King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Ninachokiona muda sio mrefu nitajiajiri kuwa wakili mtetezi wa Jones
Kama Malafyale alivyokuwa kwa akina Henderson na Lovren
🤣 🤣 🤣 FSG hawana hata huo mpango ndugu judging by past experience baada ya kushinda mataji unategemea kikosi kipewe proper back up kua contend hawato ers again lakin kwa FSG hua ni the other way....Tusubiri summer mkuu tumeshaahidiwa usajili mzuri na tuna target ya Isak mwenye goal 50 kwenye mechi 76.
Tukimpta huyu plus DM, LB, RB na cover CB basi quadruple ipo next season.
The cards are in FSG's hands.
🤣 🤣 🤣 FSG hawana hata huo mpango ndugu judging by past experience baada ya kushinda mataji unategemea kikosi kipewe proper back up kua contend hawato ers again lakin kwa FSG hua ni the other way....
Its well documented tulikua na proper DM Fabihno then akaja squad player Endo hatukusajili like for like replacement ya Fabihno lakin mpaka leo hii tunakweda na mark shift players kwenye eneo muhimu na wachezaji wapo lakin FSG wanaangalia aa yupo Grav au Macca...
Kwa kweli let's enjoy as much maana kama hatunao Salah, VVD, Konate n Trent next season basi tujiadae mateso
YNWA
Sitoshangaa ndugu kusubiri miaka 7 aisee. Kwa hawa ma Yankees hakuna matata lolote tutegemee.Baada ya kuondoka proper DM Mascherano ilituchukua takriban Misimu 7 ndiyo ananunuliwa Fabinho.
Hivyo baada ya kuondoka Fabinho tegemea misimu mengine 7 ndiyo atanunuliwa another proper DM
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Huyu anatetea ugali wake. Mathematically ni done deal but real life uwanjani its possible lakini je hao Arsenal nao hawatapigika tena na hapo ndio Mikel anafeli na hesabu zake....Arteta ana Mentality fulani ya ku-manipulate kiufundi sanaView attachment 3249408
Nina mashaka na fitness ya Isak ndugu na pia focal point kama ataedelea kua Salah just incase akasaini misimu miwili...Tusubiri summer mkuu tumeshaahidiwa usajili mzuri na tuna target ya Isak mwenye goal 50 kwenye mechi 76.
Tukimpta huyu plus DM, LB, RB na cover CB basi quadruple ipo next season.
The cards are in FSG's hands.
Isak has proven to be a top player. Kufunga 50+ goals in less than 80 games sio mchezoNina mashaka na fitness ya Isak ndugu na pia focal point kama ataedelea kua Salah just incase akasaini misimu miwili...
I would rather get Mbuemo wa Brentford na Martinez wa Inter pale mbele.
YNWA
Not really unless they start after wrapping the crucial 3 points.I'd be tempted to rest some players on wednesday.
Anaongelea kwenye MajerahaIsak has proven to be a top player. Kufunga 50+ goals in less than 80 games sio mchezo
Klopp hana ujasiri huu
Muache KloppKlopp hana ujasiri huu
Si mlisema dm hao wamepitww na wakatiSitoshangaa ndugu kusubiri miaka 7 aisee. Kwa hawa ma Yankees hakuna matata lolote tutegemee.
Kama tu Fabihno replacement yake inakua ngumu kiasi hiki najiuliza je Salah, je VVD yaani mapema tuelewane aisee ili kupunguza expectation msimu ujao especially kwa key board fans tuwe tu na maneno ya akiba.
YNWA
Isak is the main threat pale Magpies, kwa Liverpool ni Salah... Suppose Salah doesn't sign extension na akadoka then akatua Isak whose injuries are worrisome that means tunakua na strika wa mechi 5 fit mechi 3 wodini...Isak has proven to be a top player. Kufunga 50+ goals in less than 80 games sio mchezo
Endo ni squad player sio starter any day of the week hivyo unahitaji DM kama Ederson wa Atalanta aje tu ili ku release Grav na Macca higher up the pitchSi mlisema dm hao wamepitww na wakati
Binafsi endo fits the bill
Slot bhana hivi ni yeye ama amepewa maelekezo maalum kutoka kwa FSG ili kutuma ujumbe kambi ya Nunez waanze kusaka soko jipya kwa dogo..