Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana anawatumia message ila anaowatumia ni watu wa hovyo kuwahi kutokea. Wao watajua mwenzao ndio mfumo wake alioamua kuja na nao kwenye mechi hii.
Kama ile presha ya game na Aston Villa hawajaipata basi hakuna kitu watasikia.
Sio kawaida yako brotherCurtis Jones, a useless football player.
Huu ni mpira, hisia ni lazimaSio kawaida yako brother
Doku dribbles for nothingDoku is having a great time against Trent
Thanks God, Haaland is out injured.
Doku hajawahi kuwa na madhara kwetu japo Pep huwa anapenda sana kumtumia kama wildcard kila tukikutana nao (Huyu huwa haanzi games za city ila vs Liverpool kama hataanza basi ni early second half sub). Kitu pekee ambacho huwa ni positive kwa Pep ni kuwa Doku huwa anamsumbua sana Trent na hivyo kum-pin back most of the time na Trent kushindwa ku venture forward zaidi.Sijui nimeangalia mechi labda nimelewa ila leo ni 9/10 kwa kila mchezaji
Ni kweli TAA amesumbuka kwa Doku but who survived madhila ya Doku?
Leo tumecheza kibingwa japo kukosekana kwa Halaand kumerupa 70% ya ushindi
City tayari tumrshamtoa kwenye mbio kabakibaki arsenal, mission ni kumpiga Newcastle na kuzika ndoto za Arsenal mazima
Guess being a local lad carries the kid.Curtis Jones may score or assist, sometimes.
But, he adds nothing kwenye hii team.
Injuries, loss of form, timing of phasing out old guards have caught Pep pants down.Pep will spend zaidi ya £400m this summer.
This City team is so out of shape.
Unbelievable.
Slot=more balance and composure or less chaos...Our overall play have been so bad.
Players are goosed & tired, yeah.
But, technically, tumekuwa out-done & played.
Happy with the 2 goals, but getting out-played by this weak city team, is not a good look.
Well, 3 points are important, & glad Arsenal dropped points y'day & ndiyo team ambayo ipo close na sisi kwenye title race, so haikufanyi u-panic kwa chochote, but tungekuwa kwenye title race na a serious team, hali ingekuwa mbaya.
If City werent so toothless upfront, wangekuwa wameshatuadhibu tayari, we are just so passive.
Curtis Jones is not better than Harvey Elliott.Sio kawaida yako brother
Doku hajawahi kuwa na madhara kwetu japo Pep huwa anapenda sana kumtumia kama wildcard kila tukikutana nao (Huyu huwa haanzi games za city ila vs Liverpool kama hataanza basi ni early second half sub). Kitu pekee ambacho huwa ni positive kwa Pep ni kuwa Doku huwa anamsumbua sana Trent na hivyo kum-pin back most of the time na Trent kushindwa ku venture forward zaidi.
In terms of end product Doku hajawahi kuwa na madhara kabisa zaidi ya dribbles na take-ons zinazoishia kuwa cleared or corners.
Slot=more balance and composure or less chaos...
Kipara had over 65%ball procession and yet we stood out and ended the game unscrathed
YNWA
Injuries, loss of form, timing of phasing out old guards have caught Pep pants down.
YNWA