Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Ni namna ya kujifariji tu kwasababu kwenye hiyo miaka 30 bila ya EPL ndani yake muna 2 Champion League, 2 Supercup, 1 Europa Cup, 1 Club World Cup na 1 EPL achana na FA na Carabao sasa sijui wanapata wapi ujasiri wa kujiona wao Zero Trophy kuwa ni bora?
 
Ukinisoma kuna mahali nimesema "sometimes hizo maths huwa hazi apply kwenye real football world". Na nimeeleza namna kupoteza mechi kunavyoweza kuathiri team kwa kukosa muendelezo.

Draw au Loss zote zina cost, kisicho cost ni ushindi tu lakini dunia hii hakuna kocha atakubali kusema eti bora afungwe mechi ili ijayo ashinde kuliko ku draw mechi na inayofuata atoe tena draw.

Football hasa PL hainaga cha team ndogo wala kubwa, hakuna guarantee kuwa mechi ijayo team fulani itashinda (anything can happen).

So focus ya kocha plan A ni WIN, plan B inaposhindikana ku WIN basi ni angalau ku rescue a point (DRAW).

Option ambayo obviously hakuna anaeitaka bali ni nyie mashabiki na hesabu zenu za kwenye calculator ni hiyo ya bora upoteze halafu inayofuata ushinde (una guarantee vipi ushindi mechi ambayo hujaicheza).

Mimi nikuambieni tu siku zote kila team inaingia uwanjani kwa garget ya maximum points (3) lakini kama hali imekuwa ngumu basi hata draw (1 point) ni bora kuliko LOSS ( zero points).
 
Same. Kama sikosei NC ameifunga Arsenal haizidi mara nane tangu wakutane

Arsenal anayoizungumzia hapa sio ya 2017 bali ni hii ya current season or since past two seasons but unailinganisha na Newcastle kuwa 'tokea mukutane' means since their establishment! Why?

Kwanini ussichukue Arsenal ya this season vs Newcastle ya this season?
 

Hamuwezi kuelewana kwasababu kila mmoja anamtafsiri mwenzake kwa angle yake anayoitaka yeye.
Pia hapa munazungumzia mitazamo ambayo kwa kawaida huwa haiondoi katika imani ya Mtu kwa kushawishiwa kwa hoja bali inaondoka kwa Mtu mwenyewe kuamua na ndiyomana kuna Mkojani alioneshwa Tai akaambiwa yule ni Tai na anapaa angani, Mkojani akasema haiwezekani yule hawezi kupaa kwasababu ni sungura.
Mkojani akaambiwa yule sio sungura ni Tai basi akakataa.
Yule Tai akaruka na kupaa juu, basi Mkojani akasema yule hata aruke mpaka aziguse mbingu ninachojua mimi yule ni sungura sio Tai.

Hili namaanisha Mtu akishakuwa na Mtazamo wake hahitaji facts ili kuubadilisha bali ni mpaka pale tu atakapoamua mwenyewe.
 
Bhana ni vituko vya mashabiki na pia inaitwa Derby half blue half red jana its meant more maana ilikua mechi ya mwisho kati ya Liverpool vs Everton kuchezewa uwanja huu sa Goodison Park.

YNWA
 
upo sahihi......Lengo liverpool ashinde ifikapo may tuinue makwapa kwa kuinua ndoo ya premier league 2024-25.. inshaAllah!
 
Kwahiyo kwa maoni yako ungetamani matokeo ya jana tupoteze kabisa ili mechi ijayo tushinde? 😄,

Kiukweli mimi nasema ushindi kwanza ndo kipaumbele, ikishindikana basi hata sare ni bora zaidi kuliko kupoteza kabisa, haijalishi mechi ngapi.
Kama nayo tutadraw basi utakuwa wendawazimu
Ni heri tu tungefungwa Moja, tushindwe Moja.
Kuliko draw mfululizo.
 
Mbona unaandika kama vile kuanzia hiyo past two seasons Arsenal inafungwa na Newcastle kila wakikutana
 
Haya tuchukue msimu huu wa sasa mmoja tu halafu tulinganishe na kauli yako ya awali
Arsenal ikikutana na Newcastle kesho wakafungwa.
Jumanne wakacheza tena hakuna anayejua mpira atakariri alipoanzia kwamba Newcastle atashinda tena.

Liver mlifungwa 7 na Villa ila next game hakuna aliyeamini kwamba Villa itashinda tena. Hata mkirudiana leo jioni na Everton hakuna atakayeamini Everton atashinda au atatoa suluhu.
 
Ni Liverpool inaweza kuonesha Trophies iwe Mickey Mouse au Big trophy, iwe Msimu mmoja au Mitano! Vyovyote vile lakini ina uwezo wa kuonesha Trophies zake
Msimu mmoja uliopita mlishinda nini?

Miwili?

Mitatu?

Usilete story za carabao na FA.
 
Sasa mkuu hebu wewe tupe mtizamo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…