Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Hawa madogo Dean Huijsen Miaka 19 na lllya zabarnya Miaka 22 tangu waanze kucheza pamoja pale kwenye ukuta wa Bournemouth hawajapoteza mchezo wowote.

Madogo Wana utambulisho wao wa kuvaa groves nyeusi mikononi na soksi fupi..

NB: inabidi tuwavue hizo Groves na tuzipandishe hizo soksi.(Just a jokes) 🀣🀣🀣
 
Utakuwa mchezo mgumu dhidi ya Bournemouth lakini naamini katika Spirit ya wachezaji wa Liverpool hasa hasa kipindi hiki ambapo radar ya ubingwa ipo upande wetu
 


Ndio kusema 🀣🀣🀣

Real Madrid na Manchester City mmoja wao habari itaishia nafasi hii ya Play off maana anatakiwa mmoja tu kutinga hatua ya 16 Bora , hii inaenda kuwa final ya UEFA champions league play off.
 
Final before final πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“bring its... The game is on.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…