Kelele nyingi huko London, umezisikia??
Arsenal wanaamini bila injuries walizonazo wangeweza kuwa outshine Liverpool. Wengi wanadai Liverpool are so Lucky this season.
Tu break kidogo huu utetezi wao.
Kwanza tuanzie hapa:-
ilikuwa ni Matchday 13.
Full health kwa key players wao and yet they were 9 points behind Liverpool. Since then LFC hajatoka hapo juu, na hapo Arsenal wapo almost full squad ila wapo behind kwa points 9.
Liverpool biggest summer signing ni Chiesa ambaye hana game time na kikosi cha sasa. Mara ya mwisho kuonekana uwanjani ni mechi gani vile??
-Vipi kuhusu Arsenal investment?? Hili lipo wazi wame invest last summer compare na LFC.
-Liverpool wana new technical bench from above to below, compare to Arsenal.
Arsenal possible points this season ni 87, sasa wana 54 na zimebaki 33 54+33=87.
Liverpool possible points this season 97, sasa wana 67 na zimebaki 30
67+30=97
Umegundua chochote??
Arsenal will have less (-2 points) compare to total collected last season (91).
Liverpool will earn atleast more points than last season (82 points).
LAST SEASON.
Until 1 March there was 1 different point between Liverpool and Arsenal.
Na kwa wakati huo, Liverpool ilikuwa kwenye wimbi la mejeruhi compare to Arsenal.
Salah alikosekana miezi mitatu hivi (AFCON + INJURIY) and yet Liverpool wali manage ku close gap licha ya kuwakosa key players wake kwa 85%.
Big blow kwa Arsenal ni Saka, yes hii ni big miss sana kwao, ila they could capitalize kama Arteta angeamua ku ditch his own traditional way of possessing na kuamua kucheza much direct football. Try 4-4-2, once hauna good wide players.
Last season key players stats between Salah & Saka (good advantage they are all Left footers and RW, first letter of their 2nd names is S).
Arsenal fans said Saka has a good season
Scored 16 goals and 9 assists,
Salah had a poor season and yet outshined Saka with 18 goals and 10 assists.
Je Salah akiwa na msimu mzuri Saka could’ve done otherwise??
Mins played Saka 2936
Mins played Salah 2536
Bado mnaongelea bahati?? mungu wa bahati ni mungu katili sana yakikukuta utaelewa hili.
Can you imagine how painful it was??
And yet Liverpool didn't win a tittle,. How can you tell your grandson and granddaughter thst team with 97 points ety hawakuwa mabingwa?
Stevue akatuaminisha inawezekana, last 10 mins zilitosha kugeuza kibao kutoka treble na kuwa runners.
Tupo kwenye “bonus mode” Welcome Gunners kwenye marathon.
CATCH US IF YOU CAN...
“Welcome to Arne Slot Penitentiary”
YNWA