Endeleeni kufukiza udi tu, ila hiki kikombe tuna shida nacho na tutakibeba mbele yenu hamtaaminiππππππππ
mkorea
HENRY14
hamis77
verifaidi yuza
Grahams
Timu Wajaa laana
Hadi wachezaji hawataki timu isiyo na makombeππ
Jiulize kwa nini hakuna timu iliyoleta maombi ya kumsajili Trent, Vvd & Salah licha they are all world class players kwenye kambi zao??
These fellas they will pen ποΈ a new contract.
Ynwa
hao hawatasaini,Jiulize kwa nini hakuna timu iliyoleta maombi ya kumsajili Trent, Vvd & Salah licha they are all world class players kwenye kambi zao??
These fellas they will pen [emoji2768] a new contract.
Ynwa
[emoji28][emoji28][emoji28] kuna mwaka tulikua kwenye position kama hiyo tukaishia carabao tuuTubebe Carabao
Tubebe FA
Tubebe EPL
Tubebe UCL
Tubebe Super Cup
Tubebe CWC
Yaani tusiache kitu
Tuna wapiga mapema tu spurs,anfield hapawezi huyo.πLeo tupige Spurs tutinge Fainali ili tuanze hesabu ya Makombe mapema sana
They lost to LfcView attachment 3219036
Hawa madogo Dean Huijsen Miaka 19 na lllya zabarnya Miaka 22 tangu waanze kucheza pamoja pale kwenye ukuta wa Bournemouth hawajapoteza mchezo wowote.
Madogo Wana utambulisho wao wa kuvaa groves nyeusi mikononi na soksi fupi..
NB: inabidi tuwavue hizo Groves na tuzipandishe hizo soksi.(Just a jokes) π€£π€£π€£
Na iwe kwa kweli maana akiondoka mmoja ni tunaenda kuanza upya ujenzi wa teamJiulize kwa nini hakuna timu iliyoleta maombi ya kumsajili Trent, Vvd & Salah licha they are all world class players kwenye kambi zao??
These fellas they will pen ποΈ a new contract.
Ynwa
Yule chochoro hata akiondoka hakuna shidaNa iwe kwa kweli maana akiondoka mmoja ni tunaenda kuanza upya ujenzi wa team