Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Basi alikuwa Manyanza 😀
Halafu unaongelea bottling kama booonge la shida. Mbona sisi tunabottle kama tamaduni na wala hatuna stress yoyote.
 
kwani wakati Liverpool anachukua hilo Kombe la COVID Man Utd walikuwa wameacha kushiriki EPL au
Mzee mwenzangu sijamuelewa kabisa mtoa post, nikaona nimpe ujiko, ila sio yeye tu, hata wale wanaosema tuliyochukua sio ya EPL kwasababu jina lilibadilika nawaambia tu kwa kisambaa YOU ARE RIGHT, yaani kwa kitaliono tunasema WANA AKII ZEAWA MWE NTIII
 
Tuna misimu miwili hatujashinda Goodison Park. But This. This is the moment to put thing right, Tunatakiwa kwenda ku- turn up, Take control na kuchukua three points No more slip -up No more wasted chances.
 
DIAZ + NUNEZ +JOTA.

Nunez hawezi kufunga magoli yakutosha for a team inayopigania ubingwa.

Diaz ni Too inconsistency huelewi ata turn up muda gani.

Jota Fantastic player lakini you just cannot trust him to stay fit for more than a couple of games.

LFC tunahitaji ku fix this in the summer ,Tunahitaji proper attacking rebuild
 
Hizi huwa zinaambatana na losses
 
Aje nani?
 

Kila Timu inaposhinda taji manayake wapinzani wake wapo vibaya ndiyomana kuwazidi akabeba Kombe.

Hata huyo Man United wenzake walikuwa vibaya ndiyomana akabeba hayo Makombe 13 ya EPL.

Ndiyomana kabeba misimu Makombe 13 kati ya Misimu 23 hii inamaanisha hiyo misimu mengine yeye alikuwa vibaya kukatokea wengine wazuri kuliko yeye.

Hivyo kusema Liverpool anaongoza ligi kwasababu wengine wana form mbovu ni typical nonsense 🚮.

Hata Man City ameshinda Makombe kwasababu hawahawa uliowataja walikuwa wana form mbovu.

Hebu jitahidi uwe na football brain japo kidogo angalau 15% itakusaidia.
 
Basi alikuwa Manyanza 😀
Halafu unaongelea bottling kama booonge la shida. Mbona sisi tunabottle kama tamaduni na wala hatuna stress yoyote.

Mimi Kocha akishindwa kucompete from the start huwa sina shida sana.

Lakini linapokuja suala la bottling kama alivyofanya Benitez, Rogers na Klopp twice huwa sikubaliani nalo hata kidogo.
 
Mimi Kocha akishindwa kucompete from the start huwa sina shida sana.

Lakini linapokuja suala la bottling kama alivyofanya Benitez, Rogers na Klopp twice huwa sikubaliani nalo hata kidogo.
Kwangu mimi huwa naona bora niishie 16 bora

Kuliko kufika fainali nikakosa kombe huwa inauma sana
 
Leo usiku tunakwenda mtaa wa jirani Everton mechi ni ngumu haitabiriki na moyes keshasema anajua gape aliloachwa na liverpool ni kubwa amerudi kuja kulipunguza kama sio kulifunga na kuwa sawa...
Mechi haitabiriki na haijalishi una kikosi bora au dhaifu matokeo ya Merseyside derby huwa ni ya kushangaza atakaye wahiwa ndio kaisha...ila kwa uwezo wake Allah game tutaichukua....ningependa anzishwe Nunez awakimbize na kuwachosha mapema tu tuwafumue mshono.....
YWNA......!
 
Slot anasumbuliwa naakocha wa kireno na wote tumedondosha points maana wanakaa sana nyuma na watumia counter attack.!!
So far wachezaj walipumzika weekend tulitolewa na Plymouth so Leo Everton watatusamehee
Go Go Go Go YWNA
 
Basi alikuwa Manyanza [emoji3]
Halafu unaongelea bottling kama booonge la shida. Mbona sisi tunabottle kama tamaduni na wala hatuna stress yoyote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti na wala hatuna stress yoyote.
Ingia jukwaa lenu mwisho wa msimu hio mitusi utakayo kutana nayo huko ndio utajua kua mna stress au hamna[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…