Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Slot winning the league, first time of asking, ni very bad look kwa Arteta.

Arsenl fans were comparing him with Klopp, because he "challenged" pep/man city & finished above us for 2 seasons mfululizo.

Now, a dude with no hair from Holland, will get a guard of honour from him and his team in May.

Football is so funny.
Still early Doouug
 
Guess being a local lad carries the kid.
But ni mzigo kabisa huyu dogo. Atakupa tabasamu mechi moja tu then utanuna mechi nyingi tu..

Tuwape Westham huyu dogo na Elliott aafu watuachie Kudus😂😂if dreams were horses..........

YNWA
Elliot ana potential nadhani mwalimu tu huwa hamwamini lakini unaweza kuona games anazopewa nafasi huwa anafanya jambo. Work rate yake ni nzuri.

Jones (the cocky midfielder) ni mzuri sana hasa akiwa na mpira ila nadhani ange strive zaidi tukiwa na proper holding midfielder ambaye atafanya Jones awe na less defensive duties.

Otherwise Jones ni good squad player, he has a chance to up his game.
 
Unajua recently tumekuwa weak hasa kwenye midfield kutokana na Macca na Grav kuchoka. Macca seems to be pushing himself to the limit, Grav looks lethargic too.

This makes them vulnerable at times hence leaving the backline disposed ndio maana recently cleansheets zimekuwa adimu na draws a common occurence.

All this is due to the fact that both of them are playing in makeshift positions where they've really excelled beyond expectations.

Grav anaonekana amechoka kwasababu if I am not mistaken he and VvD have played the most minutes for us 3000+ across all comps.

Sidhani kama kuna mwingine anafikia dakika 3000 ukitoa hao wawili so you can imagine a 22 years old 'newbie' bossing experienced midfielder in the PL and CL week in week out for more that 30 games is not a child's play.

Ni muda wa wengine ku step up kumalizia kilichobaki. Endo is fantastic whenever he's given a cameo, szobo amekuwa na workrate nzuri.

Let's hope for the best come May.

Ila next summer usajili wachezaji wanne mpaka watano haukwepeki. We need a major overhaul.
 
Kutokuwapo kwa Haaland ndiyo mpira ulivyo. Na sisi tungesema kutokuwapo kwa Gakpo! Pengine angekuwapo labda mambo yangekuwa mabaya kwao pia
Upo sawa mkuu, that's part of football. Hata sisi tulipoteza ubingwa kwa point moja kwasababu van Dijk alikuwa majeruhi. Pengine ingekuwa tunafukuzia ubingwa wa tatu ndani ya miaka mitano.

But we'll do with a second one this season.

YNWA
 
Trent nawaza kocha aje amjaribu LW siku moja , hii afanye tukishakuwa na uhakika na ubingwa .

Fan ubingwa tunatangazwa April mwanzo kabisa.
Slot yupo very flexible, angalia namna amechange system throughout the season. Playing Grav as DM the whole season, playing false nines in the name of Diaz (hat trick vs Leverkusen) and yesterday Szobo (goal and assist).

So anything is possible. Kama Bradley akiwa fit anaweza kumjaribu Trent midfield kama double pivot na Grav kisha Macca akacheza a more advanced role or free role.

Sema tu at this stage ni ngumu kocha kufanya experiments za system.

Advantage anayopata kwa hawa false nines ni kuwa wanaweza ku drop back ku receive mipira na hapo wana draw beki mmoja wa upinzani out of position anakuja ku mark huyu false nine, hii inaacha nafasi kwenye half space ambapo wingers wetu wanaweza ku operate kwa ufasaha.

Hii system ilituweka sana mjini enzi za Klopp wakati Firmino akicheza false nine tuliona namna Mane na Mo (wingers) walivyokuwa wakifunga magoli mengi.
 
3-5-2 ni mfumo unaotumia Wingerbacks kazi zao kushambulia na kurudi nyuma kusaidia ulinzi

Wanafanya kazi zote mbili ya Winger timu ikiwa inashambulia, na Fullback timu ikiwa inashambuliwa TIMING
Klopp alitumia sana huu mfumo na ulimlipa vizuri, unaweza kuona jinsi Trent na Robbo walivyokuwa na assists+goals nyingi kwa kupewa uhuru wa kushambulia sana na kurudi kukaba inapihitajika.

Kwa sasa ukiangalia vizuri ni ngumu ku utilize hii system kwakuwa Robbo na Trent wamechoka (wametumika 6+ seasons kwenye high intensity).

Tukipata RB na LB ambao ni vijana wenye energy kama Hato Slot anaweza ku explore hii system na tukaona matokeo mazuri zaidi.

Kwasasa beki zetu za pembeni zimechoka kiasi chake kucheza huu mfumo, ukizingatia Robbo na Trent wamecheza at the top of their game for 6+ seasons ni lazima wafikie mahali wa dip in form.
 
Tusubiri summer mkuu tumeshaahidiwa usajili mzuri na tuna target ya Isak mwenye goal 50 kwenye mechi 76.

Tukimpta huyu plus DM, LB, RB na cover CB basi quadruple ipo next season.

The cards are in FSG's hands.
Na iwe hivyo usajili wa wachezaji wachache tu makini

Lakini mpaka siku hiyo ifike ndio niamini maana hawa FSG sometime wanatia hasira
 
Na iwe hivyo usajili wa wachezaji wachache tu makini

Lakini mpaka siku hiyo ifike ndio niamini maana hawa FSG sometime wanatia hasira
Kwa current market value ni ngumu kupata mchezaji proven kama hauko tayari ku cash in 60 to 70m pounds kupata kile unataka utaishia kwa hawa cheap bargains wa 30 to 40 million pounds ambao wana potential (which can never be attained/achieved) ambao tumekuwa lucky kuwapata kama Grav na Macca.

Ili tuendelee kuwa top dog lazima tusajili. Lakini lazima tusajili kwa akili na sio mihemko, tumeona city wametumia over 200m pounds last month ili ku revive msimu wao lakini ni kama wanaenda kuwa wamefeli. Man U wametumia pia hela nyingi ila ndio kwanza wanazidi kudidimia.

Business wise we are doing well lakini tunatakiwa tusajili next summer. Otherwise tutajikuta tukiwa mid table again.

Chamuhimu ni kuwa patient, tuwaamini FSG, Edwards and his team. Tuta deliver massively kwenye usajili.
 
Elliot ana potential nadhani mwalimu tu huwa hamwamini lakini unaweza kuona games anazopewa nafasi huwa anafanya jambo. Work rate yake ni nzuri.

Jones (the cocky midfielder) ni mzuri sana hasa akiwa na mpira ila nadhani ange strive zaidi tukiwa na proper holding midfielder ambaye atafanya Jones awe na less defensive duties.

Otherwise Jones ni good squad player, he has a chance to up his game.
Ishu ni kwamba FSG ni wapenzi wa "small" squad kubana matumizi ndio maana unaona mahitaji yapo ya kusajili lakin wenyewe wanajitetea kwamba kikosi kipo na ni kamili but we have quantity over quality players..
Elliot na Jones wanashikilia wages na nafasi aisee sio kingine..
I love Elliot as a player lakin we are past his output same case na Jones ni wachezaji wanaotupa very minimal expectations....

Nwa let's enjoy the ride. Epl trophy kama naiona ikiwa na red ribbons 🤓🤓🤓🤓🤓

Elliot na Jones wana potential ya kuwa big players. They are only hindered by the fact kuwa hatuna DMs wakuwafanya wacheze free role (IMHO). Japo naona work rate ya Elliot ni kubwa na akipewa minutes ana deliver.

If we keep them okay, if we get rid then quality additions are welcome
 
Straight from training ground to Etihad Stadium.

Mechi ya jana records zilivunjwa pale ETH Stadium. Thanks kwa Slot na jopo lake plus wachezaji kwa ujumla wao.

Hivi umewaza kuhusu Vvd, Salah na Trent kucheza kwa kujitoa bila kujua hatma yako? Unataka kubaki lakini bado upo dillema its hard but they are professionals they all have good camps.

Slot tried to respect Pep na City yake bila kujali hali waliyonayo, aliamua kuacha mpira kwa City kisha wafanye mid block na kuwawahi kwa counters Why?? Slot hajapata possession MF na hii inaanzia kwa kukosa natural DM, Gravern & Macca tried alot so far as Makeshift DM's,

Baada ya game ya Villa kwa dakika chache nilizoangalia ile game i told someone, oohh no these players are tired very tired, luckily we know how to win and secure point(s) atleast.

Feel sorry to Trent nafikiri alizichukia sana dakika 45 za mwanzo, kama City wangekuwa na poacher wao mambo yangekuwa mambo. Japo mpira haupo hivyo ya ANGE ANGE,.

Niseme tu kuna uwezekano fagio likapita kubwa comming summer
Jota
Nunez
Diaz (i recommend to sell him)
Gomez
Jones (homa za vipindi) game moja nzuri, 10 zinazofuata ni hovyo.

We need

LB
RB
CB
DMF
ST

Slot angemkuta Mane, Bobby angepata deadly attacking force, changamoto kwa sasa magoli yanatokea upande mmoja RW.

Hivi umewaza kwa nini Slot aliamua ku risk bila kuanza na ST wakiwa wote wazima, game ni Etihad vs Man City, you eagerly need one/three points, na wala hakuwapa secs za kucheza??

Jota na Nunez vs Villa kama ni clinical ST's that game it could ended 4-2/5-2.

I real don't care all of the above if we got 2 Epl in a space of 5 years' and will be shame to Arteta, it could be his season. Kama ni mporomoko huu wa City halafu Klopp bado yupo, Angebeba EPL ya pili mbele ya Pep. Two seasons unakuwa runner maana yake 3rd season ulipaswa ku challange enough kubeba regardless of City performance and regarding investment kwenye TW.

I said it in here in January we are on a "bonus mode" we welcome you Arsenal kwenye hii marathon, warmly welcome.

Catch us if you can.

Ynwa
 
Elliot na Jones wana potential ya kuwa big players. They are only hindered by the fact kuwa hatuna DMs wakuwafanya wacheze free role (IMHO). Japo naona work rate ya Elliot ni kubwa na akipewa minutes ana deliver.

If we keep them okay, if we get rid then quality additions are welcome

Elliot it's Ok I can agree with you, but I don't see anything like a big player on Jones.
He's destined to be a mediocre.
 
Elliot it's Ok I can agree with you, but I don't see anything like a big player on Jones.
He's destined to be a mediocre
Jones ni aina ya wachezaji wanaopendwa na makocha (punda)...same case ilikuwa kwa Henderson

ukichanganya na uingereza wake nakuhakikishia Jones ana miaka zaidi ya sita mbeleni pale Liverpool siyo wa kuondoka leo wala kesho huyo
 
Elliot na Jones wana potential ya kuwa big players. They are only hindered by the fact kuwa hatuna DMs wakuwafanya wacheze free role (IMHO). Japo naona work rate ya Elliot ni kubwa na akipewa minutes ana deliver.

If we keep them okay, if we get rid then quality additions are welcome
Ni kweli Elliot ni very progressive thinker kuliko MF wetu wote ishu tu inakua vile akicheza sana sana RMF ambayo hio namba kwa sasa anayo bwana Szobo...
I will pick Szobo any day of the week for his work rate without the ball.

YNWA
 
Back
Top Bottom