The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mkuu The MoNA nimesadiki, hii mechi kwangu nilikuwa naiona itakuwa ngumu sana kutokana na matokeo ambayo Bournemouth walikuwa wanayapata kabla ya jana. Vipi analysis ipo Mkuu?
YNWA
Unfortunately sijaangalia mechi hata kidogo was too busy bro.Mkuu The MoNA nimesadiki, hii mechi kwangu nilikuwa naiona itakuwa ngumu sana kutokana na matokeo ambayo Bournemouth walikuwa wanayapata kabla ya jana. Vipi analysis ipo Mkuu?
YNWA
But overall it was as end to end offensive game. Kupumzisha nearly entire 1st eleven ilitupa enough energy kukabiliana na jamaa. Kama tungehitaji ushindi vs PSV, maana tungeenda na full weapons ambayo kimsingi wachezaji wangechoka na huenda tungeadhibiwa na Iraola.
Nampenda Iraola huwa yupo more offensive hana kupaki paki basi. They created their chances real good chances, ni vile hawakuwa na ukatili mbele ya lango, lakini kibaya zaidi, walikutana na BIG Man AB1 ameamka timamu kimwili na kiroho. Zile saves alizofanya AB1 ndizo zinamtofautisha na Kelleher.
Ynwa.