HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 2,952
- 5,583
Huyu aliyekujibu sio mimi, nadhani hata wewe unajua mimi post zangu si za kubishana au kujibu jibu watu ovyo.
Pia post zangu sio za kumuongelea Slot kwanza simjui kwa chochote huko alipotoka.
Pia Slot hatengenezi Timu bali anatumia Tumu iliyotengenezwa na Klopp! Ukiniambia anatengeneza mfumo wake mwenyewe wa uchezaji hapo nitakuelewa lakini sio kutengeneza Timu.
Msimu huu asingeshinda chochote kwa kuanza kuyumba tokea mwanzo wa msimu ningemuelewa kwasababu ni mpya wachezaji wanaingia kwenye mfumo mpya.
Lakini EPL anaongoza, Carabao yupo Fainali hivyo asiposhinda sasahivi basi hiyo ni bottling na atapaswa kuwajibika.
Basi alikuwa Manyanza 😀
Halafu unaongelea bottling kama booonge la shida. Mbona sisi tunabottle kama tamaduni na wala hatuna stress yoyote.