Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu The MoNA nimesadiki, hii mechi kwangu nilikuwa naiona itakuwa ngumu sana kutokana na matokeo ambayo Bournemouth walikuwa wanayapata kabla ya jana. Vipi analysis ipo Mkuu?
YNWA

Mkuu The MoNA nimesadiki, hii mechi kwangu nilikuwa naiona itakuwa ngumu sana kutokana na matokeo ambayo Bournemouth walikuwa wanayapata kabla ya jana. Vipi analysis ipo Mkuu?
YNWA
Unfortunately sijaangalia mechi hata kidogo was too busy bro.

But overall it was as end to end offensive game. Kupumzisha nearly entire 1st eleven ilitupa enough energy kukabiliana na jamaa. Kama tungehitaji ushindi vs PSV, maana tungeenda na full weapons ambayo kimsingi wachezaji wangechoka na huenda tungeadhibiwa na Iraola.

Nampenda Iraola huwa yupo more offensive hana kupaki paki basi. They created their chances real good chances, ni vile hawakuwa na ukatili mbele ya lango, lakini kibaya zaidi, walikutana na BIG Man AB1 ameamka timamu kimwili na kiroho. Zile saves alizofanya AB1 ndizo zinamtofautisha na Kelleher.

Ynwa.
 
Watu wanaomuhurumia Pep watakuwa wamesahau ukatiliki wake,

Pep katesa wenzake kwa fedha chafu za wachimba mafuta.

Jamaa alikuwa na vikosi viwili vyenye uwezo wa kubeba major trophies, labda upande wa goal keeping hakuzingatia ila idara zingine zilikuwa zimesheheni.

Embu fikiria Class kama ya Alvarez inakaa bench, wachezaji wa £70m to £100m wanakaa bench (Grealish, Philips) Mchezaji anasajiliwa msimu mmoja hajadeliver anapewa msimu mmoja anaondoshwa mf K. Philips, leo LFC tunahangaika kumbakiza Trent kule kwa Pep Cancelo alizingua moja (turn ya Salah akafunga only goal at Anfield long ball from AB1), na ile game ya FA alipigwa bench akanuna ikawa mwisho wake, akaletewa mtu wa £60m plus.

Wakati tunahangaika na Academy players, kina Jones na Bradley, wawe seniors tuwategemee, Pep anauza anachukua ready made. Mf Palmer, Lavia.

Huyu akiteseka ateseke tu. Nikumbushe ni msimu gani pep alifungwa na:
Spurs
LIverpool
Man utd
Arsenal
Ndani ya msimu mmoja??

Hili joto analopitia Pep kuna wenzie vibarua viliota nyasi, na wengine walioga na kupuliziawa manukato ya aondoke tu aje Gerrard (in Saint Anne's Voice), huyu Jurgen Klopp, unakumbuka 2020/2021?? Je 2023/2024??

Acha Pep na Halaand wateseke.
Kudos to Arsenal.

Slot namdai ushindi pale Etihad Stadium 🏟️ 🏟️.

Arsenal na NF mmewahi kukimbizana only 1 point from feb to may bila kuikuta, ask Klopp 2021/2022. Zilikuwa 12 points zikapunguzwa ikabaki moja na Pep akabeba kwa point hiyo hiyo moja.

Karibuni sana Arsenal & NF kwenye hii marathon, we are ready for it. N.B target yetu ilikuwa top four tu sasa tupo kwenye "Bonus Mode"

Mateso kwa Pep yaendelee,

Best of luck to us.
Ynwa
 
Nakazia bonus mode any trophy won itakua by th way💃🏿💃🏿💃🏿💃🏿yaani hatuna hata preshaaaa.

YNWA
 
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Raha sanaaa kuona Pep akiteseka hivi yaani raha sana.

Mamosh atulie kwanza wakati wake bado sana. Nimeona kipaji kipo pale.

YNWA
[emoji1][emoji1][emoji1]wanamatatizo mengi sana, walichofanya ni uasajili wa kupaniki tuu sababu hela za kuspend wanazo.

Beki za kati, pembeni, viungo na eneo la kipa vimeoza wao wakaona tatizo ni mawinga
 
Hatimae jana wamesajili DM kutoka Porto, dogo ana kipaji na zao la La Macia pale Catalan hivyo basics za nini Pep anachokitaka anazo. All the best kwake ni moja ya dynamic DMs upcoming na kwa bei kubwa japo kwa Mansour inalipilika bila shinda.
Hofu ya kukosa big 4 kwao imewasukuma hizi panic buys...

YNWA
 
Mo Salah is the first player in PL history to have 8 seasons with 18 or more PL goals, and the first to have 7 seasons with 19 or more.

Kane didn't. Shearer didn't. Aguero didn't. Henry didn't. Rooney didn't. Cole didn't.

They were strikers.

He's a winger.
 
Ina maana Liverpool majira haya ya baridi Wameshinda kabisa kufanya usajili wa aina yoyote?

Licha ya TAA kutakiwa na Madrid, Nunez kutakiwa Saudi Arabia. Sijaelewa yaani hizi kelele za mikataba ya kina Salah, VVD, TAA kugonga sana headlines ya media kote duniani.
 
Mkuu, Unless umesahau FSG bado wamoo hivyo hakuna matata.

YNWA
 
Trent Alexander-Arnold will miss Liverpool’s Carabao Cup semi-final, second leg against Tottenham Hotspur due to injury.

The vice-captain had to be substituted during last weekend’s victory at AFC Bournemouth and Arne Slot confirmed on Wednesday morning that he is unavailable for Thursday night’s tie at Anfield, in which the Reds will seek to overturn a 1-0 deficit.
Slot told reporters: “He is going to miss the game tomorrow and we have to see if he is able to play on Sunday. But what we do know is that he is not available for tomorrow.”
When asked for more detail on Alexander-Arnold’s issue, the head coach replied: “I think you saw that he left the pitch with a bit of a pain in his leg, so that’s why he misses the game tomorrow.
“But he is already on the pitch, not with the team but with the rehab coach, so let’s see how long it is going to take. But he will not be available tomorrow.”
Slot later reported that all other members of his squad are fit for selection on Thursday.
 
Ina maana Liverpool majira haya ya baridi Wameshinda kabisa kufanya usajili wa aina yoyote?

Licha ya TAA kutakiwa na Madrid, Nunez kutakiwa Saudi Arabia. Sijaelewa yaani hizi kelele za mikataba ya kina Salah, VVD, TAA kugonga sana headlines ya media kote duniani.
Sio sayansi ila Imani.

Nimefikiri sana kwa nini LFC hawajafanya any move this January, nikaona kuna balance nzuri inapatikana kwa sasa, lakini haiondoi kwamba we need new fresh legs kwenye LB, DM and atleast ST's. Sasa January transfer inaweza waharibia au kuwaimarisha zaidi hasa mkiwa kwenye good form.

Kwa Mf. Unanunua LB January, maana yake either Tsimi au Robbo mmoja ampishe new incoming, what if unamuondoa mmoja wapo halafu, anayekuja anashindwa ku click na set up , changamoto tayari hiyo.

Lakini on top of that, Contract issues imechangia big time kutokuingia sokoni.

Ynwa
 
Back
Top Bottom