Straight from training ground to Etihad Stadium.
Mechi ya jana records zilivunjwa pale ETH Stadium. Thanks kwa Slot na jopo lake plus wachezaji kwa ujumla wao.
Hivi umewaza kuhusu Vvd, Salah na Trent kucheza kwa kujitoa bila kujua hatma yako? Unataka kubaki lakini bado upo dillema its hard but they are professionals they all have good camps.
Slot tried to respect Pep na City yake bila kujali hali waliyonayo, aliamua kuacha mpira kwa City kisha wafanye mid block na kuwawahi kwa counters Why?? Slot hajapata possession MF na hii inaanzia kwa kukosa natural DM, Gravern & Macca tried alot so far as Makeshift DM's,
Baada ya game ya Villa kwa dakika chache nilizoangalia ile game i told someone, oohh no these players are tired very tired, luckily we know how to win and secure point(s) atleast.
Feel sorry to Trent nafikiri alizichukia sana dakika 45 za mwanzo, kama City wangekuwa na poacher wao mambo yangekuwa mambo. Japo mpira haupo hivyo ya ANGE ANGE,.
Niseme tu kuna uwezekano fagio likapita kubwa comming summer
Jota
Nunez
Diaz (i recommend to sell him)
Gomez
Jones (homa za vipindi) game moja nzuri, 10 zinazofuata ni hovyo.
We need
LB
RB
CB
DMF
ST
Slot angemkuta Mane, Bobby angepata deadly attacking force, changamoto kwa sasa magoli yanatokea upande mmoja RW.
Hivi umewaza kwa nini Slot aliamua ku risk bila kuanza na ST wakiwa wote wazima, game ni Etihad vs Man City, you eagerly need one/three points, na wala hakuwapa secs za kucheza??
Jota na Nunez vs Villa kama ni clinical ST's that game it could ended 4-2/5-2.
I real don't care all of the above if we got 2 Epl in a space of 5 years' and will be shame to Arteta, it could be his season. Kama ni mporomoko huu wa City halafu Klopp bado yupo, Angebeba EPL ya pili mbele ya Pep. Two seasons unakuwa runner maana yake 3rd season ulipaswa ku challange enough kubeba regardless of City performance and regarding investment kwenye TW.
I said it in here in January we are on a "bonus mode" we welcome you Arsenal kwenye hii marathon, warmly welcome.
Catch us if you can.
Ynwa