Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



Just get Cracke au Carragher to do the job...

Lakin BR hatak hicho kitu, kawajaza washikaj zake kina Marsh ambao ni upuuzi mtupu..

Hata AGGER alianza kuwa legelege chini ya BR..
 
Aiseee mi niko mitaa ya Kimara tuwasiliane tuweke mpunga mezani uone km sito mpiga Stoke! Tuweke mpunga Aisee!

Nitakuwa Ikwiriri shambani hata game na Arsenal zitaweza iangalia lkn nitashinda kwani gari letu limeisha waka!

Humfungi Stoke kwake ningekuwa Dar ninge bet na ww maana hela ya bure hii!!
 
Just get Cracke au Carragher to do the job...

Lakin BR hatak hicho kitu, kawajaza washikaj zake kina Marsh ambao ni upuuzi mtupu..

Hata AGGER alianza kuwa legelege chini ya BR..
Inauma sana, hata Sakho kawa mayai
 
Shaqiri sio striker ni winger au namba jumbo, he us a bad player, kama ni kujaza vyoo tu, basi WaPo wa kutosha

Shaqiri can Rotate upfront though!!

Anaweza akasaidia kwenye "Diamond Formation"
 

Mimi nachoona tatizo la Liverpool ni BR kuwa na haraka sana ya kutaka kubadili timu na kufumua sana kikosi cha kwanza kilicholeta matokeo mazuri last season.
Nadhani angejipa muda wa kutosha wa kubadili wachezaji wa kikosi cha kwanza, sasa kwa haraka naona kama alifanya maamuzi ovyo kwa kuwatoa baadhi ya wachezaji kwenye mipango yake.
Mfano Agger aliruhusiwa kuondoka kwenye timu lakini mtu kama Kolo Toure akabaki. Au hata Jonjo Shelvey aliachwa akaondoka zake kirahisi na ubora wake.
Soka bwana, last season Liverpool walikuwa kwenye wakati mzuri na Man United wakawa kwenye wakati wa ovyo kabisa, lakini this season Liverpool imeoza sisi Man United tunakimbiza.
Ova
 
Inauma sana, hata Sakho kawa mayai

SAKHO ndo number 1 french LCB kwenye team ya Taifa, lakin anawekwa Bench kwenye team yenye Shitiest Defenders kwenye EPL...

Bora Yule Lovren kaumia, SAKHO will get a Run now..
 
SAKHO ndo number 1 french LCB kwenye team ya Taifa, lakin anawekwa Bench kwenye team yenye Shitiest Defenders kwenye EPL...

Bora Yule Lovren kaumia, SAKHO will get a Run now..

Sakho si ndiye aliyefanya utovu wa nidhamu kwa kuamua kwenda nyumbani bila ruhusa wakati timu inaingia uwanjani, kwa sababu tu hakukuwa na jina lake kwenye timu iliyokuwa ikienda kucheza?! Hizi ni tabia za wahuni kama Haruna Moshi, ambazo ni Phiri tu ndiye anaweza kuzivumilia.
Ova
 

Hakuna mchezaji ambaye hapendi kupangwa uwanjani...

Alexendar Song "billon" alikuwa analalamika kukosa game time kwenye msitu wa kina Busquet "Burgos", Mascherano, Xavi "pass master" etc...itakuwa kwa SAKHO na wajinga kibao waliojaa kwenye Back-line ya LFC kama akina Lovren na Kolo Toure????

Au kwann BORIN asiumie kuwekwa bench na ST kama Lambert???
 

Ni kweli kila mchezaji hupenda kuwamo kikosini kila wiki, lakini sio kwa kufanya uhuni wa kuondoka uwanjani bila ruhusa ya Manager, nenda kamshawishi Manager mazoezini.
Ova
 

Ukizungumzia nidhamu basi kuna watu wasingecheza kabisa... wanatukanana na makocha kila siku

Sakho, Agger, Lucas sio wakujipendekeza ndio maana BR hawapi sananafasi, jamaa ana ego... na ego ndio inayommaliza
 
Nitakuwa Ikwiriri shambani hata game na Arsenal zitaweza iangalia lkn nitashinda kwani gari letu limeisha waka!

Humfungi Stoke kwake ningekuwa Dar ninge bet na ww maana hela ya bure hii!!


Hahahaaaa we mnyakyusa huipendi hela yako!


Aya bhana! J3 sio mbali tutaona nani mkali Kati yangu na wewe!
 
Liverpool Vs Chelsea, ni kama Liverpool Vs Swansea, ni zile game ambazo hazinaga muamko wowote ULE..
 
Glad to See Markovic anaanza kujiamini...

na isitoshe anacheza kwenye his "UN-USUAL" position..

Lallana, Can, Moreno, Markovic, Manquillo all showing GOOD signs..

MB nadhan anahitaj partner (kama kwenye game dhidi ya Spurs)...

Well, LOVREN ndo FLOP tuliyoibeba msimu huu, inauma coz tungeweza kuwapata kina Benatia, Hummels kwa ile amount...£20m..
 
LOL

Benitez anasema Siku mbili zilizopita amekataa offers za CLUB mbili..

LFC wapo???

sidhan kama anaweza akaikataa LFC...

kama BR will be sacked we should aim higher, De boer na AVB hawawez kuwa upgrade kwa BR, we need someone like Klopp, Simeone and RB to turn things around!
 
kwahyo ndo "BREAKING NEWS" au?????

hiyo draw imetoka tangu J5 usiku bro!!

watu hawajaiongelea humu, kwasababu haina UZITO wowote!

Hauna haja ya kutoa maneno yote hayo kama vipi tulia tu sio issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…