Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tusubiri summer mkuu tumeshaahidiwa usajili mzuri na tuna target ya Isak mwenye goal 50 kwenye mechi 76.

Tukimpta huyu plus DM, LB, RB na cover CB basi quadruple ipo next season.

The cards are in FSG's hands.
🤣 🤣 🤣 FSG hawana hata huo mpango ndugu judging by past experience baada ya kushinda mataji unategemea kikosi kipewe proper back up kua contend hawato ers again lakin kwa FSG hua ni the other way....
Its well documented tulikua na proper DM Fabihno then akaja squad player Endo hatukusajili like for like replacement ya Fabihno lakin mpaka leo hii tunakweda na mark shift players kwenye eneo muhimu na wachezaji wapo lakin FSG wanaangalia aa yupo Grav au Macca...
Kwa kweli let's enjoy as much maana kama hatunao Salah, VVD, Konate n Trent next season basi tujiadae mateso

YNWA
 
Arteta ana Mentality fulani ya ku-manipulate kiufundi sana
Screenshot_20250225-131911.jpg
 
🤣 🤣 🤣 FSG hawana hata huo mpango ndugu judging by past experience baada ya kushinda mataji unategemea kikosi kipewe proper back up kua contend hawato ers again lakin kwa FSG hua ni the other way....
Its well documented tulikua na proper DM Fabihno then akaja squad player Endo hatukusajili like for like replacement ya Fabihno lakin mpaka leo hii tunakweda na mark shift players kwenye eneo muhimu na wachezaji wapo lakin FSG wanaangalia aa yupo Grav au Macca...
Kwa kweli let's enjoy as much maana kama hatunao Salah, VVD, Konate n Trent next season basi tujiadae mateso

YNWA

Baada ya kuondoka proper DM Mascherano ilituchukua takriban Misimu 7 ndiyo ananunuliwa Fabinho.

Hivyo baada ya kuondoka Fabinho tegemea misimu mengine 7 ndiyo atanunuliwa another proper DM
 
Baada ya kuondoka proper DM Mascherano ilituchukua takriban Misimu 7 ndiyo ananunuliwa Fabinho.

Hivyo baada ya kuondoka Fabinho tegemea misimu mengine 7 ndiyo atanunuliwa another proper DM
Sitoshangaa ndugu kusubiri miaka 7 aisee. Kwa hawa ma Yankees hakuna matata lolote tutegemee.

Kama tu Fabihno replacement yake inakua ngumu kiasi hiki najiuliza je Salah, je VVD yaani mapema tuelewane aisee ili kupunguza expectation msimu ujao especially kwa key board fans tuwe tu na maneno ya akiba.

YNWA
 
Tusubiri summer mkuu tumeshaahidiwa usajili mzuri na tuna target ya Isak mwenye goal 50 kwenye mechi 76.

Tukimpta huyu plus DM, LB, RB na cover CB basi quadruple ipo next season.

The cards are in FSG's hands.
Nina mashaka na fitness ya Isak ndugu na pia focal point kama ataedelea kua Salah just incase akasaini misimu miwili...
I would rather get Mbuemo wa Brentford na Martinez wa Inter pale mbele.

YNWA
 
Arne Slot na Hulshoff wamefungiwa mechi mbili kwa kushikana mkono na refa Michael Oliver vs Everton

Regarding Slot and Hulshoff's ban, an official statement read: "An independent Regulatory Commission has sanctioned Everton, Liverpool, Arne Slot and Sipke Hulshoff in relation to the Premier League fixture between the clubs on Wednesday 12 February.

"It was alleged that both clubs failed to ensure their players and/or technical area occupants did not behave in an improper and/or provocative way following the final whistle. It was alleged that the Liverpool head coach acted in an improper manner and/or used insulting and/or abusive words and/or behaviour towards both the match referee and an assistant referee after the match had finished. Arne Slot admitted the charge, and the Regulatory Commission imposed a two-match touchline suspension and £70,000 fine. Sipke Hulshoff admitted the charge, and the Regulatory Commission imposed a two-match touchline suspension and £7,000 fine."
 
Sitoshangaa ndugu kusubiri miaka 7 aisee. Kwa hawa ma Yankees hakuna matata lolote tutegemee.

Kama tu Fabihno replacement yake inakua ngumu kiasi hiki najiuliza je Salah, je VVD yaani mapema tuelewane aisee ili kupunguza expectation msimu ujao especially kwa key board fans tuwe tu na maneno ya akiba.

YNWA
Si mlisema dm hao wamepitww na wakati

Binafsi endo fits the bill
 
Isak has proven to be a top player. Kufunga 50+ goals in less than 80 games sio mchezo
Isak is the main threat pale Magpies, kwa Liverpool ni Salah... Suppose Salah doesn't sign extension na akadoka then akatua Isak whose injuries are worrisome that means tunakua na strika wa mechi 5 fit mechi 3 wodini...
I would rather risk again kwa RW kama Bakayoko aje avae viatu vya Salah kuliko proper namba 9 maana we cursed in that system...
Hivyo usajili wa Isak ni big no kwa sababu tu ya uzima wake una mashaka mno.

YNWA
 
Back
Top Bottom