Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Na ni 100m hiyo hiyo Liverpool walitoa kumnasa huyo kiungo wakamkosa ,nimalize kusema kuna kitu kwenye huyo kiungoView attachment 3215307
Moja ya viungo bora ndani ya Premier league, Liverpool haukutunia pesa nyingi sana kupata saini ya vijana hawa
⚡️Mac Allister: £35m
⚡️Szoboszlai: £60m
⚡️ Gravenberch: £34m
£129m imetumika kuleta furaha kwa mashabiki, kuna team inatoa 100m kwa kiungo mmoja