King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Ongezea Moja , Salah mchoyo wa pasi na ni mbinafs,Bora aondoke abaki Saidoo
Mchoyo lakini ndiye akawa anaongoza kwa Assists nyingi mpaka sasa 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezea Moja , Salah mchoyo wa pasi na ni mbinafs,Bora aondoke abaki Saidoo
Arteta ni Zaidi ya JK
Malafyale bosi wangu kuna watu wanataka maoni yako.
aisee nilikuwa nachukizwa sana na wajinga ambao walikuwa wanang'ang'ana eti "mane anaibeba liverpool na sio salah" shenzi kabisa mnamjua egyptian king au wanamwona kwenye magazeti na tiktok.
5...ahaaahaaa ilikua ni wingi wa nafasi tulizo tengeneza game ya man u last season na kukosekana kwa jota iyo game. Sio kwamba timu inayumba asipokuwepo ilikua issue ya best finisher na nafasi za kufunga kwa iyo game.
SalahQUESTIONS.
Suarez or Salah?
Torres or Firmino?
Fabinho or Mascherano?
Hyppia or VVD?
Agger or Matip?
Coutinho or Alexis?
Alexis or Wijnaldum?
Alonso or Thiago?
Mane or Salah?
Nunez or Milan Baros?
Henderson or Szobo?
Allison or Reina
Bob PaisleyRANK;
Jurgen Klopp
Bill Shankly
Bob Paisley
Hell no. VVD to stay.QUESTION;
Let VVD Leave for free or Sign Isak?
Arsenal Gabriel Real beastAs an LFC fan, who is your favorite player from;
Man City
Arsenal
Man Utd
Chelsea
Any day of the week. Future scary.QUESTION;
Would you sell Salah for Lamine Yamal?
Arne SlotRANK;
Rafa Benitez
Gerald Houllier
Arne Slot
Steven GerrardRANK THESE LFC ACADEMY GRADUATES
Michael Owen
Jamie Carragher
Steven Gerrard
Trent Alexander-Arnold
Robbie Fowler
Steven MaManaman
Ian Callaghan
Phill Thompson
Binafsi naona Torres na Suarez as traitorsMo salah
Luis suarez
Fernando torres
Sadio mane
Roberto firmino
Nikiwapanga kwa mapenzi yangu ya kiushabiki wa kiliverpool itakua ivi
Mo salah
Roberto firmino
Fernando torres
Sadio mane
Luis suarez
Luis suarez tangu atuletee dharau sijawah mpenda tena
no klopp?Arne Slot
Rafa Benitez
Gerrard Houlier
YNWA
Seriously?RANK;
Rafa Benitez
Gerald Houllier
Arne Slot
Refer original question mate.Binafsi naona Torres na Suarez as traitors
no klopp?
Mhm Captain kwa Agger na Matip umeparuka😂Salah
Torres
Fabihno
VVD
Countinho
Winadjum
Alonso
Salah
Nunez
Szobo
Allison
YNWA
Mkuu, Mike kumuweka hukoooo kwa sababu alienda Manchester ama?😂Steven Gerrard
Ian Callaghan
Phil Thompson
Robbie Fowler
Trent Arnold
Steven Macmanaman
Jamie Carragher
Michael Owen
YNWA
Tangu nipande gari yake kaamua ku mute kabisa. Kundi la halisi limepooza kabisa.Huu Uzi akikosekana Mwenyekiti wa Liverpool Halisi huwa haunogi kabisa.
Huyu Mnyakyusa alikuwa anabishana pekeyake na Mashabiki wote wa uzi mzima.