Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Inawezekana anawatumia message ila anaowatumia ni watu wa hovyo kuwahi kutokea. Wao watajua mwenzao ndio mfumo wake alioamua kuja na nao kwenye mechi hii.

Kama ile presha ya game na Aston Villa hawajaipata basi hakuna kitu watasikia.

Seriously, playing against our biggest rivals in the league for years now, tena at Etihad, bila STs, inaonyesha ni jinsi gani kocha hawaamini STs alionao. and thats a clear message to the owners/Edwards & Hughes.

Its up to them, to answer the call.
 
Sijui nimeangalia mechi labda nimelewa ila leo ni 9/10 kwa kila mchezaji

Ni kweli TAA amesumbuka kwa Doku but who survived madhila ya Doku?

Leo tumecheza kibingwa japo kukosekana kwa Halaand kumerupa 70% ya ushindi

City tayari tumrshamtoa kwenye mbio kabakibaki arsenal, mission ni kumpiga Newcastle na kuzika ndoto za Arsenal mazima
 
Doku hajawahi kuwa na madhara kwetu japo Pep huwa anapenda sana kumtumia kama wildcard kila tukikutana nao (Huyu huwa haanzi games za city ila vs Liverpool kama hataanza basi ni early second half sub). Kitu pekee ambacho huwa ni positive kwa Pep ni kuwa Doku huwa anamsumbua sana Trent na hivyo kum-pin back most of the time na Trent kushindwa ku venture forward zaidi.

In terms of end product Doku hajawahi kuwa na madhara kabisa zaidi ya dribbles na take-ons zinazoishia kuwa cleared or corners.
 
Curtis Jones may score or assist, sometimes.

But, he adds nothing kwenye hii team.
Guess being a local lad carries the kid.
But ni mzigo kabisa huyu dogo. Atakupa tabasamu mechi moja tu then utanuna mechi nyingi tu..

Tuwape Westham huyu dogo na Elliott aafu watuachie Kudus😂😂if dreams were horses..........

YNWA
 
Slot=more balance and composure or less chaos...

Kipara had over 65%ball procession and yet we stood out and ended the game unscrathed

YNWA
 

Doku, hana end-product, yeah.

But, he was so dangerous today, Trent failed to contain him completely, kilichotuokoa leo, City hawakuwa na fox/target-man kwenye box (Haaland), Doku/Savinho wote walikosa mtu anayeweza kumake-runs & create space in the box, ndiyo maana mipira yao mingi kwenye box ilikuwa inaishia kwa our defenders.

But, kama Haaland angekuwepo, hadithi ingekuwa nyingine, because Doku had all the space/time in the world, na 85% alifanikiwa kum-beat Trent kila akiwa na mpira, City walikosa a ruthless fox tu kwenye box, especially first half.

When was the last time Doku had a fun-time against a fullback? i love Trent so much, na nimeona sehem wanasema kuwa "Doku had Trent pants, but Trent never gave-up & fought until the last whistle", this is nonsense, because if Haaland angekuwepo kwenye ile line-up, narrative ingekuwa tofauti.

And, why ilikuwa easy kwa City ku-create space au kumpata Doku? our MF (bar Szobo) was below par again, its been like that for the past 5-6 games now, we were just lucky City MF was just way worse pamoja na defense structure yao, otherwise game ingeweza kuisha kama Villa Park au way worse.

At this stage, i dont really care, the title race is over, so its time for Slot & the owners, kuanza kufanya pre-evaluation ya kikosi.

Sijaweka akili sana kwenye CL, because its so hard to predict the outcome. but i will be happy na chochote kitakachojiri.

But, process ya ku-evaluate kikosi, ianze now.
 
Slot=more balance and composure or less chaos...

Kipara had over 65%ball procession and yet we stood out and ended the game unscrathed

YNWA

Pep had a weak side, but he got it right technically, the execution was just poor.

kuna watu wanasema we won that game bila ku-sweat a tear, NO, we hard to work for it.

City were just weak kwenye so many areas, and it was an advantage kwetu, hence in the 2nd half we decided to settle the "play" and move the game at our tempo kwa kufanya basic defensive routines.
 
Injuries, loss of form, timing of phasing out old guards have caught Pep pants down.

YNWA

Injuries are a killer brother.

Wakati, yanamtokea Klopp haya, people were so naive kuamini haya.

ukiachana na Rodri. his whole backline imekuwa na injury crisis kwa vipindi tofauti (Stones/Dias/Ake/Akanji), ile injury ya De Bruyne nayo imeharibu kabisa his fitness shape, same to Kovacic, etc.

But, i guess in the summer, they will add a proper CB, RB, GK, CM (De bruyne replacement).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…