ni mwingi Mwaisa
Ni timu tu hainaga vikombe.
Umejua kuipamba jersey yetu utasema umekuwa kweli shabiki wa Arsenal

Nitasubiri kuona ujumbe wako
 
Liverpool travelling party for PSV Eindhoven: Endo, Nunez, Chiesa, Gakpo, Elliott, Tsimikas, Robertson, Kone-Doherty, Mabaya, McConnell, Jaros, Kelleher, Nallo, Morrison, Danns, Norris, Quansah, Morton, Bradley, Davies, Nyoni

No Salah, Van Dijk, Gravenberch, Alexander-Arnold, Alisson, Konate, Mac Allister, Szoboszlai, Diaz for Liverpool's trip to Eindhoven (plus no Jones, Gomez, Jota who are not fit yet)
 
Like Slot's move here. It's much wiser to rest the key players for Bournemouth away, which has proven to be a very tough away game, when Liverpool already has secure a top-eight placement. Plus the young players will get very valuable experience and playing time
 
Kuipamba ni kweli nzuri sana ila siwezi shabikia timu ambayo haichukuagi makombe ya maana😂
Hahaha.........naona unaamua kutusagia kunguni sasa 🙌

Kumbukeni mkiteleza kidogo tu tunachukua EPL 💪
 
🚨❌ Liverpool have REJECTED two bids from SAUDI for Darwin Nunez, not leaving in January.

How much’s he worth in your opinion? 👀💰
 
If we fail to beat them maana yake we are not champions material. Hizo ndio mechi za kibingwa
Yeah.

Nafikiri vs PSV, najua Slot anataka 100% record na kutop CL table, but sometimes unatakiwa ujue which is better than which ili ufanye maamuzi sahihi.

B'mouth wana good form na wana mapumziko wiki nzima, it should be a wise decision kama watapumziahwa 95% ya wachezaji watakao kabiliana na PSV.

Ki vyovyote hii mechi i have positive feelings with it.

Ynwa
 
Kama FSG wangelifungua pochi wampe Klopp na Caicedo, trust me mpaka leo tungekuwa na Klopp as our coach.

Ynwa
 

Game tough sana hiyo. Walinuna Rafa alipoajiriwa wakajua pandikizi hili, kwanzi hatuwezi kuletewa mafanikio na Ex LFC, hatutaki

Moyes amemteuwa Charlie Adam (Ex LFC player) kwenye technical bench lake. Naona hajapiga kelele kwa sababu hakua real blood LFC.

HII Mechi itaanza kutengenezwa kwenye media,
Last match between City rivals at Goodson park, will Wverton hold LFC toward thier tittle race?? Vimaneno hapo vitawatia wazimu.

Kwanza kuongoza tu ligi ni kigezo tosha cha mechi kuwa ngumu.

We shall see next
Ynwa'
 
Jezi nipe mkuu
Nikupe lipa namba ya muuzaji
Ukiweza ninunulie hata 2
Yaani utakuwa umeupiga mwingi, arsenal jezi yenu unyama ni mwingi Mwaisa
Ni timu tu hainaga vikombe.
Heheh au sio??

Umepotea huku sana, au kisa Trent amegoma ku saini??

Ynwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…